Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

Utakufa na stress hilo ni Chama kubwa lao siyo saccos ya Chadema!

Chama kikubwa au chama mabavu? Ukiona chama kinajisifia ni kikubwa lakini kinashangilia kutangazwa washindi bila kushindana, basi ujue hicho sio chama, bali ni kipimo halisi cha ujinga wa mtu mweusi.
 
Sawa mkuu!!
 
Hayo majengo ya TISS zamani yalikuwa Siri Sasa hivi yanaanikwa tu Kama karanga hadharani kila mtu ayajue

Something is wrong somewhere
 
Nafikiri kuna kitu hujui. Ofisi kuu za TISS zote huwa zinajulikana ila ofisi za kiintelenjesia na operesheni ndizo huwa zinafichwa. Sasa hiyo inayojengwa ni ofisi kuu kwa upande wa Zanzibar inafichwa ili iweje wakati anayetumia ofisi hiyo anajulikana!! Mkielimika mtajajua tu!
 
Leo ndio umejua kuwa kuna tatizo? Ila kwa sasa idara ya utekaji imeingia rasmi Zanzibar
 
Nafikiri kuna kitu hujui. Ofisi kuu za TISS zote huwa zinajulikana ila ofisi za kiintelenjesia na operesheni ndizo huwa zinafichwa. Sasa hiyo inayojengwa ni ofisi kuu kwa upande wa Zanzibar inafichwa ili iweje wakati anayetumia ofisi hiyo anajulikana!! Mkielimika mtajajua tu!

Naona migambo mnaruka na kukanyagana.
 
Chama kikubwa au chama mabavu? Ukiona chama kinajisifia ni kikubwa lakini kinashangilia kutangazwa washindi bila kushindana, basi ujue hicho sio chama, bali ni kipimo halisi cha ujinga wa mtu mweusi.
Chama kinacho foji sahihi ya mtu aliyeko Marekani kuwa yupo ukumbini Dar ili akidi itimie. Na wanaoshiriki ushenzi huo wapo pia Waziri Ndungulile na Waitara pia yupo mwenyekiti wa Bunge Zungu.
Inanikumbusha bunge la Katiba waliorodhesha kupiga kura hata marehemu! Halafu kuna watu wanaita hiki ni chama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri kuna kitu hujui. Ofisi kuu za TISS zote huwa zinajulikana ila ofisi za kiintelenjesia na operesheni ndizo huwa zinafichwa. Sasa hiyo inayojengwa ni ofisi kuu kwa upande wa Zanzibar inafichwa ili iweje wakati anayetumia ofisi hiyo anajulikana!! Mkielimika mtajajua tu!
Kujulikana kwa watu what for? Ofisi ya TISS sio public office ya kutoa huduma kwa public.Kuwa watu wote waijue ili iweje?
 
Back
Top Bottom