Kuna tu mtu anataka mh rais asije dar au akija aje kwa passport hahaKuna tu mtu tuna roho ya kupinga hata ziara wameshaanza kupinga!
Ishu za usalama wa taifa ni ishu za kitaifa(union matters) so rais wa Zanzibar sio mahala pakeKuhudhuria sherehe za Muungano mi jambo jema lakini kuzindua jengo la TISS si angemwachia Mhe. Rais wa Zenji? Eniwei kwa kuwaTV zitakuwa live sio mbaya!
Subiri mshinde mrais nyie chadema mtazindua kimya kimyaHivi haya majengo ya wazee wa mifumo yanazinduliwaga pia? Mi nilijua inakuwa kimya kimya tu...daaah!
Dar ni karibu na Zanzibar!Huyu jamaa siamehamia dodoma anafata nini huku dar
Ziara ya kikazi Zanzibar ni sawa, ila yeye kuhudhuria sherehe ya Mapinduzi si sawa, utaratibu wa maadhimisho ya sherehe ya mapinduzi ni wa kiboya unamdogosha na kumzalilisha Raisi wa Muungano - ambaye ndiye Raisi wa Nchi na Amiri Jeshi MkuuBaada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu.
Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake
Anadhalilishwa vipi?Bora tu siku hiyo ya Jumapili Mh. Raisi angeitumia kusali, kuliko kuhudhuria sherehe yenye taratibu za kuzalilishana
🏃♂️Haya ni Makao Makuu hayawezi kufichwa na hakuna sababu.Bado tuanze kuona wakitangaza na nafasi za ajira tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitake radhi chief, mm sijawahi kujihusisha na masuala yyt ya siasa hasa ya chama kabisa tangu nimezaliwa. Labda kama hukunielewa tu...mimi nilikuwa nafanya kitu kama mshangao na wala sio kama nimecritisize statement. UMENIKWAZA SANA.
Hatimaye Wasiojulikana wamejisogeza Zanzibar...Wazanzibara jiandaeni kuanza kupotezwa!Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu.
Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake
Ahsante mkuu kwa kuliweka sawa hili.Haya ni Makao Makuu hayawezi kufichwa na hakuna sababu.Bado tuanze kuona wakitangaza na nafasi za ajira tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukizungua TISS lazima wakunyoosheAtazindua jengo la kukandamiza wazanzibari.