Rais Magufuli kuipokea treni ya abiria Arusha mwezi wa 9-2019,ufufuaji wa reli ya Tanga sasa ni 80%..

Wananchi hawataki kusikia TRC imekamilika 80% au SGR 41% mwaka sasa, wanataka kuona Rais wao mpendwa anasafiri kwa SGR kwenda Mwanza siku ya ufunguzi au Masai toka Arusha anasafiri kwenda Dar kwa treni. Blaa blaa tumechoka kusikia in nyingi mno Awamu hii.
 
Lakini kumbuka ni kama miaka 10 sasa tangu huduma hii ipotee na ukiona inarudi lazima ushukuru Mungu kwa maono haya hata kwa kukamilika kwa 80% bado 20% kuanza kazi. vijana wamepata kazi za kufanya na ndo wangekuwa mtaani kukaba watu.
 
hii itatusaidia saana wakati wa mwezi wa kuhiji, na hasa hasa ikiwa inasimama vituo vikubwa vikubwa kupunguza masaa ya safari
 
Wananchi hawataki kusikia TRC imekamilika 80% au SGR 41% mwaka sasa, wanataka kuona Rais wao mpendwa anasafiri kwa SGR kwenda Mwanza siku ya ufunguzi au Masai toka Arusha anasafiri kwenda Dar kwa treni. Blaa blaa tumechoka kusikia in nyingi mno Awamu hii.
MGR Tanga-Arusha imekamilika 80%
SGR kwa sasa ni 50%
Ukarabati wa reli ya kati Dar-Isaka umefikia hatua nzuri.
Kwa maelezo zaidi soma hapa
Au soma hapa
 
Tafadhali isipite Moshi, itoke Tanga wapitishe maporini hadi Chuga!
 
Brother Samwel uwe unatupa update kila mara kwenye hili jukwaa.Kwa kweli hongera TRC kurudisha njia ya kaskazini watu walikuwa wanapata tabu hasa wakati wa December kwa kugongwa nauli kubwa.
 
Haina shida mkuu tutakua tunapeana updates.
Kwa sasa waliojenga jirani na reli au juu ya reli wameshapatiwa notice tangu mwaka jana kwa hiyo inasubiriwa kubomoa pindi mradi utakapokaribia.
Kwa Arusha kuna maeneo ya Ungalimited na Chekereni watu walivamia.
Mambo yanaenda vizuri tujiandae kuipokea A-town.
 
Vipi pale ungaltd, Monaban na zile ukuta alijenga pale au alinunua shirika la reli jumla jumla?

Back
Top Bottom