johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaa....... Warombo!Waisraeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa....... Warombo!Waisraeli
Acha kujitoa ufahamu we Yohana...,Wachagga walishapewa tangu siku nyingi hata kabla hiyo reli...Wachagga Mungu atupe nini tena....... Ahsante Rais Magufuli!
Na Wakibosho,Wamachame na Wamarangu.Hahahaa....... Warombo!
Mwisho wa kubamizwa Dec sasa wajaBrother Samwel uwe unatupa update kila mara kwenye hili jukwaa.Kwa kweli hongera TRC kurudisha njia ya kaskazini watu walikuwa wanapata tabu hasa wakati wa December kwa kugongwa nauli kubwa.
Hahahaa....... Warombo!
Kupotea kunatokana na uzembe wao CCM, kuipokea ni kujitoa aibu tu.Lakini kumbuka ni kama miaka 10 sasa tangu huduma hii ipotee na ukiona inarudi lazima ushukuru Mungu kwa maono haya hata kwa kukamilika kwa 80% bado 20% kuanza kazi. vijana wamepata kazi za kufanya na ndo wangekuwa mtaani kukaba watu.
Brother Samwel uwe unatupa update kila mara kwenye hili jukwaa.Kwa kweli hongera TRC kurudisha njia ya kaskazini watu walikuwa wanapata tabu hasa wakati wa December kwa kugongwa nauli kubwa.
Kipande kibovu kilikuwa kuanzia Korogwe kwenda Moshi na Arusha na ndio kinakarabatiwa.Korogwe to Tanga na Tanga mpaka Ruvu kipo vizuri na kinatumika kusafirisha mizigo nadhani mafuta na Cement kuelekea kuelekea kanda ya ziwa na kigoma.Hebu kidogo tuelewane.
Reli inayozungumziwa hapa ni Tanga kwenda Arusha...au?
Nilivyoelewa, ingawa hukueleza, una maana ya reli toka Dar- Korogwe - Arusha?
Sikujua kuwa kuna 'kugongana' sana kati ya Tanga na Arusha - huenda ni kweli! Ikikupendeza, nipe somo.
miaka 17 sio 10Lakini kumbuka ni kama miaka 10 sasa tangu huduma hii ipotee na ukiona inarudi lazima ushukuru Mungu kwa maono haya hata kwa kukamilika kwa 80% bado 20% kuanza kazi. vijana wamepata kazi za kufanya na ndo wangekuwa mtaani kukaba watu.
Tanga ni Mkoa na Korogwe ni Wilaya iko Tanga ukiambiwa reli ya Tanga Arusha maana yake inapitia korogwe sidhani kama kuna reli inayokuja arusha ambayo haipiti korogweHebu kidogo tuelewane.
Reli inayozungumziwa hapa ni Tanga kwenda Arusha...au?
Nilivyoelewa, ingawa hukueleza, una maana ya reli toka Dar- Korogwe - Arusha?
Sikujua kuwa kuna 'kugongana' sana kati ya Tanga na Arusha - huenda ni kweli! Ikikupendeza, nipe somo.
Hapana, wewe hukunielewa. Tanga pia ni Mji...Tanga ni Mkoa na Korogwe ni Wilaya iko Tanga ukiambiwa reli ya Tanga Arusha maana yake inapitia korogwe sidhani kama kuna reli inayokuja arusha ambayo haipiti korogwe
shoddy work