Tetesi: Rais Magufuli kuongeza muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Kuna taarifa za chini ya kapeti kuwa Rais ameshauriwa na inaonekana ameshaurika kuwa aongeze muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki kwa miezi sita.

Hii "imeonekana" kama kete muhimu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu haswa kwa Chama Chake - CCM.

Kinachosubriwa ni tamko lake atakaporejea kutoka Namibia leo.

Kama itakuwa kweli basi hii ni ile inayoitwa kitaalaam kama THESIS , ANTITHESIS , SYNTHESIS.
 
Kuna taarifa za chini ya kapeti kuwa Raisi ameshauriwa na inaonekana ameshaurika kuwa aongeze muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki kwa miezi sita.

Hii "imeonekana" kama kete muhimu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu haswa kwa Chama Chake - CCM.

Kinachosubriwa ni tamko lake atakaporejea kutoka Namibia leo.

Kama itakuwa kweli basi hii ni ile inayoitwa kitaalaam kama THESIS , ANTITHESIS , SYNTHESIS.
Hili halitashangiliwa maana waathirika siyo wananchi bali wauza bidhaa mbalimbali.
 
Hatutaki asiongeze hata dakika moja. Siyo kila maamuzi ya wenzake ni kutengua. Maamuzi mengine kama haya ni msingi. Kwanza kauli ya kuamua imetolewa bungeni hivyo hawezi kuiingilia maamuzi ya bunge hata kama ni dhaifu kiasi gani atakuwa anamdhalilisha zaidi PM
 
Kuna taarifa za chini ya kapeti kuwa Rais ameshauriwa na inaonekana ameshaurika kuwa aongeze muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki kwa miezi sita.

Hii "imeonekana" kama kete muhimu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu haswa kwa Chama Chake - CCM.

Kinachosubriwa ni tamko lake atakaporejea kutoka Namibia leo.

Kama itakuwa kweli basi hii ni ile inayoitwa kitaalaam kama THESIS , ANTITHESIS , SYNTHESIS.

Kama ikiwa ni Kweli na Rais akaongeza muda basi atakuwa ' amemdhalilisha ' kwa namna ya Kipekee kabisa Makamu wake wa Rais Mama Samia Suluhu ambaye ni jana tu ameweka wazi tena huku akisisitiza kabisa kuwa muda wa Ukomo wa Matumizi ya Mifuko ya Plastiki hautaongezwa iwe isiwe.

Sidhani kama Mheshimiwa Rais atabadili Maamuzi na Kuongeza muda kama ambavyo baadhi ya Watu wanadhani itakuwa hivyo.
 
Hatutaki asiongeze hata dakika moja. Siyo kila maamuzi ya wenzake ni kutengua. Maamuzi mengine kama haya ni msingi. Kwanza kauli ya kuamua imetolewa bungeni hivyo hawezi kuiingilia maamuzi ya bunge hata kama ni dhaifu kiasi gani atakuwa anamdhalilisha zaidi PM
Kwani maamuzi ya KIKOKOTOO yalifanyika uwanja wa Mwembe Yanga?
 
Tutasikia ,simple chemistry tuanze kwanza na recycling, tutengeneze, vitofali, kufua nishati nk, catalist ku speedup industrialization, mimi ni laisi wa wanyonge ,sitaruhusu kwenye utawala wangu.
 
Kuna taarifa za chini ya kapeti kuwa Rais ameshauriwa na inaonekana ameshaurika kuwa aongeze muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki kwa miezi sita.

Hii "imeonekana" kama kete muhimu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu haswa kwa Chama Chake - CCM.

Kinachosubriwa ni tamko lake atakaporejea kutoka Namibia leo.

Kama itakuwa kweli basi hii ni ile inayoitwa kitaalaam kama THESIS , ANTITHESIS , SYNTHESIS.
Mbona harudi leo, kwani kaanza ziara ya siku mbili zimbabwe
 
Back
Top Bottom