Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,579
Wauza bidhaa ni watu wa kuona fursa; tayari vifungashio vikoHivi wauza bidhaa sio wananchi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauza bidhaa ni watu wa kuona fursa; tayari vifungashio vikoHivi wauza bidhaa sio wananchi mkuu
Rais Magufuli aendelea na ziara ya Kusini mwa Afrika, kutua Zimbabwe keshoKinachosubriwa ni tamko lake atakaporejea kutoka Namibia leo.
Kama itakuwa kweli basi hii ni ile inayoitwa kitaalaam kama THESIS , ANTITHESIS , SYNTHESIS.
Asiongeze tushajiandaa kuacha kutumia hio mifuko ya plastic
Waathirika ni wananchi maana ya kichina ni lzm ununue wa kutosha kufungia nyanya au sukari buku hali ile ya plastic ulipewa bure Na muuzaHili halitashangiliwa maana waathirika siyo wananchi bali wauza bidhaa mbalimbali.
Kuna taarifa za chini ya kapeti kuwa Rais ameshauriwa na inaonekana ameshaurika kuwa aongeze muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki kwa miezi sita.
Hii "imeonekana" kama kete muhimu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu haswa kwa Chama Chake - CCM.
Kinachosubriwa ni tamko lake atakaporejea kutoka Namibia leo.
Kama itakuwa kweli basi hii ni ile inayoitwa kitaalaam kama THESIS , ANTITHESIS , SYNTHESIS.
Mimi sijaathirika kwanza walikuwa wananiongezea uchafu; mtu unapita mini-supermarket uko na usafiri wako unanunua mkate ambao tayari una kifungashio wanakuwekea ndani ya mfuko mweusi.Waathirika ni wananchi maana ya kichina ni lzm ununue wa kutosha kufungia nyanya au sukari buku hali ile ya plastic ulipewa bure Na muuza
Tutasikia ,simple chemistry tuanze kwanza na recycling, tutengeneze, vitofali, kufua nishati nk, catalist ku speedup industrialization, mimi ni laisi wa wanyonge ,sitaruhusu kwenye utawala wangu.
Anaongeza ili iweje?Kuna taarifa za chini ya kapeti kuwa Rais ameshauriwa na inaonekana ameshaurika kuwa aongeze muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki kwa miezi sita.
Hii "imeonekana" kama kete muhimu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu haswa kwa Chama Chake - CCM.
Kinachosubriwa ni tamko lake atakaporejea kutoka Namibia leo.
Kama itakuwa kweli basi hii ni ile inayoitwa kitaalaam kama THESIS , ANTITHESIS , SYNTHESIS.
Mimi sijaathirika kwanza walikuwa wananiongezea uchafu; mtu unapita mini-supermarket uko na usafiri wako unanunua mkate ambao tayari una kifungashio wanakuwekea ndani ya mfuko mweusi.
Huwezi kwepa mifuko ya plastic, utakutana nayo kwenye vifungashio sukari,chumvi,mm adawa,MAJI.Hizi ni project za 10% za watuAsiongeze tushajiandaa kuacha kutumia hio mifuko ya plastic
Kwanini unatuletea taarifa ambazo hauna uhakika nazo.Kuna taarifa za chini ya kapeti kuwa Rais ameshauriwa na inaonekana ameshaurika kuwa aongeze muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki kwa miezi sita.
Hii "imeonekana" kama kete muhimu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu haswa kwa Chama Chake - CCM.
Kinachosubriwa ni tamko lake atakaporejea kutoka Namibia leo.
Kama itakuwa kweli basi hii ni ile inayoitwa kitaalaam kama THESIS , ANTITHESIS , SYNTHESIS.
Rejea kikokotoo mkuu.Rais ni taasisi kubwa all burning issues lazima azijue mapema.Anaongeza ili iweje?
Nitaanza kuwaunga mkono wapinzani kwenye baadhi ya mambo.
Unatengeneza taharuki alafu unaitatua uonekane hero.
Kuna taarifa za chini ya kapeti kuwa Rais ameshauriwa na inaonekana ameshaurika kuwa aongeze muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki kwa miezi sita.
Itakua ni upuuzi wa hali ya juu na hiyo itamkatisha tamaa kabisa waziri januari makamba.Hawa watengeneza mifuko walishapewa muda sana tangu mwaka 2016.Madhara ya mifuko ya plastiki ni makubwa sana kuliko faida.Kuna taarifa za chini ya kapeti kuwa Rais ameshauriwa na inaonekana ameshaurika kuwa aongeze muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki kwa miezi sita.
Hii "imeonekana" kama kete muhimu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu haswa kwa Chama Chake - CCM.
Kinachosubriwa ni tamko lake atakaporejea kutoka Namibia leo.
Kama itakuwa kweli basi hii ni ile inayoitwa kitaalaam kama THESIS , ANTITHESIS , SYNTHESIS.
Uko sahihi.Kama ikiwa ni Kweli na Rais akaongeza muda basi atakuwa ' amemdhalilisha ' kwa namna ya Kipekee kabisa Makamu wake wa Rais Mama Samia Suluhu ambaye ni jana tu ameweka wazi tena huku akisisitiza kabisa kuwa muda wa Ukomo wa Matumizi ya Mifuko ya Plastiki hautaongezwa iwe isiwe.
Sidhani kama Mheshimiwa Rais atabadili Maamuzi na Kuongeza muda kama ambavyo baadhi ya Watu wanadhani itakuwa hivyo.