Tetesi: Rais Magufuli kuongeza muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki

Hili halitashangiliwa maana waathirika siyo wananchi bali wauza bidhaa mbalimbali.
Waathirika ni wananchi maana ya kichina ni lzm ununue wa kutosha kufungia nyanya au sukari buku hali ile ya plastic ulipewa bure Na muuza
 
Hatutaki hiyo nyongeza.. makamba twendeeee
 
Waathirika ni wananchi maana ya kichina ni lzm ununue wa kutosha kufungia nyanya au sukari buku hali ile ya plastic ulipewa bure Na muuza
Mimi sijaathirika kwanza walikuwa wananiongezea uchafu; mtu unapita mini-supermarket uko na usafiri wako unanunua mkate ambao tayari una kifungashio wanakuwekea ndani ya mfuko mweusi.
 
Tutasikia ,simple chemistry tuanze kwanza na recycling, tutengeneze, vitofali, kufua nishati nk, catalist ku speedup industrialization, mimi ni laisi wa wanyonge ,sitaruhusu kwenye utawala wangu.

Aaangalie kura kuelekea uchaguzi za mitaa,asizuie atakosa kura mifuko imeajiri watu wengi sana pia sie wanyonge atuwezi toa buku ili kufungiwa vitumbua vya miatano
 
Muda hautaongezwa ila itatolewa tafsiri ya vifungashio vya plastiki ambayo ni kama inaruhusu matumizi ya nylons kwa kiwango kidogo.
 
Anaongeza ili iweje?
Nitaanza kuwaunga mkono wapinzani kwenye baadhi ya mambo.
Unatengeneza taharuki alafu unaitatua uonekane hero.
 
Mimi sijaathirika kwanza walikuwa wananiongezea uchafu; mtu unapita mini-supermarket uko na usafiri wako unanunua mkate ambao tayari una kifungashio wanakuwekea ndani ya mfuko mweusi.

Umewahi kataa wasikupe wakakataa!?
 
Asiongeze tushajiandaa kuacha kutumia hio mifuko ya plastic
Huwezi kwepa mifuko ya plastic, utakutana nayo kwenye vifungashio sukari,chumvi,mm adawa,MAJI.Hizi ni project za 10% za watu
 
Kwanini unatuletea taarifa ambazo hauna uhakika nazo.
 
Anaongeza ili iweje?
Nitaanza kuwaunga mkono wapinzani kwenye baadhi ya mambo.
Unatengeneza taharuki alafu unaitatua uonekane hero.
Rejea kikokotoo mkuu.Rais ni taasisi kubwa all burning issues lazima azijue mapema.
 
Kuna taarifa za chini ya kapeti kuwa Rais ameshauriwa na inaonekana ameshaurika kuwa aongeze muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki kwa miezi sita.

Anakula Rehearsal ya kuongeza muda wa Uraisi........
 
Itakua ni upuuzi wa hali ya juu na hiyo itamkatisha tamaa kabisa waziri januari makamba.Hawa watengeneza mifuko walishapewa muda sana tangu mwaka 2016.Madhara ya mifuko ya plastiki ni makubwa sana kuliko faida.
Kina mama tubebe vikapu kama enzi zile.
Kama zanzibar na mji mdogo wa karatu arusha wameweza kutotumia mifuko ya plastic sisi wengine tunashindwa nini?uganda kenya rwanda walishaachana na uchafuzi huo
 
Mimi naomba saana tarehe 31May 2019 iwe mwisho kabisa wa kutumia hiyo mifuko.
Muda usiengezwe hata sekunde moja
 
Asiongeze mda tumeshajiandaa na hotpot za kununulia nyama buchani,na vikapu
 
Leo wakati mwenzako yupo ZIMBABWE huko anakula maisha huko saiv.
 
Uko sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…