Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa kaanza kuwaandaa watu kisaikolojia! Kwamba no one like him.. Lazima niseme na huo ndo ukweli wenyewee.
Upo sahihiHivi hata mgombea atakuwa na umri kama Museveni au Joe Baden, atakuwa amevunja ibara ipi ndani ya Katiba ya nchi?
Sasa yeye Rais Magufuli anaposema kuwa Rais ajaye ni lazima awe kijana, je anatuandalia mtu wake wa mfukoni?
Tutakapokuwa tunahisi kuwa anatuandalia mtu wake wa dizaini ya Bashite, tutakuwa tunakosea kweli?
Urais siyo Nguvu za mwili kama kubeba Zege ni Ukomavu, Hekima, Busara na maarifa. Mu7 our friend is 70+ Yuko kwenye Kampeni hivi anajisikiaje?Magufuli huwa hapimi maneno yake.
Huwa yanamtoka tu utadhani mtoto.
Yeye kama Rais wa nchi hana mamlaka yoyote ya kutuchagulia Rais ajaye
chuki za wazi kwa wabunge, pale ikulu kulikua na watu wengi sana na wengi tu walishangilia ila ww uliishia kuwaona wabungeMkuu huyo mwamba ashatuona vilaza ndiyo maana anaongea anachojisikia. We huoni licha ya kuongea huo utopolo bado wabunge walimpigia makofi.
Zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti.Haa😁😂😀😅😄😄😃😁😂🤣😅😄😄
Usimseme Mwenyekiti Vibaya 🤨😑😏😐
Wanachama Hatujapenda Kabisa 😁😂😅
Kiongozi Wetu Huwa Hakosei
Jamiiforums.com Ina Thread Nyingi Nzuri Sana
Katiba Imevunjwa Na Itaendelea Kuvunjwa
Mtake Msitake (Atake Asitake, Tutamuongezea Muda)😶🤨😑😎😐😏😏
Kosea Kuoa Lakini Siyo Kuchagua Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Baada Ya Miaka Mitano
Ila Tumeibiwa Uchaguzi Mkuu Huu
Wewe wasema kuwa nguvu yake ya ushawishi imekwisha!hajavunja, maoni/msimamo yake kuhusu raisi ajae ni irrelevant. Hakuna anaejua nani atakua raisi baada ya yeye. Na Nguvu yake ya ushawishi imepungua tayari kwakua yupo kipindi cha mwisho cha uongozi wake.
Mkuu huyo mwamba ashatuona vilaza ndiyo maana anaongea anachojisikia. We huoni licha ya kuongea huo utopolo bado wabunge walimpigia makofi.
He is alpha and omega. Kila anachotaka kitafanyika. That is his conviction.Ukweli ni kuwa ni lazima mtu unapokuwa na nafasi kubwa kama hiyo ya Urais upime kila unachokitamka, mbele ya hadhara..........
Cha kushangaza ni kuwa kwa Rais tuliye naye hapimi kabisa madhara ya maneno yanayomtoka
Kwanza ni lazima ajue kuwa nchi yetu ina mfumo wa vyama Vingi, kwa hiyo hapaswi kuwa na uhakika wa asilimia 100 kuwa ni lazima mshindi wa kiti cha urais ni lazima atoke kwenye chama chake cha CCM!
Tangu lini taifa hili wazee wa 60+ wamewazidi idadi vijana wa 18+ mpaka 50? Kwanini hatukuona hayo? Halafu Leo mtu amasema huwezi kuwa rais kwa sababu una umri kubwa how? Tuweni makini kama taifa.kilichosemwa ninkuwa asilimia karibu 65% ya wapiga kura ni vijana
itapendeza wakiwekewa kijana mwenzao mwenye dam changa na mawazo mapya.
ni vision tu nayoona ni nzuri.