SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
It has happened.Exactly
That is going to happen very soon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It has happened.Exactly
That is going to happen very soon
We, acha kupotosha kauli. JPM is always very serious with what he says. He is a final character in the game. He is alpha and omega.kilichosemwa ninkuwa asilimia karibu 65% ya wapiga kura ni vijana
itapendeza wakiwekewa kijana mwenzao mwenye dam changa na mawazo mapya.
ni vision tu nayoona ni nzuri.
Tunachosema ni kuwa nchi yoyote inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi, sasa ninachouliza je Rais Magufuli ametumia mamlaka gani nje ya Katiba ya nchi, kuwapiga "stop" akina Profesa Kabudi wasiwe na mawazo kabisa ya kugombea nafasi ya urais mwaka 2025?hajavunja katiba bali kawapa ujumbe wale wote ambao wanautamani Urais. wasijiandae wala wasiandaliwe.......uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu mwenyewe.
ukimuona mtu anakimbilia kwa waganga kutafuta uongozi huyo ni shetani
hajawapiga "stop" bali amewashauri tu, pia ametoa maoni yake, kama pia alivyo wahi kusema mtangulizi wake JK....kuwa "asingependa kuona Rais atakaye mrithi kumzidi umri......" hayo ni maoni tu sio zuio, na kauli hiyo haija walenga Kabudi tu bali na wengine wengiTunachosema ni kuwa nchi yoyote inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi, sasa ninachouliza je Rais Magufuli ametumia mamlaka gani nje ya Katiba ya nchi, kuwapiga "stop" akina Profesa Kabudi wasiwe na mawazo kabisa ya kugombea nafasi ya urais mwaka 2025?
Kwani Pascal Mayala mchumia tumbo anasemaje ?Haa😁😂😀😅😄😄😃😁😂🤣😅😄😄
Usimseme Mwenyekiti Vibaya 🤨😑😏😐
Wanachama Hatujapenda Kabisa 😁😂😅
Kiongozi Wetu Huwa Hakosei
Jamiiforums.com Ina Thread Nyingi Nzuri Sana
Katiba Imevunjwa Na Itaendelea Kuvunjwa
Mtake Msitake (Atake Asitake, Tutamuongezea Muda)😶🤨😑😎😐😏😏
Kosea Kuoa Lakini Siyo Kuchagua Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Baada Ya Miaka Mitano
Ila Tumeibiwa Uchaguzi Mkuu Huu
Tutamuelewa zaidi kipindi hiki cha pili. Kama anaongea hoja kama hiyo na sisi wabunge wa CCM kwa umoja wetu tunampigia makofi na vigerere unategemea yeye afanye nini zaidi ya kutimiza akitakacho. Mbunge "Bwege" alisema wabunge wa CCM hawajui kipi waseme NDIYO na kipi waseme SIYO. Wakiulizwa mmeshiba, wanajibu NDIYO, mna njaa, wanajibu NDIYO. Kwa hiyo hata huko kushangilia hiyo hoja ya Rais, hatujui walishangilia wakiwa upande upi kwa sababu wao kwao yote ni heri tu.Magufuli huwa hapimi maneno yake.
Huwa yanamtoka tu utadhani mtoto.
Lakini hivi karibuni hasa baada ya huu "uchaguzi" au hata wakati wa kampeni, inaonekana umeguswa kwenye nerves hasa. Nadhani hii inatokea kwa watu wenye kujitambua kama wewe, kwa sababu huwezi kuufumbia macho ukweli. Lakini kuna wale ambao kwao liwake jua inyeshe mvua, ni vigeregere na mapambio tu.Seriously?
Umeanza lini kunisoma hadi useme hivyo?
Hujawahi kuona nimemsema Magufuli hata mara moja?
Baada ya.miaka 10 akipewa.asikilize vitu alivyokua anaongea atakataa, atasema sio yeye.Magufuli huwa hapimi maneno yake.
Huwa yanamtoka tu utadhani mtoto.
Pia ni mwepesi wa kusahau achokiongea.Magufuli huwa hapimi maneno yake.
Huwa yanamtoka tu utadhani mtoto.
Mkuu hadi wewe umekubali aisee kweli tunapoelekea pazuri, I thought you were one of the praise team member... anyways Bravo.
Umesahau? Yeye hakukimbilia kwa waganga 900 wa Gambushi kuzuia watu wasichukue fomu za kugombea urais CCM.hajavunja katiba bali kawapa ujumbe wale wote ambao wanautamani Urais. wasijiandae wala wasiandaliwe.......uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu mwenyewe.
ukimuona mtu anakimbilia kwa waganga kutafuta uongozi huyo ni shetani
This is one of the characteristics of the people with IQ below 0.000001 .Pia ni mwepesi wa kusahau achokiongea.
Haa haa!This is one of the characteristics of the people with IQ below 0.000001 .
Magufuli ni mtu wa Mungu, ni mtu mwenye hofu ya Mungu, ni mtu mwenye kumtanbua Mungu, ni mtu anaye mtegema Mungu kwa kila jambo lake ndio maana anawachukia sana baadhi ya viongozi wanao endekeza na kutegemea ushirikina ili mambo yao yaende.Umesahau? Yeye hakukimbilia kwa waganga 900 wa Gambushi kuzuia watu wasichukue fomu za kugombea urais CCM.
Huyo ni kigeugeu balaa , asilimia kubwa Ni kusifia utopolo wa Jiwe na ccm , baadaye timing chain ikikaa sawa anaponda the same person .Mkuu hata Mm nlikuwa namchukulia Jamaa ni PRAISE TEAM
Kutembea na rundola wapiga ramli kwenye mavx ndio kumcha Mungu ? Labda mungu Nyamrunda wa ccm mwenge .Magufuli ni mtu wa Mungu, ni mtu mwenye hofu ya Mungu, ni mtu mwenye kumtanbua Mungu, ni mtu anaye mtegema Mungu kwa kila jambo lake ndio maana anawachukia sana baadhi ya viongozi wanao endekeza na kutegemea ushirikina ili mambo yao yaende.
hata mimi siwapendi watu au mtu anaye tegemea ushirikina ili kupata kitu au kufanikiwa.
hatutaki viongozi wanao abudu ushirikina tunataka viongozi wenye hofu na Mungu hao ndio watakao tutendea haki