Nimecheka kwa sauti mpaka abiria wenzangu wameshangaa.Asije kusema naye alimtoa jalalani
Hivi vile viwanda vya Mengi alikua anazindua kila week vinaendeleaje? Kile cha simu na electronics kulikua kijengwe kwa miezi mi3 kama alivyoahidi, kilishafunguliwa?Na mara nyingi watu wanaoandika vitabu hua wanaelekea kukata moto.Ref to Sir Andy Chandy,Mengi etc
Just my observation.
Of what use to a common man!Rais Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua Kitabu cha maisha binafsi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa
View attachment 1260767
Wapinzani mmewakilishwa na maalimu Seif wa ACT wazalendokwenye hicho kitabu ameelezea alivyowaingiza watz chaka mwaka 2015??
Asije tu kusema habari za ujenzi wa SGR, Viwanda na vituo vya Afya.Rais Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua Kitabu cha maisha binafsi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa
View attachment 1260767
Tena inabid iwe page za mwanzoni tu..kwenye hicho kitabu ameelezea alivyowaingiza watz chaka mwaka 2015??
Wewe sasa unataka kunifanya niache kuandika kitabu changu maana naona unaleta mambo ya kutishana hapa...Na mara nyingi watu wanaoandika vitabu hua wanaelekea kukata moto.Ref to Sir Andy Chandy,Mengi etc
Just my observation.