Rais Magufuli kuzindua Kitabu cha maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

Status
Not open for further replies.
Na mara nyingi watu wanaoandika vitabu hua wanaelekea kukata moto.Ref to Sir Andy Chandy,Mengi etc

Just my observation.
Hivi vile viwanda vya Mengi alikua anazindua kila week vinaendeleaje? Kile cha simu na electronics kulikua kijengwe kwa miezi mi3 kama alivyoahidi, kilishafunguliwa?
 
Awamu ya 4 Dr. Bilali alikuwa ndiye mzee wa mkasi! Safari hii mzee baba kaamua kukamatia fursa mwenyewe! Mauzinduzi bila kikomo.
 
Kitabu kimeandikwa kwa KIINGEREZA.

Kuna mtu atapata tabu sana ktk uzinduzi wa kitabu cha Mzee Mkapa.
 
Karibu.

Up dates;

Viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wameshawasili ukumbini akiwemo waziri kiongozi mstaafu maalimu Seif.

Sasa wanaingia wastaafu wakiongozwa na mzee Mkapa mwenyewe, Mwinyi na Kikwete.

Rais wa Zanzibar Dr Shein na Waziri mkuu Kassim Majaliwa tayari wameshaingia ukumbini
 
Kwa hiyo hili ni tukio la kitaifa! Kweli Hapa Kazi Tu imegeuka na kuwa #hapaujingatuu.
 
Na mara nyingi watu wanaoandika vitabu hua wanaelekea kukata moto.Ref to Sir Andy Chandy,Mengi etc

Just my observation.
Wewe sasa unataka kunifanya niache kuandika kitabu changu maana naona unaleta mambo ya kutishana hapa...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…