Rais Magufuli kuzindua mradi wa umeme Mto Rufiji Julai 26, 2019

mamayoyo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,011
Reaction score
1,019

Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard Kalemani amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli keshokutwa Ijumaa Julai 26, 2019 ataweka jiwe la msingi katika Mradi wa kufua umeme wa megawati 2115 wa Rufiji ‘Stigler's Gorge’ uliopo mikoani ya Pwani na Morogoro.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano Julai 24, 2019 Morogoro, Waziri Kalemani amesema tukio hilo kubwa la kihistoria kukamilika kwake kutawezesha Taifa Kuwa na umeme wa kutosha, wa uhakika, unaotabirika na hatimaye kuwa wa gharama nafuu kwa watumiaji.

Amesema wizara inawahakikishia Watanzania kuwa utekelezaji wa mradi huo ni wa kasi, weledi na nidhamu na hiyo ni katika kuunga mkono juhudi za Serikali inayongozwa na Rais Magufuli.

Mradi huo mkubwa wa umeme utakapokamilika unatarajia kutumia kiasi cha Sh6.5 trilioni ambazo ni fedha za Serikali ya Tanzania.

PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA
 
muda gani mtaanza kuonyesha laivu TBCCM ili nizime tv?
 
Hivi chadema lile Banda lao Kama la kuku wanalotumia Kama makao makuu ya chama Lina umeme?
Jingine hili hapa mkuu
CCM OFFICE.jpeg
 
Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard Kalemani amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli keshokutwa Ijumaa Julai 26, 2019 ataweka jiwe la msingi katika Mradi wa kufua umeme wa megawati 2115 wa Rufiji ‘Stigler's Gorge’ uliopo mikoani ya Pwani na Morogoro.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano Julai 24, 2019 Morogoro, Waziri Kalemani amesema tukio hilo kubwa la kihistoria kukamilika kwake kutawezesha Taifa Kuwa na umeme wa kutosha, wa uhakika, unaotabirika na hatimaye kuwa wa gharama nafuu kwa watumiaji.

Amesema wizara inawahakikishia Watanzania kuwa utekelezaji wa mradi huo ni wa kasi, weledi na nidhamu na hiyo ni katika kuunga mkono juhudi za Serikali inayongozwa na Rais Magufuli.

Mradi huo mkubwa wa umeme utakapokamilika unatarajia kutumia kiasi cha Sh6.5 trilioni ambazo ni fedha za Serikali ya Tanzania.
Niseme tuu kuwa HONGERA sana sana Rais Dr.John pombe Joseph Magufuli
Kwa Mradi huu,niseme machache...
Huu mradi ndio ALAMA kubwa utakayoiacha Vizazi na Vizazi,nikuambie tuu hakikisha Umepanga timu bora katika Mradi huo,Ikiwa pamoja na kupandikiza TISS tangu mwanzo wa Mradi ili kusitokee hujuma yeyote.TISS ambao ni engineer,Na fani mbali mbali.
2.Hakikisha Unaajiri watu mapema waende kusomea huo Mradi namna bora ya Kuendesha,say miezi 3-6 huko Misri,Italia au Nchi nyingine yenye Mradi Kama huo mapema!
Baba shikilia hapa hapa,Ukilegea kwenye huu Mradi umekwisha Kisiasa,kiuchumi,kijamii na Hata kiroho...ur Finish....pambana Mradi huu pia ukamilike mapema ila Kwa Viwango.
Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli hii tunaita ni Karata Dume!
Utakuja kunikumbuka maneno yangu huko mbeleni.
Nakutakia kila LA Kheri MUNGU akubariki na Akusimamie ufanikiwe kwenye Huu Mradi Rais wangu Dr.John pombe Joseph Magufuli.
 
Mungu abariki mradi huu, mtihani kwetu tutunze na kuhifadhi mazingira, jitihada za kibajeti vyanzo vya maji mto Rufiji zianze haraka na zisimamiwe.
 
Aksante Dr Magufuli

Utakumbukwa dahri na dahri kwa kujitoa kwako kwa Taifa lako

Allah akulinde na kila shari ya kila kiumbe uweze kuleta maendeleo chanya kwa Taifa letu
Jana katoka kuzindua movie ya dhahabu kilo 35 zilizoibiwa 2004 zikawa zinamsubiri awe raisi, kesho tena anaenda kuzindua upumbavu mwingine, na hapo ametoka kuzindua mbuga ya wanyama. Vyote vua kuzindua vikiisha atazindua hilo jumba jeupe ili tu aandikwe kwenye magazeti na TBCCM imchukue live!
 
muda gani mtaanza kuonyesha laivu TBCCM ili nizime tv?
Nonesense ,roho la kichawi
 
Energy ndo engine ya maendeleo. Mheshimiwa Rais pongezi nyingi kwa kuwa shujaa na Jasiri wa kuanza huu mradi. Let's go Magufuli.
 
Anaye pinga mradi huu huyo ni Mchawi wa Taifa kila la heri Mh JPM
 
Kwa waliosoma jiografia hasa katika mada ya picha "photograph" mnaweza kumbuka utaalamu wa kuchambua picha. Moja ya vitu ambavyo vingeweza kukutafsilia kuwa picha flani ilipigwa muda gani ni pamoja na kivuli.

Sasa ukiangalia kivuli cha bendera na nyumba, vina uelekeo tofauti. kivuli cha bendera kinaangukia kushoto kwa mtazamaji wa picha na kile cha nyumba kinaangukia kulia kwa mtazamaji. Hivyo basi, Picha ya bendera inaonekana kupigwa jua likiwa magharibi na ile ya nyumba jua likiwa mashariki. Je inawezekana vipi hili likatoke katika vitu viwili vilivyopigwa picha pamoja vivuli vikatofautiana uelekeo? Pengine ni maajabu ya dunia.

Ni dhahiri mtuma picha hana ufahamu juu ya mambo haya zaidi ya uwezo tuu wa ku-upload picha na maswala ya photoshoping. Nadhani awaombe radhi watazamaji na wasomaji kwa uongo na umbumbumbu wake. Lakini radhi huombwa na waliojaaliwa na neema ya Mungu!
 
muda gani mtaanza kuonyesha laivu TBCCM ili nizime tv?
Unafiki wako nahisi kuna wakati ukiwa kwenye kioo unajitazama unajishangaa.

Unaulizia uweze kuangalia, hapa unaongopa unataja ujue muda uzime.
Kusema ili uzime maana yake unaangalia TBC kumbe.

Wote tunajua TBC kila mara wanasifia serikali chini ya isiempenda.
 
Back
Top Bottom