Rais Magufuli kuzindua mradi wa umeme Mto Rufiji Julai 26, 2019

Ongea kiswahili fasaha zwazwa wa lumumba wewe
 
Kwastyle hii ndo mana Ficiem OG vs ficem wakuja wameamua mwisho wa jiwe 2020
 
Kwastyle hii ndo mana Ficiem OG vs ficem wakuja wameamua mwisho wa jiwe 2020
Siku nyingine ongea usizunguke.
Unapenda kuangalia habari za Magufuli kuliko kuwaangalia ndugu zako kijijini.

Magufuli kiboko ya wanafiki.
 
Show zinaendelea mwaka wa nne mfululizo lakini confidence ni zero na sasa mpaka waganga wanatishia watu wasigombee.
 
Kwanini unatukana, ni Kweli wewe ni Mtanzania? huna haja kutukana acha chuki binafsi, toa hoja matusi yanatoka wapi ? toa mchango wa mawazo yako kwa Hekima, ongozwa na ukweli kwanza.
 
Unaroho mbaya sana hivi mtaacha lini kusaliti maendeleo ya nchi yenu
 
Umeme wa gesi ya Mtwara haitoshi tena?
Nakumbuka Profesa Muhongo naye alitwambia mradi wa gesi ungetoa umeme mwingi sana hata tungeweza kuuza nchi za nje.
Leo tena Stigler's gorge......au ni mimi tu ndio nakumbuka maneno ya Profesa Muhongo 😂😂
 
SASA NIMEKUWA NA UHAKIKA NCHI ITAPIGA HATUA ZA KIMAENDELEO. SIO MARA LEO UMEME HAKUNA VINU VINAFANYIWA SERVICE NK! MUHIMU WAANGALIE WASIHUJUMU UJENZI WAKE HAWA MABWANA WASIOTAKA TUPATE HUO UMEME WA BEI NDOGO NA WA UHAKIKA.
 
Kwanini unatukana, ni Kweli wewe ni Mtanzania? huna haja kutukana acha chuki binafsi, toa hoja matusi yanatoka wapi ? toa mchango wa mawazo yako kwa Hekima, ongozwa na ukweli kwanza.
Kwa hiyo upumbavu ukizungumzwa na Dr. Bushiru sio tusi ila ukizungumzwa na mtu mwingine unakua tusi. Hivi nyinyi fisi wa Lumumba nani aliwaroga???
 
Siku nyingine ongea usizunguke.
Unapenda kuangalia habari za Magufuli kuliko kuwaangalia ndugu zako kijijini.

Magufuli kiboko ya wanafiki.
Mnafiki mmojawapo ni wewe na huyu mumeo
 
Mnafiki mmojawapo ni wewe
Mkuu mimi naangalia na kufuatilia habari za wanasiasa wote na sifichi hisia zangu kuhusu siasa.

Sifanyi unafiki wa kupondea kitu kisha kwa siri naenda kukifuatilia au kukikubali.

Mimi sio kada au mfuasi fuata upepo. Namkubali Magufuli, nilimpa kura, nitampa kuratena akigombea, mimi si mwanachama wala shabiki wa CCM, CHADEMA n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…