Rais Magufuli, kwa hili la COVID-19 hujengi Taifa bali unajenga chuki na hasira kwa wananchi

Rais Magufuli, kwa hili la COVID-19 hujengi Taifa bali unajenga chuki na hasira kwa wananchi

We unataka afanyaje,unataka atangaze tujifungie ndani ukitegemea utapewa pesa bure??kwa akili yako Taifa changa Kama Tz lenye watu wengi zaidi ya 60ml ukiwafungia ndani utaealisha kucha?mataifa makubwa yanashindwa Tanzania utaweza?
Mh Rais samani I know una nguvu zote na Mamlaka ila hiki unakifanya kubeza njia za kisayansi na kupingana na watu wa afya wazi kweli unalitesa Taifa na kamwe hulijengi.

Hivi kweli una apa nakujivuna as if huwoni nini kimeikumba dunia kweli basi hata kama niukweli basi kuna mambo bora usiseme.. Watu wanazika ndugu jamaa na marafiki sasa watu wa afya wanashauri wewe kila ukisimama unarusha mawe hivi kweli unafikiri hii ni dalili nzuri ktk utawala wako?

Basi heshim kidogo madaktar wanao pata tabu ni wananch wako watu wanaongea vibaya sana huku kitaa una creat hasira na uchungu hasa kwa watu wamesha poteza ndugu kwa covid 19.

Hivi unafikiri Watanzania tunajisikiaje? Basi funga hosp zote hili liwe taifa la watu wamitishamba dawa za jadi aka tiba mbadala. Mkuu covid anayeyuka at 56c joto la binadam 36-37c huko kujifukiza nihatari sana wengi wamekufa je unaweza jifukiza up to 56c? Nahapandio wengi wanapasemea?

Nafasi yako kubwa sana unatisha watu sana kiasi unafanya watu wote kwenye secta ya afya kushindwa tekeleza wajibu wao vyema. Wakiogopa tumbuliwa. Be on side ya Raia; je, tumwamini nani? Unatukosesha iman na sekta ya afya unaleta chuki kati ya raia na sekta ya afya. Unasababisha majibu ya covid 19 yatolewe fake ili wakufurahishe yes watakufarisha ila nataka kusema even you and your team hamtokuwa salama n hapo ndipo mtakumbuka ushauri mlikwisha ambiwa.

Viongoz wastaafu marais naomba mumshauri Mh Rais watu hatumuelewi kwani alienda somea udaktar wabinadam mbona yeye dokta, mkemia, eng nk kulikoni nini kaz ya taasisi ya Rais? Je anajuwa madhara ya muda mrefu kwakuwa kila mahali?

Mh sema ukweli mega projects umezianzisha zinakomba hazina yote ukifunga nchi tumekwisha na huwo ndio ukweli mchungu. Pili covid 19 kwa wa Tz imetukuta kipindi kibaya sana tayari uchumi ulikuwa kwenye kilima.. Tatu waache watu wa afya atekeleze kaz zao. Usiwarushie mawe na vijembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msituogopeshe bhana, huu ugonjwa hauna madhara kwa afrika hata Kenya wanapotangaza kila siku sioni vifo vingi,msijifanye nyie ni wazungu. Semeni ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilikuwa natafuta Uzi wako;nilijua utasema kwa uchungu...

Pole Kiongozi

ila sasa uwe makini usije kujikuta na chatu peke yako room moja ana kwa ana face to face alone



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread yako imejaa maneno ya kufikirika na hisia binafsi ukijifanya kusemea walio wengi
Kujifukiza hata kama hakuui wadudu wote,lakin kunasaidia kuwapunguza nguvu na.kuqadhibi,ukishapiga kwa siku 3 tu,kwishney
Nyie mnaopiga makelele tukichungulia chini ya vitanda vyenu lazima tutakuta masufuria ya nyungu tena yale meusii kwa masizi,halafu mnakuja huku kuwachanganya watu

TUMEPOTEZA DIRA NA MWELEKEO, HATUELEWI TUENDAKO.
 
Yupo tayari nchi nzima mfe ili mradi asifate maneno ya wapinzani hahaha! Mnaongozwa na tahira
Hahahaaa hawa ni sawa na wale maskini jeuri. Ukimpa mtaji afanye biashara ili aokoe familia yake na watoto anakataa anasema eti hiyo itakuwa dharau. Yaani apewe pesa na mtu mwingine?? Hahaaa
 
Thread yako imejaa maneno ya kufikirika na hisia binafsi ukijifanya kusemea walio wengi
Kujifukiza hata kama hakuui wadudu wote,lakin kunasaidia kuwapunguza nguvu na.kuqadhibi,ukishapiga kwa siku 3 tu,kwishney
Nyie mnaopiga makelele tukichungulia chini ya vitanda vyenu lazima tutakuta masufuria ya nyungu tena yale meusii kwa masizi,halafu mnakuja huku kuwachanganya watu
Maccm mnaparuana. 🤣🤣
 
Mi hua nashangaa mtu anavyosema WANANCHI WANAKASIRIKA umejuaje kwanini usiseme NIMEKASIRIKA
Kama hujui hilo labda unakaa mbinguni. Wananchi tunachukizwa na hotuba zisizo na miguu wala kichwa.
 
Tatizo siyo JPM, tatizo ni katiba mbovu tulio nayo ambayo inampa mamlaka mtu mmoja kuwaza sahihi kwa niaba ya watu 60M
 
Alisema yeye havai ata hizo sijui nini barakoa. Mh Rais anadidimiza juhudi ya viongozi wa chini yake wanaosisitiza uvaaji wa Barakoa. Kweli jamaa kwake hazimtoshi.
 
Si ndo hapo,alafu kila siku wanalalama wanachokitaka ni nini? Kama wao wanataka wajifungie kuna aliyewazuia? Wanajitia kimbelembele kuwaonea watu wengine huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingawa huyu jamaa simkubali, lakini sidhani kama hoja yake inazungmzia kujifungia, (lockdown)! Msome vizuri, ukielewa ndo upinge hoja husika!!
 
The number of deaths in the world in the last two months of 2020

14,687 : Corona virus

69,602 : Common cold

140,584 : Malaria

153,696 : suicide

193,479 : road accidents

240,950 : HIV loss

358,471 : alcohol

716,498 : smoking

1,177,141 : Cancer

Then do you think Corona is dangerous?

Or

is the purpose of the media campaign to settle the trade war between China and America

or

to reduce financial markets to prepare the stage of financial markets for mergers and acquisitions

or

to sell US Treasury bonds to cover the fiscal deficit in them

Or

Is it a Panic created by Pharma companies to sell their products like sanitizer, masks, medicine etc.

Do not Panic & don't kill urself with unecessary fear:I am posting this to balance your newsfeed from posts that caused fear and panic.



338,724 People are sick with Coronavirus at the moment, of which 81,093 are in China. With a population of over 1.1 billion. This means that if you are not in or haven't recently visited China, this should eliminate 94% of your concern.

If you do contract Coronavirus, this still is not a cause for panic because:

81% of the Cases are MILD

14% of the Cases are MODERATE

Only 5% of the Cases are CRITICAL

Which means that even if you do get the virus, you are most likely to recover from it.

Some have said, “but this is worse than SARS!”. SARS had a fatality rate of 10% while COVID-19 has a fatality rate of 2%

Moreover, looking at the ages of those who are dying of this virus, the death rate for the people UNDER 50 years of age is only 0.2%

This means that: if you are under 50 years of age and don't live in China - you are more likely to win the lottery (which has a 1 in 45,000,000 chance)

Sunday 22nd March in Italy 793 died.

Let’s take one of the worst days so far, the 10th of February, when 108 people in CHINA died of Coronavirus.

On the same day:

26,283 people died of Cancer

24,641 people died of Heart Disease

4,300 people died of Diabetes

Suicide took 28 times more lives than the virus did.

Mosquitoes kill 2,740 people every day, HUMANS kill 1,300 fellow humans every day, and Snakes kill 137 people every day. (Sharks kill 2 people a year)

TAKE MULTI VITAMINS AND DO THE DAILY THINGS TO SUPPORT YOUR IMMUNE SYSTEM , PROPER HYGIENE AND DO NOT LIVE IN FEAR.

Join Me to Spread Hope instead of Fear. The Biggest Virus is not Corona Virus but Fear!

SHARE TO STOP PANIC. [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom