PRJ2012
Member
- Oct 10, 2019
- 30
- 25
Alichosema Rais wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo katika maadhimisho ya miaka 20 ya kifo cha baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mkoani Lindi.
"Miaka 20 iliyopita baba wa taifa alikuwa hai lakini sasa ametangulia mbele za haki. Miaka 20 ijayo sidhani kama kuna watu tutakuwa hai. Tufanye mambo ambayo kila mmoja wetu atakumbukwa kama tunavyomkumbuka baba wa taifa leo".