technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?
Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.
Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mpaka 1.7 kwa mwezi?
Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?
kwanini wasijisomeshe kwa pesa ya kodi yao?
Au iyo pesa ukusanyi ni figure tu?
Duh!Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?
Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.
Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mpaka 1.7 kwa mwezi?
Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?
kwanini wasijisomeshe kwa pesa ya kodi yao?
Au iyo pesa ukusanyi ni figure tu?
wapi wewe huna hoja, serikali isiyozalisha ajira ni serikali iliyoshindwa.Duh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!
Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!
Mbona nyie hamjiajiri mmejibanza hapo Lumumba miaka nenda rudi?Duh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!
Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!
Lumumba ni wapi? Nielimishe!Mbona nyie hamjiajiri mmejibanza hapo Lumumba miaka nenda rudi?
Kuna mjinga kama wewe unaewambia wenzako wajiajiri wakati wewe tangu umalize masomo kula na kulala yako inategemea ccm?Lumumba ni wapi? Nielimishe!
Kudhani unamfahamu mtu fulani wakati humfahamu ni aina mojawajo ya ujinga ambao huyo mjinga hajui kama ni mjinga!
Ndio maana nikaandika, ''Kudhani unamfahamu mtu fulani wakati humfahamu ni aina mojawajo ya ujinga ambao huyo mjinga hajui kama ni mjinga''!Kuna mjinga kama wewe unaewambia wenzako wajiajiri wakati wewe tangu umalize masomo kula na kulala yako inategemea ccm?
Duh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!
Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!
Taja nchi yoyote dunia ambayo wasomi wote hupata ajira. Ila katika kila nchi kunw fursa nyingi za kufanya kaziwapi wewe huna hoja, serikali isiyozalisha ajira ni serikali iliyoshindwa.
Duh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!
Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!
Wewe ulitaka nijiari wapi?Utakua umejiajiri kule mto ngono.
Kwani wewe hujajiajiri?Ahaaa ahaaaa, nimecheka kwa nguvu. Majibu ya wakata pumzi huwa yako hivi.
Taja nchi yoyote dunia ambayo wasomi wote hupata ajira. Ila katika kila nchi kunw fursa nyingi za kufanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe hujajiajiri?
Duh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!
Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!
Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?
Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.
Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi?
Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?
kwanini wasijisomeshe kwa pesa ya kodi yao?
Au iyo pesa ukusanyi ni figure tu? kopa tujenge viwanda tuwekeze kwe technology tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa ambacho output yake haitapita hata miaka 5 tutakuwa umeshaiona.