Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Serikali zote zilizoshindwa ni zile zilizoshindwa kuajiri vijana wakeDuh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!
Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!
Utakua umejiajiri kule mto ngono.
Hivi ndugu yangu, huwa ukishaandika na kurudia kusoma unaamini kabisa ulichoandika?Duh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!
Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!
Elimu uliyopewa kwa maana nyingine ni uwekezaji na kinachotakiwa ni kuufanya huo uwekezaji uwe na tija!
pumbavuAnayebeza uwiano wa makusanyo ya kodi na shughuli za maendeleo na uwekezaji na gharama za uendeshaji wa serikali na taasisi zake na kulipa madeni ya nyuma yaliyokopwa na awamu zilizopita, n.k., n.k. huyo ni kibaraka wa mabeberu
Dogo huo ndo ukweli hakuna MTU aliyejiajiri anatetea uhuni unaofanywa na ccmLumumba ni wapi? Nielimishe!
Kudhani unamfahamu mtu fulani wakati humfahamu ni aina mojawajo ya ujinga ambao huyo mjinga hajui kama ni mjinga!
Mkuu meanza kupoteza focus. Mi mbon huwa nakuelewa leo umenzaje kunichanganya hivi/Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?
Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.
Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi?
Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?
kwanini wasijisomeshe kwa pesa ya kodi yao?
Au iyo pesa ukusanyi ni figure tu? kopa tujenge viwanda tuwekeze kwe technology tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa ambacho output yake haitapita hata miaka 5 tutakuwa umeshaiona.
Tatizo sio kuwa vibaraka wa mabeberu ni uelewa mdogo wa mambo. Suala dogo tu hata mtoto anajua, kuna magari ya serikali yanakula mafuta, mishahara, kuna ndege za jeshi na polisi zinakula mafuta. Mtu hajui kuwa serikali inajitahidi haya yakae sawa.Anayebeza uwiano wa makusanyo ya kodi na shughuli za maendeleo na uwekezaji na gharama za uendeshaji wa serikali na taasisi zake na kulipa madeni ya nyuma yaliyokopwa na awamu zilizopita, n.k., n.k. huyo ni kibaraka wa mabeberu
Umejibu vema, kuna ulazima kukopa kwa ajili ya mambo basic ya nchi.Duh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!
Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!
Elimu uliyopewa kwa maana nyingine ni uwekezaji/soko na kinachotakiwa ni kuufanya huo uwekezaji uwe na tija!
Hofu yangu ni pale Raisi atakapomaliza kipindi chake, miradi hii mingi italiwa na wajanja hasa haohao vijana anaowasifia leo. Cheki kina Kangi wanapiga peupe angali yupo!! Ya Mwl Nyerere na kufa viwanda yatajirudia . Tukubali tuimarishe Katiba.Takwimu za awamu hii zina walakini, lakini pia JPM kaamua kuibebesha nchi zigo la miradi mikubwa (baadhi isiyo na tija) nchi, mbaya zaidi tunalipa makampuni ya nje kutekeleza miradi hiyo, hivyo basi matumizi ya serikali ni makubwa na pesa yote inakwenda nje, sie tunabaki na midege imepaki uwanjani.
Wananchi wake walio wengi nao ni masikini hawawezi kusomesha watoto mpaka vyuo vikuu hivyo wajinga lazima wawe wengi tu.NILISHA SEMA NA NINARUDIA KUSEMA ELIMU BURE NI KIZUNGU MKUTI , TANZANIA HAIJAFIKIA LEVEL YA KUTOA ELIMU BURE!! NI KITU KISICHO WEZELANA.
Hizi hadithi zako zimeanza awamu hii. Jiwe kavuruga maisha ya watanzaniaDuh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!
Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!
Elimu uliyopewa kwa maana nyingine ni uwekezaji/soko na kinachotakiwa ni kuufanya huo uwekezaji uwe na tija!
Namba hazidanganyi kaka, unakusanya 1.3trilion kwa mwezi unalilia 1.3trilion kwa mwaka.Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?
Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.
Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi?
Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?
kwanini wasijisomeshe kwa pesa ya kodi yao?
Au iyo pesa ukusanyi ni figure tu? kopa tujenge viwanda tuwekeze kwe technology tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa ambacho output yake haitapita hata miaka 5 tutakuwa umeshaiona.
Wazungu hawana shida ukitaka chukua ukitaka acha uone nani anaumia.Wazungu ukiwaomba mkopo wa Afya, elimu na maji hawawezi kukunyima. Na ndio hapo sirikali inapocheza nao. Wananunuwa ndege kwa cash ambapo wqzungu wasingewapa mkopo kwa transaction hiyo na wanakopa kwenye elimu wakiwa na guarantee ya kupata riba ndogo ama kusamehewa deni liki default. It's a tricky game.
Duh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!
Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!
Elimu uliyopewa kwa maana nyingine ni uwekezaji/soko na kinachotakiwa ni kuufanya huo uwekezaji uwe na tija!
siyo kwamba imeshindwa kukusanya na kupata pesa hizi, mambo ni mengi na tunaishi kwa priorities yote yanaweza kuwa ni matatizo na changamoto tunaangalia nini kianzeMakusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?