Rais Magufuli: Msichague wanasiasa wanaohubiri chuki, vurugu zikitokea wao watakimbia kwenda kuishi kwingine

Tundu Lisu hafai kabisa sijui walimlmpaje fomu huyo mjinga mjinga vile
 
Maendeleo yamefanyika kwakiasi kikubwa sana ww unasema amani imevurugika tulia kijana
Maendeleo yapo mengi sana tatizo baadhi ya watu wanaishi kwa hofu,yaliyotokea Hai ni maendeleo au uvunjifu wa amani?
 
Ni kweli na wengine ni viongozi wa serikali kabisa wanakiuka haki za msingi watasababisha uvunjifu wa amani.watu kama hao inabidi kuwapinga
 
Aache unafiki atende haki , tume ya uchaguzi ,wakurugenzi , watendaji wa kata , usalama wa taifa , polisi uchaguzi uwe huru ,wa wazi na wa haki ,bila hivyo mwaka sambula mabese inatuhusu.
 
Na yeye si anakwao huko uhutuni ,hato kimbilia huko kikinuka ? Mbona alivyopata uongozi alienda na kundi la mang'ombe kutambikia.
 
Ina maana Nape, Ndugai, Kibajaji, Kessy, na wengine wa CCM?
 
Asitupangie....kwanza yeye ndo anaongoza kwa kuleta chuki nchini kwetu.
 
Tatizo la Magufuli ni mnafiki na mzandiki,anayo yasema sio anayo yatenda.Kwa mujibu wa imani yangu mnafiki ni mtu mbaya kuliko muuaji.Magufuli anasahau kila baya alilokuwa analifanya kwa kuwaona wananchi wote ni mbugira.Hapana mtu kama huyu sio kabisaaa
 
Huyu akipita kunawatu wataumia sana,hapo alipo anachuki isiyo ya Kawaida.Wapinzani watapata wakati mgumu sana jipangeni kisychology
 
Jpm Ni Rais anayejua misingi ya uongozi, anawaasa vijana ambao huwekwa Kama chambo hali ya kuwa wanaowatuma wanakuwa kwenye viyoyozi wakila mema ya ulimwengu.
 
Ni kweli kabisa, watu kama Nape, Mwigulu, Bashite yaani kwa kifupi CCM sio wa kuwachagua. Wanahubiri chuki na ubaguzi muda wote.
Naomba wapinzani watumie kauli zake zote za chuki kummaliza yeye mwenyewe.
Wawakumbushe wapigakura majukwaani.
 
Kama ile tweet ya Magufuli kukemea shambulio la Lisu haiku survive hata kwa siku saba ikapotelea kusikojulikana.
Unategemea akemee jambo kama hilo ?
Kamwe hawezi maana wasiojulikana wanamzuia kufanya mambo mengi sn hadi wanamzuia kusaini pesa ya matibabu ya Tundu Lissu
 
Sawa sawa mkuu.... Hizi ndo akili za walevi na wala Unga wa lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…