Rais Magufuli: Msichague wanasiasa wanaohubiri chuki, vurugu zikitokea wao watakimbia kwenda kuishi kwingine

Rais Magufuli: Msichague wanasiasa wanaohubiri chuki, vurugu zikitokea wao watakimbia kwenda kuishi kwingine

Wale vijana kule hai Jana hujawaona mkiwatumia,ndugu zangu wakilimanjaro tusikubali hawa mabeberu watuharibie mkoa wetu
Mimi ni mchaga pure mchaga ukimlipa na kunwambia fanya chochote kwa muda Fulani atafanya na usidhangae wale vijana wakaipigua kura chadema pale walikuwa kazini baada ya kulipwa na sabaya.
 
Kijana Jpm ndie ndie dawa yenu hamna hoja kabsa
Wewe una hoja gani ya kununua ndege zisizo kaguliwa na kujenga SGR wakati unamfukuza kazi CAG akienda kuchungulia kinachoendelea uko?

Huu upumbavu wambieni wapumbavu wenzenu watu wanataka Uhuru uwazi na Haki katika nchi yao.
 
Mimi ni mchaga pure mchaga ukimlipa na kunwambia fanya chochote kwa muda Fulani atafanya na usidhangae wale vijana wakaipigua kura chadema pale walikuwa kazini baada ya kulipwa na sabaya.
Kilimanjaro tumeamua kumkubali Jpm maana tuneona aliyo yafanya
 
Mjini wapi wewe Mrundi wewe hakuna mchaga mwenye akili ya kupumbavu Kama wewe
Kumbe ukiwa mchaga lazima uwe chadema ? Ccm mbele kwa mbele mwaka huyu lazima turudishe majimbo yote kwa maendeleo aliyofanya Jpm, tunaanza na same mashariki tunamalizia Hai
 
Back
Top Bottom