Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Akina Kabendera alichukuliwa kwa nguvu hadharani na polisi wakakana. Baada ya kelele mingi wakasema tunaye.
'''Unataka tu bado ushaidi mwingine?'''
Sent using Jamii Forums mobile app
Shame on you najua mnafanya hivi ili kufumba watu midomo haitawezekana kamweNi sawa kabisa,tena itungwe sheria Kali dhidi ya vyombo vya habari vinavyohusika kutoa taarifa za uzushi kama hizi ili Iwe mwisho wa upuuzi huu,mtu amekamatwa let's say na polisi mijitu inasema ametekwa,mtu yuko offline kwa matatizo ya mtandao wanadai ametekwa,hatuwezi kufika kwa kuendekeza upuuzi kama huu
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo la nchi siyo chadema.Kuna mtu anatumia jina lake humu JF ukiwauliza Chadema watakua na majibu sahihi.
macson
Wakurya walikua wameshatonywa na mwenyekiti wao wa mtaa kwamba pale kwny kituo cha mafuta kuna watu hawawaelewi vizuri,so walikua tayari tayariKwa wakurya nadhani watu siku hiyo mapanga hayakuwa karibu,wangekuwa nyama za buchani nadhani
Well said my beloved president, sasa watakoma watakaoendelea kuhusianisha kupotea kwa watu na vyombo vya usalama!. Maana hadi inakera, usalama gani ambao wana kazi ya kuteka watu wao kila siku!!. Yaani badala ya kuwalinda wawateke, kweli!?
Ngoja mama janeti na cheupe kairuki wapotee ndo utaelewa kwanini tunawapigia kelele nyie watekaji!!!
Tamko limeshatoka tayari na amiri jeshi wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Kazi kwako kusuka au kunyoa
Kwa Nini matukio ya utekaji yameshamiri awamu hii ambayo anaiongoza?
Kuna mtu anatumia jina lake humu JF ukiwauliza Chadema watakua na majibu sahihi.
macson