Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

Ni sawa kabisa,tena itungwe sheria Kali dhidi ya vyombo vya habari vinavyohusika kutoa taarifa za uzushi kama hizi ili Iwe mwisho wa upuuzi huu,mtu amekamatwa let's say na polisi mijitu inasema ametekwa,mtu yuko offline kwa matatizo ya mtandao wanadai ametekwa,hatuwezi kufika kwa kuendekeza upuuzi kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Shame on you najua mnafanya hivi ili kufumba watu midomo haitawezekana kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu anatumia jina lake humu JF ukiwauliza Chadema watakua na majibu sahihi.

macson
tatizo la nchi siyo chadema.

tatizo ni viwanda alivyoahidi magufuli na hajajenga hata kimoja.

go back to your senses and stop blaming chadema for your failures.
 
Kwa wakurya nadhani watu siku hiyo mapanga hayakuwa karibu,wangekuwa nyama za buchani nadhani
Wakurya walikua wameshatonywa na mwenyekiti wao wa mtaa kwamba pale kwny kituo cha mafuta kuna watu hawawaelewi vizuri,so walikua tayari tayari

dodge
 
Majeshi ya Ulinzi na Usalama wao ndio wanatakiwa kutuhakikishia kuwa sio TISS kwa kukamata wale wote wasiojulikana ili jamii itokane na dhana hiyo
 
Well said my beloved president, sasa watakoma watakaoendelea kuhusianisha kupotea kwa watu na vyombo vya usalama!. Maana hadi inakera, usalama gani ambao wana kazi ya kuteka watu wao kila siku!!. Yaani badala ya kuwalinda wawateke, kweli!?
 
Akili kumkichwa hakika ujinga wa uzeen lazma utakwenda nao kaburn
Well said my beloved president, sasa watakoma watakaoendelea kuhusianisha kupotea kwa watu na vyombo vya usalama!. Maana hadi inakera, usalama gani ambao wana kazi ya kuteka watu wao kila siku!!. Yaani badala ya kuwalinda wawateke, kweli!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni uhakika yeye anao ushahidi na upotevu was watu. Akiwa rais hajawahi kukemea haya matendo. Vyombo vya dola hususan Tiss ni pure flop kwa kukubali amri za hawa wajinga wasioheshimu utawala was sheria.
 
Ni sawa na mwanao akuulize jambo la familia wewe kama baba/mama umwambie akaulize kwa jirani.

Ujirani hauwezi kuwa sehemu ya familia yako. Timiza majukumu usimtafute mchawi.

Bila shaka sihitaji kuongeza sauti..[emoji345][emoji345]
Kuna mtu anatumia jina lake humu JF ukiwauliza Chadema watakua na majibu sahihi.

macson

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom