Mkuu ni kweli sasa hawa kamati tatu ndo zimetufikisha hapa Mzee kunawa tuna nawa sana Hanna kitu wanafanya mpaka zaid ya kutusomea idadi ya ongezeko la wagonjwaMtu mjinga aliyepata zero ataongozaje mapambano ya cov19 / labda yakuuwa watu na risasi na kubwabaja.
Yaani mtu ambaye hata Kinondoni Talent Search alishindwa Kuiendeleza ndo mumpe usukani wa kuongoza vita dhidi ya Corona?
Hivi mkuu unawachukuliaje watanzania?
Sasa hivi akili zime mkaa sawa naona kusema tuu lazma kuvaa barakoa naona hii ni hatua kuelekea akili kukaa sawa.Mkitaka tuteketee muwekeni Bashite.. nadhani anachangia kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa Dar kwa kauli zake zisizoeleweka na zinazopinzana..
Siku ya kwanza anakwambia usikae ndani utakufa njaa , kesho atakuambia ukikutwa nje unazurura unatapewa adhabu ya kusafisha mitaro..
Mkoa wake ndio unaongeza kwa mikusanyiko ( makanisa , bar , sokoni , kariakoo)
Jamaa inatakiwa atumbuliwe au atleast wamfiche ndani asitoe tamko lolote hadi corona itakapokuwa undercontrol.
Mjinga ni mtu yeyote, kama wewe, ambaye anategemea Serikali imsimamie usafi na tabia wa afya yake!Mtu mjinga aliyepata zero ataongozaje mapambano ya cov19 / labda yakuuwa watu na risasi na kubwabaja.
Habati mbaya mapambano haya yanahitaji kila MTU ajitoe kama kaamua kujitoa kwa hili ili kulinda watu wake acha tumfikilieYaani mtu ambaye hata Kinondoni Talent Search alishindwa Kuiendeleza ndo mumpe usukani wa kuongoza vita dhidi ya Corona?
Hivi mkuu unawachukuliaje watanzania?
Aliagiza miguu bandia bila kuwapima wahusika ikamdodea
Hapana Mkuu lazma tutoke hapa kwenda hatua nyingine maambukiz yanazid hapa hakuna measure kamati zipo kimya mkuu lazma twende hatua moja mbeleMkuu tuombe radhi kwanza uwezi kutudharau kiasi hiki huyu anaongwaza kwa miemko dsm hii inamshinda tu sasa tumpe jukumu kubwa kama hilo huu ugonjwa hatari bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule jamaa haaminiki. Kesho anaweza kuja na tamko jingine la ajabu .. ni bora angetafutwa mtu mwenye busara na uwezo wa kufanya kazi..Sasa hivi akili zime mkaa sawa naona kusema tuu lazma kuvaa barakoa naona hii ni hatua kuelekea akili kukaa sawa
Vipi jana mlikaa kikao cha familia ?pole na majukukumu hapo chato mhe rais wangu.
Baada ya kuwaza sana juu ya kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa corona naomba nikuombe bomoa zile kamati muweke Rc Makonda aongoze mapambano kwa sababu zangu ninazo ziona
Kwanza Makonda akili imesha mkaa sawa sasa hivi naona ameamua kuongoza mapambano mwenyewe hizi hatua at least ndo wananchi wanazitaka kuona kuchukua hatua lakin wananchi hawawezi kuchukua hatua bila msukumo wa viongozi wao hapa naona makonda amethubutu
Pili amesha experience kuwa mzaha mzaha hutumbua usaha kaona sasa kwenye mkoa wake wananchi wanazidi na dar inaweza kuwa kitovu cha maambukizi hivyo kama mtu wa mwisho kukaa na wananchi ameona aingie front
Tatu Utubutu wake ingawa kwenye hili inatakiwa response zote zitoke kwa ummy ama waziri Mkuu bahati mbaya ummy ameamua kuwa msoma idadi ya walio ambukizwa tuu baada ya hapo huwezi msikia tena akija na lingine sikumbuki Mara ya mwisho kumuona waziri wangu akifanya press conference juu ya corona zaid ya kusoma tuu idadi ya waathirika
Mhe, raisi naomba nikili wazi sijawahi kukubaliana na mambo ya makonda Mengi sana ila kwenye hili naomba niseme ameanza kuonyesha njia ambayo kamati imeshindwa kufanya Leo hii uturuki wameanza kuwa na visa Vinci vya corona kuliko Irani hivyo tukiendelea na hizi kamati zako tunaweza jikuta na kesi nyingi kuliko nchi zote za Afrika mashariki na kati
Sio siri huku mtaani tuna nawa sana lakini kila Siku idadi inaongezeka hebu twende hatua ya pili kuona tunelekea wapi japo mpe makonda ama Muongezeni makonda kwenye hizo kamati wasiwasi Wetu vikao vya kujadili kukabiriana na corona visije vikawa vingi vyenye posho kuliko jinsi ya kukabiliana na Corona kwenyewe
Mjinga ni mtu yeyote, kama wewe, ambaye anategemea Serikali imsimamie usafi na tabia wa afya yake!