Rais Magufuli muongeze RC Makonda aongoze mapambano ya Covid-19

Acha wehu mtoa posti kama kuongezwa kwenye kamati aongezwe Baba Askofu Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge na sio huyo zero brain bashite
 
Habati mbaya mapambano haya yanahitaji kila MTU ajitoe kama kaamua kujitoa kwa hili ili kulinda watu wake acha tumfikilie

Mkuu hakuna cha kujitolea hapo. Huyo analipwa na kodi za Wananchi. Hamfanyii favor mtu yoyote. Ni Kazi yake Hiyo.
 
Bashite anavijana wake mtandaoni anawalipa kwa kutoa post za kipuudhi kama hizi
Sijawahi na wala sitakuwa mmoja wao Mkuu dhamira ya nafsi yangu safi imenituma hivi
 
Sijawahi na wala sitakuwa mmoja wao Mkuu dhamira ya nafsi yangu safi imenituma hivi
Huo ndio ukweli wenyewe .
Labda uwe mwehu.
Hakuna na haitapata kutoke mtu mwenye akili timamu eti dhamira yake imtume kumuunga mkono bashite.
Nyie ndio wale ambao hata spika ndugai aliwasema
 
Acha wehu mtoa posti kama kuongezwa kwenye kamati aongezwe Baba Askofu Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge na sio huyo zero brain bashite
Huyo Askofu kwa kuwa kazuia Ibada Kanisani! Wewe umechukua hatua gani kulinda uhai wako na wa familia yako, au unasubiri zuio la Serikali?
 
Jina lako lina leta maana kilichopo kichwani mwako.

Huyu bashite hapambani na corona, anatafuta kiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Askofu kwa kuwa kazuia Ibada Kanisani! Wewe umechukua hatua gani kulinda uhai wako na wa familia yako, au unasubiri zuio la Serikali?
Najilinda Sana ndugu, navaa mask, nanawa mikono, natumia sanitizer, nimeacha kwenda bar nakama wiki hivi.
Changamoto nyingi sema ndio hivyo tena pamoja na maombi inshalah Mwenyezi Mungu atotoe salama kwenye hili janga
 
Acha wehu mtoa posti kama kuongezwa kwenye kamati aongezwe Baba Askofu Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge na sio huyo zero brain bashite
Ni kweli nampongeza baba askofu kwa kukinga waumini wake kwa kuzuia ibada hizi ndio action tunazo taka sio kukaa kusubir mpaka wananchi tunaona kamati inachelewa kuchukua hatua ngumu

Tukirud kwa makonda kaamua kuthubutu kwa mkoa wake japo kusema kuanzia j3 watu wote waanze kuvaa barakoa badala ya kumbeza kwa nin tusiamue kwa pamoja
 
Najilinda Sana ndugu, navaa mask, nanawa mikono, natumia sanitizer, nimeacha kwenda bar nakama wiki hivi.
Changamoto nyingi sema ndio hivyo tena pamoja na maombi inshalah Mwenyezi Mungu atotoe salama kwenye hili janga
Hongera Mkuu sasa kuna watu wanasubiri kuambiwa hiki kitu ni lazma ndo wanapeleka idadi kupanda kamati imekaa kimya makonda kaamua kujimwambafai sisi tunambeza shida nini
 
Kama
Jina lako lina leta maana kilichopo kichwani mwako.

Huyu bashite hapambani na corona, anatafuta kiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya majina Mkuu tusichekane bwana kama lako tuu huoni lakn kwa sisi wengine wazurulaji hii corona inatupa tabutupu inafanya tusizurule
 

Huyu nae anaendeleza siasa zile zile ambazo watu walishaziacha Siku nyingi Sana, mwanzoni mwa Mwaka 2016 hawa walikuwa wengi saaaaana humu walikuwa kikundi kikubwa Sana na walikuwa wanalipwa, baadae walipotea sijui huyu kafufuka toka wapi sijui ni wale mmoja wao amerudi Au ni Mpya sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndio ukweli wenyewe .
Labda uwe mwehu.
Hakuna na haitapata kutoke mtu mwenye akili timamu eti dhamira yake imtume kumuunga mkono bashite.
Nyie ndio wale ambao hata spika ndugai aliwasema
Kumuunga mkono kwa lipi Mkuu mbona awali kwenye ule upuzi kwa kutaka watu watoke wasiogope corona hukuona nakuja kuanzisha Uzi lakini kwa alicho kisema hiki nimeona kina mantiki

Mkuu waswahili wanasema hata mjinga hakosi la maana
 
Hivi unafahamu kipato cha mkazi wa kawaida wa dsm?
Kila mtu avae barakoda wengi wa wakazi wa dsm vipato vyao haviwawezeshi kununua hizo barakoda.
Anavyofikiria yeye anavyopewa ma rushwa na kina gsmm anajua ni kila mwanadaresalam.
Tatizo la kuwa na viongozi vilaza ndio hili nimemkumbuka mke wa mfalme wa ufaransa aliye waambia Wananchi waliokuwa wanaandamana kwa njaa eti kama hawana chakula wale keki.
Plato alipoelezea kwenye falsafa yake kwamba viongozi wanatakiwa wawe ma philosopher king kwamba ni lazima wawe watu waliosoma vizuri hakukosea.
Tunawekewa kiongozi aliyepata division zero form four ndio maana ana maamuzi ya kipumbavu
 
Huyu anayesema watu watumie vitenge,lesso kama Barakoa? Tuwe serious kidogo.........huu ugonjwa ni hatari tunahitaji wataalamu ndiyo wawe wanatoa taarifa zake siyo politicians
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…