Rais Magufuli na mbinu ya Charm offensive: Ujuha wa Chadema

Mkuu CHADEMA wamecheza karata vizuri sana.
Kitendo cha kuwepo viongozi wakuu wa Chadema kwenye sherehe ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika na Mbowe akatumia nafasi hiyo kueleza matakwa yao mbele ya umati mkubwa ni ushindi kisiasa.
Nahisi kuna mazungumzo ya siri kati ya vyama vikuu vya upinzani na Raisi Magufuli yanaendelea.
Usishangae Mbowe kuteuliwa kwenye baraza la mawaziri la Magufuli kabla ya uchaguzi mkuu.
 
Kama kuna kitu inabidi nimsifu au niwasifu washauri wa kisiasa wa rais Magufuli ni uwezo wake wa kuwatumia mahasimu wake kujipandisha chati kisiasa.

Tekniki mojawapo ambayo rais Magufuli ameonekana kuimaster ni kukuminya kisha akakutumia wewe mwenyewe kumsafisha na athari za kibinyo chake mbele ya umma na Mataifa.

Hebu angalia mbinu hizi
1. Makanisa yanatoa waraka mzito, Serikali inahaha kuuzima inashindikana, waraka unasambaa kama moto wa kiangazi, Serikali inaamua kutumia rungu lake kama dola kudeal. na baadhi ya viongozi wa dini, lakini hili nalo linashindwa kuuzima moto wa waraka.

Kisha Magufuli anakuja na wazo la Kuwaita viongozi wa dini Ikulu. Viongozi wanashindana kuzungumza kwa kumsifu bwana mkubwa, sifa kede kede zinamwagwa LIVE kwenye TV almost Nusu Siku ya kazi.

MATOKEO YAKE NINI?
Rais Magufuli anaibuka kidedea, Walewale waliomwandikia waraka mzito ndo wakawa wa kwanza kumsafisha, kawapa charm offensive ya kukaribishwa Ikulu wakaanza kuona kuwa huyu bwana mkubwa kumbe ni mtu safi!.

Tujiulize, Kuna kilichobadirika baada ya waraka?, Mbona basi miaka miwili baadae Utawala wa Magufuli umeenda kufanya yale yale kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?

2. Mfano wa pili, Wafanyabiashara!
Serikali ya Magufuli, iliharibu sekta binafsi, Kodi zikawa hazieleweki, biashara zikaanza kuyumba, kila kona ya nchi kilio kuwa sekta binafsi inakufa. Alichokifanya bwana mkubwa ni nini?.

Kuwaita Wafanyabiashara Ikulu, kuwapa airtime, wafanyabiashara wakaanza kumsifu mheshimiwa, na kuanza kuitupia lawama TRA. Yaani wafanyabiashara walewale wakamsafisha Magufuli mbele ya umma huku lawama zikienda kwa TRA. Umeuona ugenius wa Magufuli kwenye kucheza na makundi ya kijamii?

3. Issue ya Mo
Serikali ilipata lawama sana jinsi ilivyohandle issue ya Mo, mpaka sasa haijulikani nani almteka Mo. Umma una concensus yake kuhusu hili suala, Sasa namna gani serikali itajisafisha kuhusu Mo?. Ni mheshimiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa kiwanda (ambacho sidhani kama kweli kipo) na TV kuonyesha live kuwa kumbe hakuna bifu

4. Issue ya Assad na Trlion 1.5
Assad anaitwa Ikulu mbele ya Camera, anaulizwa makusudi eti serikali imepiga Trilion 1.5, Assad akiwa amewekwa kwenye kona ya kimamlaka anatamka "hakuna kitu kama hicho", Hapo tayari message imeshatumwa kwa skepticals kuwa mheshimiwa yuko Safi ila anazushiwa.

5. Sasa Chadema
Hawa Jamaa wameminywa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, huko mitaani wananchi wanawawekea question mark viongozi waliowekewa kimabavu na serikali ya CCM, migogoro ya kuwakataa hawa viongozi inaanza kuibuka mmoja baada ya mwingine.

Kwa calculations za Serikali ni kwamba inahitajika Meseji au semblance ya Meseji kutoka kwa wapinzani kwenda kwa umma ili kuonyesha kuwa mambo ni shwari, peace tu.

Pia inahitajika kuwatumia wapinzani hawahawa kwenda kwa Wahisani kuwasimanga wahisani waliohoji issue za uchaguzi wa serikali za mitaa kuwa pamoja na Kuminywa kwa upinzani lakini sisi ni Taifa moja n. k.

CHADEMA wakapewa charm offensive ili watumiwe kwenye propaganda za serikali ya CCM, nao bila kung'amua wakajaa wazimawazima. Na kweli serikali ya CCM imefanikiwa kutuma meseji kwa umma unaolilia kunyang'anywa haki ya kuchagua viongozi wao kuwa kumbe "Wakubwa wanaelewana, hivyo basi mambo yako shwari".

HITIMISHO:

CHADEMA wameuza mechi kwenye suala la kwenda kwenye haya maadhimisho ya mwaka huu. Wameipa serikali ya CCM ushindi mkubwa mno wa kipropaganda wa kuonyesha kuwa mambo yako shwari nchini

CHADEMA wanajidanganya wanapoenda kuomba demokrasia kwa raisi Magufuli. Rais Magufuli anajua anachofanya, na amedhamiria kukifanya na huenda akaendelea kukifanya.

Raisi mwenye uwezo wa kukariri sheria za barabara hashindwi kufahamu ibara za katiba juu ya Demokrasia nchini. Lakini ameamua aliyoyaamua.

Sasa CHADEMA kwa Naivety yao wanadhani wao ndo wana jukumu la kutunza amani zaidi kuliko serikali ya CCM!. Ajabu hii

CHADEMA wataendelea kupewa mkong'oto, hali ikionekana kuharibu taswira ya nchi wataitwa tena LIVE kwenye TV kuwapa Photo Op, watawala, kisha wataendelea kupewa mkong'oto na cycle itajirudia.

Nachukia sana jina Nyumbu na mfano wake, lakini ni Nyumbu ambaye huliwa na Simba, kisha baada ya muda mfupi wenzie waliobaki hujisahau, huamini maisha yatakuwa mazuri na hachukui tahadhari yoyote mpaka pale Simba anaposhambulia tena ndipo hukumbuka kuleta kashkash za hapa na pale kisha hujisahau tena!
Hakuna ugenius wowote

Anatawala wajinga na maiti wengi ndio maana kwake nafanya lolote

Ninyi ni taifa la wajinga
 
Mkuu umejitahidi kuonesha mbinu ovu zinazotumiwa na watawala wetu.

Mimi naliona jicho la tatu. Unaweza kuona CHADEMA kama wamejipelekesha kwenye propaganda za CCM. Upande wa Pili CHADEMA imejiweka mahali pake kisiasa. Kumbuka uongo ulioenezwa na kuaminishwa kwama Kuna VIONGOZI WA uPINZANI si wazalendo na kwamba wanatumiwa na mabeberu. Hilo Limefutwa tayari.

Lengine huu ni mtego kwa JPM. Wenziwe wamejishusha, Umma unamtazama JPM. Yaani Mbowe kamtega JPM. Yakiharibika CHADEMA ilishaonesha uungwana. Hawatolaumiwa .

Ni siasa za kutega na kutegua. Sasa ajenda ni Maridhiano. CDM imefanikiwa kupush ajenda ikijuwa fika JPM hatatekeleza? hilo umeliona kisiasa lina maana gani.

Yaani kumvua Mfalme nguo.
Umeongea jambo la mhimu sana mkuu ambalo wengi wameshindwa kulijua wamekarir neno maridhiano tu. Wasiojua ni kukubali ujuha unaonezwa na Zitto. Zitto haaminiki ni selfish nia yake anataka kutumia vijana wake kuonesha Mbowe alikosea yeye yupo sahihi kwa sabab hakuenda ili kukipa nguvu chama chake. Zitto anataman CDM ife. Nimefuatilia tweetszake za nyuma yey nđo alikua mtu wa kwanza kupendekeza maridhiano ya kisiasa. Zitto mnafiki na kwa alichofanya kimempunguzia iman kwa wenzake. Kuna wakati huwa wanakutana na wenzake angesubir awachallenge kwenye hili badala ya kufitinisha ni kuwachanganya wanamabadiliko. Nimeona akina Sarungi na Fatuma wánamuunga mkono.
 
pamoja na Uccm wangu nina mu admire Mbowe... He is very diplomatic na hana matusi...

Akipewa uwaziri ntafurahia
Mkuu CHADEMA wamecheza karata vizuri sana.
Kitendo cha kuwepo viongozi wakuu wa Chadema kwenye sherehe ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika na Mbowe akatumia nafasi hiyo kueleza matakwa yao mbele ya umati mkubwa ni ushindi kisiasa.
Nahisi kuna mazungumzo ya siri kati ya vyama vikuu vya upinzani na Raisi Magufuli yanaendelea.
Usishangae Mbowe kuteuliwa kwenye baraza la mawaziri la Magufuli kabla ya uchaguzi mkuu.
 
Kama kuna kitu inabidi nimsifu au niwasifu washauri wa kisiasa wa rais Magufuli ni uwezo wake wa kuwatumia mahasimu wake kujipandisha chati kisiasa.

Tekniki mojawapo ambayo rais Magufuli ameonekana kuimaster ni kukuminya kisha akakutumia wewe mwenyewe kumsafisha na athari za kibinyo chake mbele ya umma na Mataifa.

Hebu angalia mbinu hizi
1. Makanisa yanatoa waraka mzito, Serikali inahaha kuuzima inashindikana, waraka unasambaa kama moto wa kiangazi, Serikali inaamua kutumia rungu lake kama dola kudeal. na baadhi ya viongozi wa dini, lakini hili nalo linashindwa kuuzima moto wa waraka.

Kisha Magufuli anakuja na wazo la Kuwaita viongozi wa dini Ikulu. Viongozi wanashindana kuzungumza kwa kumsifu bwana mkubwa, sifa kede kede zinamwagwa LIVE kwenye TV almost Nusu Siku ya kazi.

MATOKEO YAKE NINI?
Rais Magufuli anaibuka kidedea, Walewale waliomwandikia waraka mzito ndo wakawa wa kwanza kumsafisha, kawapa charm offensive ya kukaribishwa Ikulu wakaanza kuona kuwa huyu bwana mkubwa kumbe ni mtu safi!.

Tujiulize, Kuna kilichobadirika baada ya waraka?, Mbona basi miaka miwili baadae Utawala wa Magufuli umeenda kufanya yale yale kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?

2. Mfano wa pili, Wafanyabiashara!
Serikali ya Magufuli, iliharibu sekta binafsi, Kodi zikawa hazieleweki, biashara zikaanza kuyumba, kila kona ya nchi kilio kuwa sekta binafsi inakufa. Alichokifanya bwana mkubwa ni nini?.

Kuwaita Wafanyabiashara Ikulu, kuwapa airtime, wafanyabiashara wakaanza kumsifu mheshimiwa, na kuanza kuitupia lawama TRA. Yaani wafanyabiashara walewale wakamsafisha Magufuli mbele ya umma huku lawama zikienda kwa TRA. Umeuona ugenius wa Magufuli kwenye kucheza na makundi ya kijamii?

3. Issue ya Mo
Serikali ilipata lawama sana jinsi ilivyohandle issue ya Mo, mpaka sasa haijulikani nani almteka Mo. Umma una concensus yake kuhusu hili suala, Sasa namna gani serikali itajisafisha kuhusu Mo?. Ni mheshimiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa kiwanda (ambacho sidhani kama kweli kipo) na TV kuonyesha live kuwa kumbe hakuna bifu

4. Issue ya Assad na Trlion 1.5
Assad anaitwa Ikulu mbele ya Camera, anaulizwa makusudi eti serikali imepiga Trilion 1.5, Assad akiwa amewekwa kwenye kona ya kimamlaka anatamka "hakuna kitu kama hicho", Hapo tayari message imeshatumwa kwa skepticals kuwa mheshimiwa yuko Safi ila anazushiwa.

5. Sasa Chadema
Hawa Jamaa wameminywa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, huko mitaani wananchi wanawawekea question mark viongozi waliowekewa kimabavu na serikali ya CCM, migogoro ya kuwakataa hawa viongozi inaanza kuibuka mmoja baada ya mwingine.

Kwa calculations za Serikali ni kwamba inahitajika Meseji au semblance ya Meseji kutoka kwa wapinzani kwenda kwa umma ili kuonyesha kuwa mambo ni shwari, peace tu.

Pia inahitajika kuwatumia wapinzani hawahawa kwenda kwa Wahisani kuwasimanga wahisani waliohoji issue za uchaguzi wa serikali za mitaa kuwa pamoja na Kuminywa kwa upinzani lakini sisi ni Taifa moja n. k.

CHADEMA wakapewa charm offensive ili watumiwe kwenye propaganda za serikali ya CCM, nao bila kung'amua wakajaa wazimawazima. Na kweli serikali ya CCM imefanikiwa kutuma meseji kwa umma unaolilia kunyang'anywa haki ya kuchagua viongozi wao kuwa kumbe "Wakubwa wanaelewana, hivyo basi mambo yako shwari".

HITIMISHO:

CHADEMA wameuza mechi kwenye suala la kwenda kwenye haya maadhimisho ya mwaka huu. Wameipa serikali ya CCM ushindi mkubwa mno wa kipropaganda wa kuonyesha kuwa mambo yako shwari nchini

CHADEMA wanajidanganya wanapoenda kuomba demokrasia kwa raisi Magufuli. Rais Magufuli anajua anachofanya, na amedhamiria kukifanya na huenda akaendelea kukifanya.

Raisi mwenye uwezo wa kukariri sheria za barabara hashindwi kufahamu ibara za katiba juu ya Demokrasia nchini. Lakini ameamua aliyoyaamua.

Sasa CHADEMA kwa Naivety yao wanadhani wao ndo wana jukumu la kutunza amani zaidi kuliko serikali ya CCM!. Ajabu hii

CHADEMA wataendelea kupewa mkong'oto, hali ikionekana kuharibu taswira ya nchi wataitwa tena LIVE kwenye TV kuwapa Photo Op, watawala, kisha wataendelea kupewa mkong'oto na cycle itajirudia.

Nachukia sana jina Nyumbu na mfano wake, lakini ni Nyumbu ambaye huliwa na Simba, kisha baada ya muda mfupi wenzie waliobaki hujisahau, huamini maisha yatakuwa mazuri na hachukui tahadhari yoyote mpaka pale Simba anaposhambulia tena ndipo hukumbuka kuleta kashkash za hapa na pale kisha hujisahau tena!
Hahaa naunga mkono hoja zako
 
Kusema kweli pale Chadema walionekana kama vikaragosi fulani, walijishusha hadhi mbele ya uma. Baada ya kitendo kile wengi sasa tumepoteza muelekeo juu yao. CHADEMA mulichokifanya ni kosa la mwaka!
kosa walianza kufanya 2014 kuchezea katiba ya chama ili Mbowe awe Mwenyekiti wa kudumu

kosa zaidi wakafanya 2015 kuyapa mafisadi yaliyotoswa na CCM yagombee urais kupitia Chadema
 
Kwa kifupi Chadema ni genge la wakora tu,watake wasitake
kosa walianza kufanya 2014 kuchezea katiba ya chama ili Mbowe awe Mwenyekiti wa kudumu

kosa zaidi wakafanya 2015 kuyapa mafisadi yaliyotoswa na CCM yagombee urais kupitia Chadema
 
Mkuu CHADEMA wamecheza karata vizuri sana.
Kitendo cha kuwepo viongozi wakuu wa Chadema kwenye sherehe ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika na Mbowe akatumia nafasi hiyo kueleza matakwa yao mbele ya umati mkubwa ni ushindi kisiasa.
Nahisi kuna mazungumzo ya siri kati ya vyama vikuu vya upinzani na Raisi Magufuli yanaendelea.
Usishangae Mbowe kuteuliwa kwenye baraza la mawaziri la Magufuli kabla ya uchaguzi mkuu.
baraza la mawaziri tena?
 
Mueneza chuki. Uneongea as if una uhakika wa kiushahidi wa matukio uliyoyasimulia. Watu kama nyie kuna faida mnapata katika watu kugombana. Sherehe ya uhuru sio ya chama. Mkuu Punguza umbeya.
uhuru gani hiyo nchi wenyewe haipo
 
Mkuu katika maada zako zoote , I've been supportive to you ila hii umepotoka! Fikili huenda thinks tanks ya CHADENA is more superior than their counterpart!! Don't you ever plan sink with the big holled shit boat, najua you are more than that. Siasa ni calculation na a person who sets the equation always is the one having the solution, a real one.

Nakushauri tulia and tumuone mset equation anaishia wapi, he might be as smart as Albert Einstein! Give yourself enouth time and widen up your eyes so you see well. Narudia CHADEMA Ni superior than Magufuri himself when it comes to creating equations.

Najua there might be a might surprise to everone else including myself!!
 
Mkuu katika maasa zako zoote , I've been supportive to you ila hii umepotoka! Fikili huenda thinks tanks ya CHADENA is more superior than their counterpart!! Don't you ever sink with the big holled shit boat, najua you are more than that. Siasa ni calculation na a person who sets the equation always is the one having the solution.

Alichokisema mleta uzi yuko sahihi kwa 100%, Magu sio mtu wa maridhiano na hatakaa awe mtu wa maridhiano. Hao cdm ni kama walienda kujidhalilisha tu na kufuta madai yao yote halali jinsi wanavyodhalilishwa, kunyimwa haki ya kufanya siasa na kuporwa ushindi kamachomacho.
 
Wapo waliokuwa wanasubiri CHADEMA ifanye makosa ya kisiasa ili ifutwe.Mleta mada unaweza kuwa unatoka kundi hilo.
Binafsi nilipata hofu sana pale wagombea wao walivyoondolewa nchi nzima kwenye chaguzi za SM.Nilihofiwa kuwa wangetoa maamuzi ambayo yangeleta taharuki za moja kwa moja kitu ambacho kingewapa sababu watawala kupitia mtu wao/msajili kukifuta.Ukomavu walio uonyesha katika kuikabili hiyo hali kulikuwa hakuna namna yoyote ambayo watawala wataacha KUKAA meza moja kwa maridhiano.CHADEMA tayari imeshajidhihirisha kwa uma wa watanzania na mataifa kwa ujumla kuwa hawawezi kuwa sehemu ya uvunjifu wa sheria,wala kuwa sehemu ya machafuko katika nchi.Sasa ni zamu ya serikali kuuthibitishia uma wa watanzania na mataifa kwa ujumla.
Jambo la msingi ni kwamba CHADEMA wawe makini katika maridhiano hayo maana yanaweza kuwa maridhiano ya FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE, yaani kuwa ngazi ya kujisafisha na UOVU wao uliotamalaki.Pia maridhiano yao yazingatie wakati,watanzania watataka kujuwa hatma yao ya uchaguzi wa 2020 na ingekuwa vyema kama hilo likatokea kabla ya kuvunjwa kwa bunge.
 
Umeandika vizuri sana, kaandika hoja zake nzuri zakufikirika, nikimuuliza ana hakika gani alichokiandika ndicho kitachotokea sijui kama atanipa jibu!, halafu mwisho lazima aweke a way forward, hajaiweka!, sasa kama unaona walichokifanya CDM hakifai, na wewe huna njia mbadala wafanye nini... I think u better shut up!.

Ni kweli hajaweka the way forward, lakini hiyo haindoi ukweli kuwa cdm kwenda kwenye ile sherehe walienda kijichoresha. Magufuli hataki upinzani na cdm ni chama asichokipenda waziwazi na hilo linaeleweka, ni kweli kamati kuu ya cdm imeshindwa kumsoma Magufuli ni mtu wa aina gani? Sisi tunaikubali cdm kwa msimamo wake, sasa hayo ya kwenda kujinyenyekeza kwa mtu asiyejali uwepo wa hao cdm inakuwaje? Kafanyeni mikutano ya siasa basi ili tuone huo muafaka unavyofanya kazi.
 
Mkuu katika maasa zako zoote , I've been supportive to you ila hii umepotoka! Fikili huenda thinks tanks ya CHADENA is more superior than their counterpart!! Don't you ever sink with the big holled shit boat, najua you are more than that. Siasa ni calculation na a person who sets the equation always is the one having the solution.

Nakushauri tulia and tumuone mset equation anaishia wapi, he might be as smart as Albert Einstein! Give yourself enouth time and widen up your eyes so you see well. Narudia CHADEMA Ni superior than Magufuri himself when it comes to creating equations.

Najua there might be a might surprise to everone else including myself!!

Haya mashairi tuliyasikia wakati Lowassa kupokelewa cdm, aibu tuliyopata kwenye kampeni ya kumsimamisha domo zege ni Mungu anajua tu. Leo Lowassa karudi alipotoka baada ya kuitumia cdm kama kondomu na watetezi wake hawana jipya kwenye utetezi wa maamuzi yale. Leo hiyo kamati kuu inatumika kwenda kufuta madai yao halali kwa mtu asiyetaka uwepo wa cdm. Kweli kuishiwa mbinu ni tatizo.
 
Mkuu katika maada zako zoote , I've been supportive to you ila hii umepotoka! Fikili huenda thinks tanks ya CHADENA is more superior than their counterpart!! Don't you ever plan sink with the big holled shit boat, najua you are more than that. Siasa ni calculation na a person who sets the equation always is the one having the solution, a real one.

Nakushauri tulia and tumuone mset equation anaishia wapi, he might be as smart as Albert Einstein! Give yourself enouth time and widen up your eyes so you see well. Narudia CHADEMA Ni superior than Magufuri himself when it comes to creating equations.

Najua there might be a might surprise to everone else including myself!!
Wewe jamaa una akili nyingi Sana wewe ni G Thinker wa ukweli,umeona wasichoona
 
Back
Top Bottom