I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Siku ya leo katika Hotuba ya Mhe. Rais hii teknolojia (anavyoiita) ya WhatsApp amelitaja sana jina hili zaidi ya mara 6 akituhumu kuwa inavujisha sana Siri za Serikali.
Jambo la kufikiria kidogo nyuma ya pazia ni nini kinaendelea au tutegemee nini hapo mbeleni ambacho hatukijui bado kipo jikoni kikiiva?
Muda utaongea. Tuwe tayari kwa lolote
Jambo la kufikiria kidogo nyuma ya pazia ni nini kinaendelea au tutegemee nini hapo mbeleni ambacho hatukijui bado kipo jikoni kikiiva?
Muda utaongea. Tuwe tayari kwa lolote