voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
WELL SAID mkuu, wengine humu wanatafuta pa kuanzia story za kick wakati Mh rais kaliweka wazi hilo.Government moves on paper!
Teknolojia isitufanye tuingie mtegoni.
Ipo faida kuitumia Teknolojia ila hasara zake ndio hizi, Leaked Informations ambazo Mbaya wako anatumia kukuangamiza.
Kwa hili nampongeza Mh Rais kuwakumbusha Viongozi wetu matumizi sahihi ya Teknolojia bila kuathiri utendaji wa shughuli za kiserikali.
Hakuukemea mtandao wa WhatsApp bali kawakemea watendaji wa serikali yake dhidi ya utendaji wao wa majukumu kupitia mitandao jambo ambalo sio sahihi kwa unyeti wa masuala ya kiserikali.