I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Hakika nafikiri safari ndio imeanza sasa.Kama walivyoifanya twitter basi hata whatsapp inaelekea hukohuko
Baada ya twitter kupigwa ban sasa anaangukia watsup, uzuri wote MATAGA na BAVICHA wataumia, wote wata danlodi VPNSiku ya leo katika hotuba ya mh. Rais hii teknolojia (anavyoiita) ya whatsapp amelitaja sana jina hili zaidi ya mara 6 akituhumu kuwa inavujisha sana siri za serikali.
Jambo la kufikiria kidogo nyuma ya pazia ni nini kinaendelea au tutegemee nini hapo mbeleni ambacho hatukijui bado kipo jikoni kikiiva?
Muda utaongea. Tuwe tayari kwa lolote
Na Whatsapp ni rahisi kudukuliwa wakati mwingineDas anafanya kikao kwa WhatsApp, hiyo inaafya kweli??🤔🤔
Ukiwa na biashara mtandao utaona umuhimu wakeSijawahi kuwa na interest yoyote na Whatsaap hata akiifuta sina shida nayo
Telegram inanitoshaUkiwa na biashara mtandao utaona umuhimu wake
Tatizo wakipata siri, wanatamba sana twita!Lakini mzee wetu Mkapa (R.I.P) alishatuingiza kwenye uwazi na ukweli, Huko kwenye usiri wa mambo ya serikali mbona tunarudi nyuma!