johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lowasa si mwanachama wenu? Iweje mnawachukia wafuasi wake!!!Tatizo la Mayala alijitanabaisha Kama afisa habari wa Lowasa 2015 na alikuwa Katika list iliyodakwa ya vyeo vya watu ambao wangepewa nafasi ipi Kama Lowasa angekuwa Raisi.Anyway Mayalla haku project vizuri future .Wengi waliingizwa pori na Lowassa viongozi wa serikali na mashirika ya umma na private sector akiwemo Mayalla
Walichokifanya 2015 kibaya mno.Nilikwenda Kilimanjaro kuangalia Magufuli anakubalika au la nikaenda kanisa moja la KKKT nikakuta kibao karibu na kanisa kimeandikwa Pombe hapa haitakiwi Ni marufuku kwenye kanisa .Nikauliza Nini maana yake? Nikaambiwa John Pombe Magufuli marufuku kupewa kura.Jina pombe lilitumika kampeni kumnyima kura makanisani Kama secret code.Lowasa alichoifanyia CCM siyo no no no noLowasa si mwanachama wenu? Iweje mnawachukia wafuasi wake!!!
Walichokifanya 2015 kibaya mno.Nilikwenda Kilimanjaro kuangalia Magufuli anakubalika au la nikaenda kanisa moja la KKKT nikakuta kibao karibu na kanisa kimeandikwa Pombe hapa haitakiwi Ni marufuku kwenye kanisa .Nikauliza Nini maana yake? Nikaambiwa John Pombe Magufuli marufuku kupewa kura.Jina pombe lilitumika kampeni kumnyima kura makanisani Kama secret code.Lowasa alichoifanyia CCM siyo no no no no
Bashe hakuwa kwenye listi ya Lowasa?Tatizo la Mayala alijitanabaisha Kama afisa habari wa Lowasa 2015 na alikuwa Katika list iliyodakwa ya vyeo vya watu ambao wangepewa nafasi ipi Kama Lowasa angekuwa Raisi.Anyway Mayalla haku project vizuri future .Wengi waliingizwa pori na Lowassa viongozi wa serikali na mashirika ya umma na private sector akiwemo Mayalla