Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uongo tu, umebarikiwa!Walichokifanya 2015 kibaya mno.Nilikwenda Kilimanjaro kuangalia Magufuli anakubalika au la nikaenda kanisa moja la KKKT nikakuta kibao karibu na kanisa kimeandikwa Pombe hapa haitakiwi Ni marufuku kwenye kanisa .Nikauliza Nini maana yake? Nikaambiwa John Pombe Magufuli marufuku kupewa kura.Jina pombe lilitumika kampeni kumnyima kura makanisani Kama secret code.Lowasa alichoifanyia CCM siyo no no no no