Rais Magufuli, nakuomba umteue Pascal Mayalla kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali

Wazo zuri ila mmemharibia sana Paskali. Alikuwa kwenye list of fame sasa mmemtoa hivi hivi
 
Lafudhi ya mayalla hailingani na press za kiserikali hivyo jina lake lilishapendekezwa likakataliwa
 
Halafu mtaanza kusema jamaa mkabila kajaza watu wa kabila lake tu kila idara!

Natania tu!
 
Kwa uongo tu, umebarikiwa!
 
Hivi kile kipindi cha TBC cha "Huyu ndiye John Pombe Magufuli" kimeshapata mtangazaji wa kudumu?
 
Bora umemkumbusha pia Umesahau kumwelezea kuwa Mayalla ni msukuma ambayo ni Sifa namba moja siku hizi huku sifa ya pili ikiwa ni kuitikia fikra za mwenyeketi wa chama
 
Hahahaha unajua paskali ni mtu anaye balance Mambo akiteuliwa huko mtakosa mchango wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…