Rais Magufuli: Ndege nyingine 3 kuwasili mwakani. Wahudumu wa ATCL wana ‘shape’ nzuri

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,566
Reaction score
4,013
Rais Magufuli wakati akipokea ndege iliyokuwa imezuiliwa Canada amebainisha kuwa ndege mpya tatu zilizobaki zitawasili ambapo moja (Bombardier Q400) itawawasili Mwezi Juni 2020 na nyingine mbili ni Air-Bus 220-300 ambapo moja itawasili mwezi Juni na nyingine mwezi Julai 2021

Lakini pia, ameweka wazi mpango wa Serikali kutaka kununua ndege ya mizigo itakayosafirisha shehena ya bidhaa za maua na mbogamboga kwa lengo la kuongeza fursa za uwekezaji na biashara kwa wakulima nchinini

Katika kupongeza jitihada zilizofanyika hadi ndege hiyo ikawasili Jijini Mwanza, Rais Magufuli ameagiza Marubani watatu wa Kitanzania walioiongoza ndege hiyo wapewe Tsh. Milioni mbili kila mmoja kama pongezi kutoka kwake

Aidha, katika hatua nyingine akizungumzia Wahudumu wa ATCL amesema, “Wahudumu wa ATCL wapuuzeni wanaosema ninyi wabaya, ninyi ni wazuri, na ‘shape’ zenu ni nzuri, roho zenu ni nzuri na sauti zenu ni nzuri. Chapeni kazi.”
 
Jamaa ana nunua ndege hapa Wilaya mpya ya Songwe Mkurugenzi na Dc wana funga barabara na kukamata wahudumu wa bar wakilazimishwa kuchanga 15000/ kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya shule... Huku mkuu akihadaa umma kwamba hakuna michango ya shule..
Rais Magufuli wakati akipokea ndege iliyokuwa imezuiliwa Canada amebainisha kuwa ndege mpya tatu zilizobaki zitawasili mwakani ambapo moja (Bombardier Q400) itawawasili Mwezi Juni na nyingine mbili ni Air-Bus 220-300 ambapo moja itawasili mwezi Juni na nyingine mwezi Julai

Lakini pia, ameweka wazi mpango wa Serikali kutaka kununua ndege ya mizigo itakayosafirisha shehena ya bidhaa za maua na mbogamboga kwa lengo la kuongeza fursa za uwekezaji na biashara kwa wakulima nchinini

Katika kupongeza jitihada zilizofanyika hadi ndege hiyo ikawasili Jijini Mwanza, Rais Magufuli ameagiza Marubani watatu wa Kitanzania walioiongoza ndege hiyo wapewe Tsh. Milioni mbili kila mmoja kama pongezi kutoka kwake

Aidha, katika hatua nyingine akizungumzia Wahudumu wa ATCL amesema, “Wahudumu wa ATCL wapuuzeni wanaosema ninyi wabaya, ninyi ni wazuri, na ‘shape’ zenu ni nzuri, roho zenu ni nzuri na sauti zenu ni nzuri. Chapeni kazi.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abiria wenyewe hakuna

Inapendeza sana...

Ila sasa tusiseme mapema kama kuna ndege zingine zinakuja...

Wasije wakazidaka, juu kwa juu...

Cc: mahondaw
 
Nani kakwambia Tanzania inaheshimika Kimataifa Mbwiga?? Yani Kwasababu ya kununua ndege tu??
Hata Idd Amin na Bokassa pia walinunua ndege kwa Nchi zao.
Dah...Braza...Kwani nani kakwambia wewe haiheshimiki??[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Rais Magufuli wakati akipokea ndege iliyokuwa imezuiliwa Canada amebainisha kuwa ndege mpya tatu zilizobaki zitawasili mwakani ambapo moja (Bombardier Q400) itawawasili Mwezi Juni na nyingine mbili ni Air-Bus 220-300 ambapo moja itawasili mwezi Juni na nyingine mwezi Julai

Lakini pia, ameweka wazi mpango wa Serikali kutaka kununua ndege ya mizigo itakayosafirisha shehena ya bidhaa za maua na mbogamboga kwa lengo la kuongeza fursa za uwekezaji na biashara kwa wakulima nchinini

Katika kupongeza jitihada zilizofanyika hadi ndege hiyo ikawasili Jijini Mwanza, Rais Magufuli ameagiza Marubani watatu wa Kitanzania walioiongoza ndege hiyo wapewe Tsh. Milioni mbili kila mmoja kama pongezi kutoka kwake

Aidha, katika hatua nyingine akizungumzia Wahudumu wa ATCL amesema, “Wahudumu wa ATCL wapuuzeni wanaosema ninyi wabaya, ninyi ni wazuri, na ‘shape’ zenu ni nzuri, roho zenu ni nzuri na sauti zenu ni nzuri. Chapeni kazi.”

Mwambieni jiwe hivi: duniani sasa hivi watu wanafikiria namna kupunguza athari za mazingira (na moja kati ya vitu wanavyofikiri ni kupunga carbon footprint). Moja ya hatua zinazofikiriwa ni kupunguza production systems zinazoongeza uharibifu wa mazingira; kwa hiyo, hiyo ndege ya mizigo "kwa ajili ya kubeba mbogamboga" ni white elephant hata kabla haijaja.
 
Back
Top Bottom