Rais Magufuli wakati akipokea ndege iliyokuwa imezuiliwa Canada amebainisha kuwa ndege mpya tatu zilizobaki zitawasili mwakani ambapo moja (Bombardier Q400) itawawasili Mwezi Juni na nyingine mbili ni Air-Bus 220-300 ambapo moja itawasili mwezi Juni na nyingine mwezi Julai
Lakini pia, ameweka wazi mpango wa Serikali kutaka kununua ndege ya mizigo itakayosafirisha shehena ya bidhaa za maua na mbogamboga kwa lengo la kuongeza fursa za uwekezaji na biashara kwa wakulima nchinini
Katika kupongeza jitihada zilizofanyika hadi ndege hiyo ikawasili Jijini Mwanza, Rais Magufuli ameagiza Marubani watatu wa Kitanzania walioiongoza ndege hiyo wapewe Tsh. Milioni mbili kila mmoja kama pongezi kutoka kwake
Aidha, katika hatua nyingine akizungumzia Wahudumu wa ATCL amesema, “Wahudumu wa ATCL wapuuzeni wanaosema ninyi wabaya, ninyi ni wazuri, na ‘shape’ zenu ni nzuri, roho zenu ni nzuri na sauti zenu ni nzuri. Chapeni kazi.”
Nasikia role model wake Id Amini alifikisha ndege 62 sijui ni kweli!!Marekani watakuja kuomba msaada kwa Tanzania
Taifa lisiloheshimu haki za binadamu kamwe haliwezi kuheshimika popoteNaam Tanzania inaanza kuheshimika tena kimataifa
Rais Magufuli wakati akipokea ndege iliyokuwa imezuiliwa Canada amebainisha kuwa ndege mpya tatu zilizobaki zitawasili mwakani ambapo moja (Bombardier Q400) itawawasili Mwezi Juni na nyingine mbili ni Air-Bus 220-300 ambapo moja itawasili mwezi Juni na nyingine mwezi Julai
Lakini pia, ameweka wazi mpango wa Serikali kutaka kununua ndege ya mizigo itakayosafirisha shehena ya bidhaa za maua na mbogamboga kwa lengo la kuongeza fursa za uwekezaji na biashara kwa wakulima nchinini
Katika kupongeza jitihada zilizofanyika hadi ndege hiyo ikawasili Jijini Mwanza, Rais Magufuli ameagiza Marubani watatu wa Kitanzania walioiongoza ndege hiyo wapewe Tsh. Milioni mbili kila mmoja kama pongezi kutoka kwake
Aidha, katika hatua nyingine akizungumzia Wahudumu wa ATCL amesema, “Wahudumu wa ATCL wapuuzeni wanaosema ninyi wabaya, ninyi ni wazuri, na ‘shape’ zenu ni nzuri, roho zenu ni nzuri na sauti zenu ni nzuri. Chapeni kazi.”
Hata wakinunua ndege 1000 bila watu wake kuwa na maisha ya kufurahi ni bureeeeTaifa lisiloheshimu haki za binadamu kamwe haliwezi kuheshimika popote
Nani kakwambia Tanzania inaheshimika Kimataifa Mbwiga?? Yani Kwasababu ya kununua ndege tu??Naam Tanzania inaanza kuheshimika tena kimataifa
Jamaa ana nunua ndege hapa Wilaya mpya ya Songwe Mkurugenzi na Dc wana funga barabara na kukamata wahudumu wa bar wakilazimishwa kuchanga 15000/ kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya shule... Huku mkuu akihadaa umma kwamba hakuna michango ya shule..
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hii ndiyo serikali ya wanyongweJamaa ana nunua ndege hapa Wilaya mpya ya Songwe Mkurugenzi na Dc wana funga barabara na kukamata wahudumu wa bar wakilazimishwa kuchanga 15000/ kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya shule... Huku mkuu akihadaa umma kwamba hakuna michango ya shule..
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...mafuriko yakija samaki wanakula siafu...yakiondoka siafu wanakula samaki... Usizoee kupiga tu...kuna kupigwa piaHata wakinunua ndege 1000 bila watu wake kuwa na maisha ya kufurahi ni bureeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...Braza...Kwani nani kakwambia wewe haiheshimiki??[emoji2960]Nani kakwambia Tanzania inaheshimika Kimataifa Mbwiga?? Yani Kwasababu ya kununua ndege tu??
Hata Idd Amin na Bokassa pia walinunua ndege kwa Nchi zao.
Msukuma anazidi kupata moto kichwaniNaam Tanzania inaanza kuheshimika tena kimataifa