Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
Sana bro ! I tell you come 2025 watanzania tutakua anga zingine kabisa ! The best place ever. Tulicheleweshwa mno ! JPM ipaishe nchi yetu, tunakuombea sana. Najua ntapopolewa mawe humu Divided Republic of JF country lakini habari ndio hiyo.
Aiseeee wakurudishie tuu akili yakoMarekani watakuja kuomba msaada kwa Tanzania
Nina kuhakikishia mkuu these guys will one day swallow their pride ! Nchi hii inanyooshwa barabara ! No doubt about it !Hata wakitoa matusi Mkuu
Kazi ya Rais Magufuli inaonekana dhahiri
Hizo ngonjera zetu tumezizoea! Mtanyooka tu! Ndege imeshawasiri sasa leteni propaganda nyingine sasa!
Marekani watakuja kuomba msaada kwa Tanzania
What we don't! Check your English grammar!We produce what we doesn't consume and consume what we doesn't produce asante mwalimu Mfecane
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, becauzi we are a Donor KantreMarekani watakuja kuomba msaada kwa Tanzania