Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Hahaha nyomi la CHADEMA lilimchanganya uwanja wa kirumba mwanza, sasa anataka kufanya siasa na ndege ya mkulima.

Kukamatwa tena ikaachiwa tutaipokelea NTWALA.
 
Mimi mwenyewe nawadai serikali hawanilipi wanalipa kwa mafungu kama ville na mimi nimetoa huduma kwa mafungu. Kama unadaiwa lipa kama unadai lipwa kila mtu asimamie sehemu yake kwa haki na uaminifu.
Si twende tukaikamate tena kesho Mwanza...
 
Wakati mwingine huwa nakaa kimya au nasoma mabandiko ya wale wasiopenda kusikia baya likitokea nyumbani kwao.

Masaa kadhaa yaliyopita nilipita ukurasa huu na kushuhudia kitu kikiondoka Canada kuja jijini Mwanza.

Sasa kila mtu anaweza kusema lake kama ilivyokuwa kwa Train ya Dar toI Moshi mara ooh watakaopanda sijui masikini, mara ooh hawajielewi au haitapata wateja, hakika sioni zile thread za wale jamaa zangu tena.

Hebu kuna wakati unapaswa kukaa kimya kidogo kujifunza ndipo tuchuje ngano na magugu.

Alamsiki.
 
Dawa ya deni ni kulipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaenda kwa mkulima.
Skye eclat.
 
Wanapinga tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu ni fedha zangu. Utaahira wako wa kukubali kila kitu yaani ukipelekwa kushoto haya, kulia haya, huo baki nao mwenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Fedha zako!!!. Unaweza hata ukazitaja katika Tsh? Au ndo kubwabwaja tu hela zako, una hela za kununua au kukomboa ndege ya serikali wewe Kama kutwa nzima ndo unashinda mtandaoni kwa ofa za Mbs kupost ujinga. Kafanye kazi huko ili ulipe na Kodi.
Achana na haya majungu ya mitandaoni hayajengi.. MKUU WANGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…