state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,510
kwa kweli na kujifanya mwema kwelikweli poleni wapinzani hasa chadema na act mlifurahiiiiii na mamneno mengi ya kashfa
mbona mwanzo mlikuwa mnajulikana kabisa mnafurahi yaani mimi ndiyo maana nawaonaga wapinzani wa tanzania ni punguwani namba moja sasahivi wanajifichaWataziweka mfukoni mwako punguani uliyetukuka. Kwani ni wapinzani ndiyo walioikamata hiyo ndege?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataziweka mfukoni mwako punguani uliyetukuka. Kwani ni wapinzani ndiyo walioikamata hiyo ndege?!
Sent using Jamii Forums mobile app
hao ndiyo ni kama wajinga fulani na wanaongoza genge la wajinga wenzao kufurahia na kuuza dili za kurudisha nyuma maendeleo ya nchi wahuni tu haoZito na lisu ndio waliuza dili sasa leo sijui watajificha wapi
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
ndipo alipo kwa sasa na taarifa kaipata akiwa huko ulitaka akatangazie kwa mkeo?Sasa kwenda kiutangazia kamati ya ccm kwan ndege ni ya chama au watz wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ustaarabu kutumia lugha mbaya
Meko ndio kesha hamia Mwanza?Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmasharuri kuu ya Taifa ya chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canana imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia JPM amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa).
“Ndege yetu iliyokuwa inashikiliwa Canada imeachiliwa, wananchi watatangaziwa tarehe ya kuwasili ili wakaipokea na tutaipokelea hapa Mwanza.” Alisema
Itakumbukwa Mamlaka nchini Canada zilikamata ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400. Kutokana na shauri la kesi iliyofunguliwa na mkulima mstaafu raia wa Namibia Hermanus Steyn
View attachment 1289573
Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani
Umeamua tu kwa makusudi kabisa kuwa mtumwa wa ujinga, lakini wewe siyo mjinga kwa kiwango hiki unachoonesha.Na Mbowe na chadema rasmi wamemtosa Tundu Lisu, sasa yuko (Tundu Lisu) mwenyewe, uongo huzunguka tu lkn haujawahi kumfikisha mtu popote mbele ya safari.
Tunawakemea kwa jina la magufulihao ndiyo ni kama wajinga fulani na wanaongoza genge la wajinga wenzao kufurahia na kuuza dili za kurudisha nyuma maendeleo ya nchi wahuni tu hao
waambie na majuha wenzio na nyinyi mutafute vya kuonyesha mafanikio sisi tunaonyesha ndege halafu mnazipanda mnakuja mwanza kuomba radhi kwa rais yuleyule ambaye mlisema hamumutambui mbona 2020 mtapata taabu sanaaaaaIkipendeza siku ya kupokea ndege Mza, watumishi wa umma na wanafunzi iwe siku ya mapumziko kazi tusherehekee.Sijui nani katuroga eti siku ya uhuru tunaweka picha bango jukwaa kuu picha ya ndege kuonyesha mafanikio taifa letu! Na wimbo wa Hamonaiz wa kampeni!! Huu ushamba tutaacha lini???!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue tumemlipa mkulima, asante kwa kutenda haki