Uchaguzi 2020 Rais Magufuli ndiyo anaibuka kuwa atawaongezea mishahara wafanyakazi. Tunamwambia kuwa hatudanganyiki ng'oo

Abaki na mishahara yake,asitutoe kwenye reli
 
Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao...
Rais Magufuli hajachelewa kuongeza mishahara ndio maana Waingereza wana msemo, "Better late than never"!
 
Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao!..
Kila jambo na wakati wake. Haina mbaya alikuwa anajenga vituo vya afya na miradi mikakati.
 
eti speed ya kimbunga ...miaka 60 ya uhuru hio spidi ya kimbunga ndio ije kupitia CCM?
 
eti speed ya kimbunga ...miaka 60 ya uhuru hio spidi ya kimbunga ndio ije kupitia mafedhuli ccm ?
Miaka mitano tu ya JPM ameweze kutekeleza mirani iliyoshindikana kwa miaka zaidi ya 40 siwezi kuitaja kwakuwa wewe ni mnafiki najua utabisha. Sisi tulio na macho masikio na akili tumeona labda wewe uwe unaishi Ubelgiji na ndiomana unashangaa hata Mwendokasi wakati sisi tumeshanza kusahau kabisa.

Tunamini kwa speed hii ya kimbunga cha maendeleo lazi mishahara itapanda maana sasa ufisadi hakuna makusanyo yameongezeka kutoka biliaoni mia8 kwa mwezi mpaka tilioni2 kwa mwezi.

Tunamwamini sana maana akiahidi anateleza. Pia Raisi wetu siyo mnafiki ni msemakweli atakama ukweli wenyewe unauma. Magufuli mitano tena Ovaa.
 
Miaka mitano tu ya JPM ameweze kutekeleza mirani iliyoshindikana kwa miaka zaidi ya 40 siwezi kuitaja kwakuwa wewe ni mnafiki najua utabisha. Sisi tulio na macho masikio na akili tumeona labda wewe uwe unaishi Ubelgiji na ndiomana unashangaa hata .
hizo tilioni mbili ndzo mmenunua ndege kwa cash sio ..
 
Ukisikia kilio gizani ujue jiwe limempata. Nasema hivi jiandaeni kisaikolojia. JPM anashinda kwa kishindo. Uzuri ni msikivu atarekebisha mambo
 
Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao....
Maana yake ujenzi wa miradi pendwa ya reli SGR, umeme wa Stiegler's gorge kiwanja cha ndege umekamilika! Kuna somo kubwa sana la siasa tumejifunza katika hii miaka mitano. Mwenye uwezo wa kung'amua na afanye hivyo.
 
Unadhani 2015 maslahi ya watumishi hayakuwekwa kwenye Ilani ya CCM?? Huwa mnawekaga vitu vingi Sana, shida ipo kwenye utekelezaji. Hivyo ndugu, Kwa CCM zilongwa Mbali, Zitendwa Mbali hasa Kwa watumishi wa kawaida...
Yatarekebishwa Mkuu wala hamna tabu. Kitendo cha JPM kusemea jambo hili nikuoneshe kwamba ktk awamu yake ya miaka 5 basi anakwenda kumaliza changamoto hizo za wafanyakazi.

Na akisema hutenda. Haters wa JF mtapanuka mioyo
 
mbona alikuwa hasemi!! ilani yenu imejaa miundombinu!!
Utaelewa tu mwisho wa siku. JPM mmemchonganisha kila siku na makundi mbalimbali lakini makundi hayo yanachuja na kuona consequence of the substitute yaani wanaona giza zaidi.
 
sasa utalinganisha na DJ makengeza wenu. Mkuu wa saccos ya UFIPA. Subirini TAREHE 28 mtaelewa tu.
 
Tundu Lissu ongeza kupiga spana, kwa kuwa huyo Jiwe ameanza kutepeta..................

Hadi hivi sasa anaanza kuwaahidi wananchi, vitu ambavyo siku za nyuma alikuwa akijibu kwa jeuri kubwa kuwa hataongeza hiyo mishahara ng'ooo
Jiwe limekamuliwa hadi linatoa maji! Ama kweli Tundu Lissu kiboko yao!
 
Mil 14 umezotpwa.uchawini?
Kama unabisha CCM jifanye kama unataka kadi ya chama. Ambayo sasaivi imebireshwa kidigitali zaidi. Unaweza kuomba kadi ya chama online. Utaulizwa kadi yako ya mpiga kura ikiwa ni kigezo namba one kwasasa katika kukusajili. Nakuhakikishia wewe utakuwa mwanachama wa milioni 14 na zaidi. Ova karibu ujionee mqenyewe hakuna kupika data hapa Ova Mi5 tena kwa JPM kazi iendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…