Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Nina uhakika wabunge wa CCM watarudi bungeni, lakini ambao hawatarejea tunashukuru kwa mchango wao

Hiyo hotuba umeisikiliza peke yako, mbona hakuna sehemu amesema wabunge wa upinzani hawatarudi bungeni? Hata hili nalo umeshindwa kung'amua!
 
Hatuna majaji wa kutoa amri kama hiyo. majaji wenyewe mashauri na Magoiga? That could have been the best option. Erythrocyte
ondoa mentality ya kushindwa vita kabla hata ya kuanza..
hiyo huwa inaitwa "the lowest negative in the negative spectrum of negativity"
 
Hatuna majaji wa kutoa amri kama hiyo. majaji wenyewe mashauri na Magoiga? That could have been the best option. Erythrocyte
Mkuu nakuomba urudie kusikiliza hotuba ya Mnyika alipokuwa anapuliza kipyenga , kuna jambo alidokeza , huu waweza kuwa ndio mwisho wa unyonge wa kibwege , ni dhahiri kuna watakaoumia lakini ukombozi utapatikana
 
Itakuwa "Ahsanteni kwa kushiriki" kwa sauti ya mtu flan
 
Mkuu nakuomba urudie kusikiliza hotuba ya Mnyika alipokuwa anapuliza kipyenga , kuna jambo alidokeza , huu waweza kuwa ndio mwisho wa unyonge wa kibwege , ni dhahiri kuna watakaoumia lakini ukombozi utapatikana
Rafiki, kwetu tanzania hatuna watu awa kuhimili kupigwa risasi wengine wakasonga mbele kama wanavyofanya wapalestina. ! Tungelikuwa na uthubutu huo, kweli kabisa ungelikuwa mwisho wa uonevu!
 
ondoa mentality ya kushindwa vita kabla hata ya kuanza..
hiyo huwa inaitwa "the lowest negative in the negative spectrum of negativity"
I am talking from recetn experience with Cecil Mwambe saga!

Tanzania: Mwambe's Status As Lawmaker Confirmed

4 JUNE 2020
T
By Faustine Kapama
THE attempt by Advocate Paul Kaunda to challenge the Speaker of the National Assembly decision to recognize Mr Cecil Mwambe as still being a Member of Parliament (MP) on the Chadema ticket hit snags yesterday.

This followed the decision of the High Court in Dar es Salaam to reject the constitutional petition under which Kaunda, the petitioner, had lodged against three respondents, Attorney General, Speaker and Mr Mwambe.

Judges Issa Maige, Stephen Magoiga and Seif Kulita ruled against the petitioner after upholding one ground of objection advanced by state lawyers, for the respondents, to the effect that the petition was incompetent and bad in law for being frivolous, vexatious and unjustifiable.

They noted that what was being complained about was related to the procedure and not a constitutional issue on how Mr Mwambe allegedly ceased to be the MP and thereafter being recognized by the Speaker as still being a legitimate legislator.

According to the judges it was inappropriate for the petitioner to invoke Article 26 of the Constitution of the United Republic of Tanzania to knock doors by way of a constitutional petition and that he would have approached the court through an ordinary petition.

They were of the view that the petitioner could have resorted to Article 83 (1) of the Constitution as well as Section 37 of the National Election Act, which provides for procedures on how he could have pursued his grievances against the respondents.

"Under the circumstances, this petition is struck out for being frivolous and vexatious," the judges declared
Nimetafuta hukumu sijaiona. LKn hata kwa mtoto wa diploma kesi hii iko wazi! Haina utaalamu sheria!
 
Kutoa cheche na vitisho ndio mwendo wa madikteta.
Vitisho vingi ni dalili ya kuogopa.
SA wangeogopa hayo mpaka leo makaburu wangekuwapo.
 
Unaposema UMMA unamaanisha WATANZANIA au WARUNDI?
 
what followed next? kuna mtu alikata rufaa?
you cannot sit back eti tu kwa sababu umeshindwa kwenye hatua ya kwanza kwa hiyo na ya pili unaona nayo utashindwa. that's being timid!
 
what followed next? kuna mtu alikata rufaa?
you cannot sit back eti tu kwa sababu umeshindwa kwenye hatua ya kwanza kwa hiyo na ya pili unaona nayo utashindwa. that's being timid!
Alikata rufaa imekataliwa pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…