Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Nina uhakika wabunge wa CCM watarudi bungeni, lakini ambao hawatarejea tunashukuru kwa mchango wao

Wapinzani wako bize kumponda alafu mnadai yeye ajifanye yuko nyutro...
Tena kawaonea sana huruma, angewaambia kabisa HAMRUDI HAPA PIGA UA...
 
Laa! aise, kauli zinazofanana nazile za mwanzo bado zinatoka tu kuonyesha msisitizo.raia wametufanya wajinga kweli, yaani mtu aamke saa 12 anaenda kupiga kura, iwe kama kiini macho! wao sasa do wamekuwa wakutuchagulia, kwanin sasa watu wahangaike kipiga kura, yajayo naona hayafurahishi bali yanasikitisha,nasubili nione!
 
Wapinzani wako bize kumponda alafu mnadai yeye ajifanye yuko nyutro...
Tena kawaonea sana huruma, angewaambia kabisa HAMRUDI HAPA PIGA UA...
Piga ua inaweza kumwangukia yeye, ya Mungu huyajui. Muulize Nkurunzinza!
 
Hilo kwa kutumia people's power LAZIMA tulikatae. Hii nchi ni yetu wote.
 
Kitu kilichonifurahisha nikisoma maoni ya wabunge wa upinzani hasa Chadema wote wanajua mapambano ndio yanaenda kuanza, ukishajua adui yako ni nani, na anatumia mbinu gani vitani hiyo ni step ya kwanza nzuri kuelekea kwenye ushindi.

Aluta Continua.
 
Tujitayarishe kwa mapambano, na kwangu sioni mgombea wa urais anayeweza kuliongoza hili isipokuwa Mh Tundu Lissu.
KWELI.
Dawa ya dikteta ni kupambana nae.
Yeye ni mgombea tu, akae pembeni kama wagombea wengine.
Siku zote kejeli na matusi anaanzishaga yeye, kama leo, halafu eti anyamaziwe.
We shall overcome.
 
Mh, nina wasiwasi sana. Dictators haveno mercy! Nimeishi wakati wa Idd Amin, , najua ninachokiongea! Unless external force imlazimishe kutenda haki, yeye mwenyewe hawezi!
Retired, don't retire on this! Mungu ana njia nyingi hata hiyo unayosema anaweza akaiamrisha yeye. Kumbuka kilichofanyika Zimbabwe. Smoothly. Au kwenye mkutano wake wa kwanza wa kampeni akakumbana na chango lililomwondoa Herode duniani. Nani alijua kuondoka kwa Nkurunziza kutakuwa kutokukabidhi ikulu kwa rais mteule. Mungu ni hatari. Hawahi wala hachelewi. Aishiye kwa upanga, hufa kwa huo. Every dog has its appointed day. Let's play cool. God is omniscient, omnipresent and omnipotent. Let everybody shout Ameeeen!
 
Wanao mpoteza ni wale wanao mfananishana yesu
 
Ndugu ukiwalaumu wapunzani sidhani kama utakuwa huwatendei haki.

Siasa za nchi hii unazijua fika, ebu angalia wale woote walio kuwa wana engineer hayo mabadiliko ya katiba leo hii wana kesi ngapi mahakamani?

1:Mbowe
2:Lisu
3:Mdee
4:Zitto
5:Msigwa
6:Lema
7:Sugu
7:Matiko

Ukifuatilia utagundua kuwa wabunge wote walio kuwa wana isumbua serikali wana kesi mahakamani au walisha hukumiwa kutumikia adhabu.

Niwachache sana ambao hawajagusa viunga vya mahakama
 
Bila ushirikiano wa wananchi kwa nguvu zao kamwe hatuwezi kuipata to tume huru na hiyo kazi tukiwaaachia kina Mbowe na Lema tutakuwa tuna waonea tu
 
Hilo ni taifa la wajinga hakuna la kufanya tulieni mnyolewe
 
Utakuwa uchaguzi huru na wa haki kama chaguzi nyingine zilizopita ? Zile za 2015 na 2010? Au kama zile za 1995 na 2000 kule Zenji? Kweli utakuwa kama zile zilizopita? Aisee . . . kwa staili hii ngoja nianze kuaandaa tu shamba langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…