Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Nina uhakika wabunge wa CCM watarudi bungeni, lakini ambao hawatarejea tunashukuru kwa mchango wao

Aisee hebu mods futeni hi takataka, wote tumeaililiza hiyo hotuba acha kupotosha
Acha watu watoe hoja kwenye jukwaa huru, kama huna uwezo wa kushindana kwa hoja hamia Facebook au Instagram
 
Sisi wana cdm tumemkubali
 
Hiyo inaitwa jino kwa meno
Comment safi kabisa. Natamani mgombea urais awe Lissu na muongoza kampeni awe John Heche uwe mwendo wa nyundo tu. CCM Wakipiga nyundo inajibiwa haraka na kwa uhakika na team ya CHADEMA. Hakuna kuremba
 
Ameeen!!
 
Kukata tamaa ni kukaribisha balaa maishani mwako
Kama ni kwa nguvu za sir God hapo sawa but kwa jicho la kibinadamu tujiandae kisaikolojia kuteseka for 5 years again to come,no way out !
 
Kauli ya Magufuli ya leo ni ya kutisha sana na ishara kuwa wapinzani wataondolewa wote bungeni atabaki yesu na wafuasi wake.

Kama wapinzani wanataka kuiondoa ccm madarakani wasisumbuke kuwapigisha kampeni za kupiga kura wananchi badala yake watangaze civil disobedience tu.

Muda wa kuchukua fomu ukifika kuna wengine watatoka nyumba salama ila hawatarejea, Mungu atuepushe na hili.

cc.
Zitto

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Sio kila siku ni jumapili,wanalijua Hilo washajipanga nalo
 
Wangetakiwa kufanya nini sasa kupata Katiba na Tume Huru ya Uchaguzi?Marufuku ya siasa,mikutano na maandamano iliatolewa mapema sana 2016,na tumeshuhudia wapinzani walivyofanyiwa hata walipokuwa na mikutano yao ya ndani.
Walitwezwa na vyombo vya dola hadharani,2017 pia tulishuhudia maajabu ya awamu ya tano,ndani ya viunga vya Bunge,mchana kweupe watu wasiojulikana walipofanya assassination na bado hakuna aliyetiwa nguvuni,wahusika wanadai wahanga ndiyo mashahidi,lakini Watanzania wapi kimya maana hayupo aliye salama hats sasa.
Tusiwalaumu wapinzani kwa hapa nchi hii ilikofikia,ni suala letu sote.Tuseme inatosha na tufanye maamuzi magumu na kuwakataa wakoloni weusi.Nafasi hiyo tunayo October 2020,tusikubali kuburuzwa.Nchi hii ni yetu sote.
Kipindi cha kwanza cha awamu ya tano kilivyokuwa kigumu,fikiria wanahitaji kurudi uongozini lakini hawatubembelezi ili tuwachague tena,tujiulize itakuwaje kipindi cha pili ambacho hawatakuwa na cha kupoteza?Watatukomesha,tutalimia meno had I tuwe vibogoyo.Ni hatari tupu.
 
Hopefully very soon rather than later. I am worried about the negative impact in our country if this dictator stays in power for another 5 years and without TUME HURU the possibility of him staying for another 5 years is very REAL.

Mkuu Shetani hajawahi kumshinda Mungu mahali popote duniani , ondoa shaka
 
Kutegemea external kutahalalisha hoja ya ccm kuwa vyama vya upinzani vinatumika na mabeberu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app

Kwa hapa tulipofikia hakuna jinsi, isitoshe hoja za ccm sio kipimo cha ukweli ndani ya nchi hii. Wananchi wote wanaojitambua wanajua kinachofanyika. Hizo propaganda za ccm zisikutishe boss. Mbona sisi tunasema wao wanatumia vyombo vya dola, lakini hawaogopi bali wanatumia vyombo vya dola kiwaziwazi?
 
hata wa CCM wapo ambao hawatarudi. usimwelewe Rais in negativity tu big
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…