Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Nina uhakika wabunge wa CCM watarudi bungeni, lakini ambao hawatarejea tunashukuru kwa mchango wao

"Waamuzi wa uchaguzi si wapiga kura bali wahesabu kura" Stalin, mtawala wa Soviet Union ya zama hizo. NEC au ZEC ikitangaza fulani ndiye rais, basi, ndiye hizi zama zetu!
Thus nasema waamuzi ni wananchi Kama kuridhika kuchaguliwa na wahesabu kura au kutoridhika
 
Tatizo lenu ajenda mnazo nyingi sana,sasa mmeshasahau la tume huru mmebaki kumpigia debe bwana yule mwenye mdomo mkubwa,

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
"Waamuzi wa uchaguzi si wapiga kura bali wahesabu kura" Stalin, mtawala wa Soviet Union ya zama hizo. NEC au ZEC ikitangaza fulani ndiye rais, basi, ndiye hizi zama zetu!
Kwa hiyo tunatarajia kugharamia hilo igizo la kufanya uchaguzi Huru na haki.
Hila haijawahi kuwa mbinu bora katika kupata mafanikio endelevu.Usanii kwa maisha ya Wananchi haukubaliki.Turuhusu Wananchi wawe waamuzi wa mpambano na siyo NEC/ZEC,POLICE au Government Instruments zingine.
 
Maana ya kiongozi ni nini? Kama unafikiri hakuna cha kufanya basi waje tulime. Mimi tayari nina mashamba yangu South Sudan. Haya mengine yanayoendelea hapa nayasoma tu hapa JF.
 
Tunasubiri kauli moja tu, APIGWE NDULI IDD AMIN WA TZ APIGWE, basi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…