Lakin usisahau kwamba kenya wana watu wenyevwenye uelewa sio kama sisi tunaoburuzana tuTatizo la Kenya ni wivu na kujifanya wanajuwa kila kitu kumbe wapumbavu wanatawaliwa kifamilia na kikabila. makampuni yao mengi yaliingia tanzania kinyemela kufanya biashara, mashule, mabank asikomee KQ pekee.
Hapo ndo namkubaligi Magufuli. Hawa Wakenya wapuuzi sana. Wanadhani Tanzania ya sasa ni ile ya Mzee Mwinyi. Wakae wakijua wakimwaga ugali saa tatu asubuhi sisi huku saa tatu na dakika tano tunamwaga mboga na meza tunavunja kila mtu alale njaa.Tatizo la Kenya ni wivu na kujifanya wanajuwa kila kitu kumbe wapumbavu wanatawaliwa kifamilia na kikabila. makampuni yao mengi yaliingia tanzania kinyemela kufanya biashara, mashule, mabank asikomee KQ pekee.
Ndomatatizo ya kujua kwingi. Uelewa wao waupeleke hukohuko kwao. Tatizo hamuwajui hawa viumbe. Mimi nimeishi nao ni wapuuzi sana. Wana wivu kuliko mke mwenza.Lakin usisahau kwamba kenya wana watu wenyevwenye uelewa sio kama sisi tunaoburuzana tu
Ni kwel lakin wanapeleka vitu vyao kisomi sio kama sisi wasomi wameweka akil zao kwenye vyet wanasifia ili wanufaishe matumbo yao na sio ya wanachi wanaowatumikia.Ndomatatizo ya kujua kwingi. Uelewa wao waupeleke hukohuko kwao. Tatizo hamuwajui hawa viumbe. Mimi nimeishi nao ni wapuuzi sana. Wana wivu kuliko mke mwenza.
Hilo ndo tatizo la wasomi wetu. Lakini ujuaji wa Wakenya ni kuona wao ni bora kuliko mataifa mengine ya EA. Hilo ndo linafanya waanze kutikisa njiti za viberiti vya wenzao kila siku. Wakae kwakutulia.Ni kwel lakin wanapeleka vitu vyao kisomi sio kama sisi wasomi wameweka akil zao kwenye vyet wanasifia ili wanufaishe matumbo yao na sio ya wanachi wanaowatumikia.
Mkuu sema "Mimi" usiseme "sisi" kama ujinga na kuburuzwa ni wewe peke ako na vibaraka wengine!Lakin usisahau kwamba kenya wana watu wenyevwenye uelewa sio kama sisi tunaoburuzana tu
Wana uelewa wangeachia ardhi imilikiwe na familia chache?Watu zaidi ya Milioni wanaishi Kwa slums za kibera na mathare..uelewa wao umewasaidia nini?Lakin usisahau kwamba kenya wana watu wenyevwenye uelewa sio kama sisi tunaoburuzana tu
"SiSI" kwa sababu watanzania wote ni waoga. Haiwezekan katiba mara kibao inavurugwa na sisi wananchi tumekaa tu kimya. Kenya huo upuuz haupo. Sisi hadi mahakama inaingiliwa lakin tupo kimya kama mtungi wa maji. Mtu mmoja anaongoza nchi kama familia yake tupo tuu. Alaf unataka niseme ni mm na sio sisi.Mkuu sema "Mimi" usiseme "sisi" kama ujinga na kuburuzwa ni wewe peke ako na vibaraka wengine!
Dunian kote lazma kuwe na tajir na maskin ili mambo yaende. Hamnaga usawa. Sasa sisi tunamilik ardhi lakin mbona weng bado wanakaa kwenye slums tuWana uelewa wangeachia ardhi imilikiwe na familia chache?Watu zaidi ya Milioni wanaishi Kwa slums za kibera na mathare..uelewa wao umewasaidia nini?
Ila ukiangalia kwenye hayo maswala wanasumbuanza zaidi wanasiasa aambao woote no wasanii tu."SiSI" kwa sababu watanzania wote ni waoga. Haiwezekan katiba mara kibao inavurugwa na sisi wananchi tumekaa tu kimya. Kenya huo upuuz haupo. Sisi hadi mahakama inaingiliwa lakin tupo kimya kama mtungi wa maji. Mtu mmoja anaongoza nchi kama familia yake tupo tuu. Alaf unataka niseme ni mm na sio sisi.
Nadhani badala ya kuhangaika na wakenya,tungeelekeza nguvu zetu kuaddress ujinga unaowakabili watanzania ili waweze kucompete,haya mengine we are just wasting our timeMagufuli please upitie upya mkataba wa KQ na Tanzania...
Wakati wa JK .. waziri Samuel Sitta aligundua huo mkataba Una matatizo mengi ikiwemo KQ kuzidisha namba ya safari za kuja Tz kinyume na mkataba..
Naomba Rais Magufuli aupitie mkataba upya...ili twende sawa..
wee nae, sasa hao wasomi wa Kenya wamewasaidia nn wakazi wa kibera? Africa Mashariki hakuna nchi yenye upigaji wa hela kama KenyaNi kwel lakin wanapeleka vitu vyao kisomi sio kama sisi wasomi wameweka akil zao kwenye vyet wanasifia ili wanufaishe matumbo yao na sio ya wanachi wanaowatumikia.