Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Huna uwezo wa kumchomoa Rais Magufuli wewe pamoja na huyo mgonjwa Lissu Urais mtausikia tu. Ikulu yetu hatuwezi kuwapa wasaliti afadhali tutandikane risasi za kichwa.
Wewe unaongea kwa niaba ya nani au wewe ni nani?
Unaposema bora tutandikane risasi za kichwa unamaana kuwa hakuna maana ya uchaguzi na ni kupoteza muda.
Kwa uchochezi huu wa KUCHAPANA RISASI ZA KICHWA nitashangaa kama MODS watakuacha bila kukuchapa ban walao mpaka baada ya uchaguzi ndio urudi hapa na ujinga huo.
cc: @maxence mello hawa ndio wanatuharibia. Jee upande wapili wakimjibu itakuwaje?