Rais Magufuli pitia upya mkataba wa KQ na Tanzania

Rais Magufuli pitia upya mkataba wa KQ na Tanzania

Ni kwel lakin wanapeleka vitu vyao kisomi sio kama sisi wasomi wameweka akil zao kwenye vyet wanasifia ili wanufaishe matumbo yao na sio ya wanachi wanaowatumikia.
Mkuu kama upo Tanzania Fanya haraka uhamie kwa wasomi wenzio Kenya kule utafaidika sana
 
Dunian kote lazma kuwe na tajir na maskin ili mambo yaende. Hamnaga usawa. Sasa sisi tunamilik ardhi lakin mbona weng bado wanakaa kwenye slums tu
Wewe ni mkenya, yanavyokutoka si bure
 
Hata KQ ikija mara million kwa siku sioni tatizo.Hao abiria iliowaleta siwatalipa Airport fees? siwatalala kwenye hotel zetu, siwatatumia pesa kula ? Hasara tunayopata kwa hilo shirika kuja mara nyingi ni ipi ? hebu fafanueni. mashirika mengi yalishaacha kuja Tanzania .BA waliacha, Lufthansa waliacha, Etihad nao juzi juzi wamewacha, Air France hawaji,China Airline hawaji ,Saudi hawaji,wakati kenya yanakwenda. Badala ya kutafuta ni jinsi gani tutaweza kuyavutia mashirika mengi ya ndege kuja Tanzania, na kujiuliza ni kwanini kina BA, Etihad waliacha tunashangilia utopolo wa kuzuia mashirika kuja bongo,kitakachofuata ni nauli za ndege kuwa juu, na kupungua kwa utalii.nauli za ndege kuja Tanzania toka Ulaya ni kubwa kuliko toka ulaya kwenda Kenya sababu mashirika yanayokwenda Kenya ni mengi kuliko yanayokuja bongo.


Nauli inasababishwa na Kodi..
Inwezekana KQ ndo sababu hao wengine hawaji..

Baada ya kukosekana Kwa local airline strong kwenye soko KQ wameji position kama wao ndo local airline Kwa Tz Kwa safari za kutoka Europe na kwingineko..

Je mkataba uko hivyo!?Hawana figisu wanazofanya ku discourage others wabaki wao zaidi?..wachunguzwe
 
Ukisikia upotolo ndio huu.inaonekana huna exposure.Nenda Amsterdam schiphol au Dubai Airport na viwanja vingine uone madege ya mashirika mbali mbali yalivyojazana pamoja na kwamba nchi hizi zina mashirika makubwa ya ndege lakini sio kigezo cha kuyazuia mengine yasije kwenye nchi zao.Kwa hio ukiizuia KQ unadhani ATCL itaruhusiwa kutua kENYA? KITAKACHOFUATA NI NINI KAMA MMEZUIA USAFIRI WA ANGA KATI YA NCHI HIZI?
umeasha ambiwa Terminal 3 itapokea zaidi ya wasafili million 6 utawezaje kama hata watalii wanai ingia Tanzania hufikia kwanza Kenya kinachotaka kufanyika hapo nini kufanya unachoita utopolo kiwe na chanzo cha mashilika makubwa yaliyokuwa yame zika root kuja Tz kutokana na matakwa ya wateja kuja moja kwa moja Tz hiyo KQ okiendelea na route kwa wingi kama ilivyo kuwa awali itakua n vigumu kwa hilo kufanyika KINACHO FATA HAPO NIWAZI KUVUTA SOKO KIMATAIFA SIO KIKANDA.
NIVITU VIDOGO SANA HIVI KUELEA UKITUMIA AKILI NYINGI NA UJUAJI UTAPOTEA.
 
Lakin usisahau kwamba kenya wana watu wenyevwenye uelewa sio kama sisi tunaoburuzana tu
Akili za kushikiliwa hizo, wangekuwa wamesoma wasingeshikiliwa akili zao na mabeberu. Haiingii akilini wanaweka lockdown kwa kushurutishwa wakati wa usiku. Hiyo Covid-19 ilikuwa inawanga usiku tu? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hahaha Magufuli huwa mnamnanga lkn linapokuja swala la kazi na utendaji ninyi wenyewe ndani ya nafsi zenu mnajua kabisa kwamba ndiye pekee anayeweza kutenda na kutekeleza kwa vitendo kupigania maslahi ya Tanzania yetu, hao wengine ni wasanii tu, ...

Chagua Magufuli kwa Afya na Ustawi wa Taifa letu, Magu tena 2020/35!
Hiyo inakuwa ni misimamo ya nchi siyo ya magu, acheni kujitia ujinga. Hata akiondoka madarakani mboga na ugali vitaendelea kumwagwa tu..
 
umeasha ambiwa Terminal 3 itapokea zaidi ya wasafili million 6 utawezaje kama hata watalii wanai ingia Tanzania hufikia kwanza Kenya kinachotaka kufanyika hapo nini kufanya unachoita utopolo kiwe na chanzo cha mashilika makubwa yaliyokuwa yame zika root kuja Tz kutokana na matakwa ya wateja kuja moja kwa moja Tz hiyo KQ okiendelea na root kwa wingi kama ilivyo kuwa awali itakua n vigumu kwa hilo kufanyika KINACHO FATA HAPO NIWAZI KUVUTA SOKO KIMATAIFA SIO KIKANDA.
NIVITU VIDOGO SANA HIVI KUELEA UKITUMIA AKILI NYINGI NA UJUAJI UTAPOTEA.
Hizo mbona zilipendwa? Hadithi za zamani. KLM, Emirates, Quatar, Turkey Airways, Ethiopian Airlines, Lufthansa etc mbona zinakuja direct kutoka huko watokako? Rejea AITA protocal, Tanzania hatutishiki na kelele za mlango.
 
Lakin usisahau kwamba kenya wana watu wenyevwenye uelewa sio kama sisi tunaoburuzana tu
Uelewa gani huo,kuongozwa kikabila na kifamilia?,au kuuwana wakati wa uchaguzi.
 
Hizo mbona zilipendwa? Hadithi za zamani. KLM, Emirates, Quatar, Turkey Airways, Ethiopian Airlines, Lufthansa etc mbona zinakuja direct kutoka huko watokako? Rejea AITA protocal, Tanzania hatutishiki na kelele za mlango.
Shida una uliza ki2 kinacho kutenga ww mwenyewe. Jiulize kwann KQ ina route nyingi zaidi kuja TZ ? Bado soko la ukanda huu wa EAC wanalo mkononi na Tz inafanya kufanya mapiduzi na hizo n ndege 2 zinazo ingia tz bado gari za utalii zinazo vuka mipaka Amka ww.
 
Hilo ndo tatizo la wasomi wetu. Lakini ujuaji wa Wakenya ni kuona wao ni bora kuliko mataifa mengine ya EA. Hilo ndo linafanya waanze kutikisa njiti za viberiti vya wenzao kila siku. Wakae kwakutulia.

Wao wanahesabu wenye corona kila siku. Imewasaidia nini? Sana sana wanatia hofu watu wao. Na hakuna ugonjwa mbaya kama hofu. Hofu inaua hata kuliko hiyo corona.
Walijazwa ujinga na mabwenyenye ili waweze kutawaliwa kimamboleo,wajinga sana..wana maisha duni kuliko taifa lolote kusini Mwa sahara.
 
Linapokuja swala la kitaifa inabidi tuweke tofauti zetu pembeni. Uzalendo ni pamoja na kukosoa pale unapoona serikalu inaenda sivyo na kuunga mkono pale wanapofanya vizuri na sio kupinga bila sababu au kuunga mkono upuuzi.

Inabidi kenya walete ndega kama ilivyokubaliwa
Tatizo mnakosoa ujinga! We unadhani ni sawa ndege zao zije afu za kwetu zisiende? Huo ujinga hata shetani hawezi fanya. Nyie wapingaji hebu mda mwingine mtumie akili kidogo!
 
Magufuli please upitie upya mkataba wa KQ na Tanzania.

Wakati wa JK .. waziri Samuel Sitta aligundua huo mkataba una matatizo mengi ikiwemo KQ kuzidisha namba ya safari za kuja Tanzania kinyume na mkataba.

Naomba Rais Magufuli aupitie mkataba upya...ili twende sawa.
Duh, hadi wewe? Basi Tanzania tutafika mbali
 
Wakenya wahuni sana. Hawajui Sasa Tz tumeamka. Ilikuwa enzi hizo, Sasa iv Tz ni kitu kingine. Tena wasijaribu si kwa vita vya kiuchumi tu hata vya msituni, majini na angani tunawanyoosha. Tz is one and we are proud of it.
 
Kuwa Mtanzania halisi ni kuipenda na kuilinda Tanzania, pia nikumpinga na kumchukia yeyote asiyeheshimu katiba na sheria za Tanzania hata kama ni Mtanzania.

Magu kama anapambana na adui wa nje WELL AND GOOD. Lakini kama bado akigeuka nyuma anawachoma singe pia Watanzania hapo NO, tutapambana naye kama adui mwingine yeyote bila woga na kumchomoa hapo alipo.

Hatumtunzi vizuri na familia yake, kumlinda na kumpa utukufu wote huo kwa ajili ya kupambana na Kenya tuu huku akiwakanyaga na kuwakwamisha maisha bora Watanzania.

Ndio tunataka heshima ya nchi yetu itunzwe huko nje, lakini na Utu wa Mtanzania ndani ya nchi yao uthaminiwe vinginevyo Octoba out!
Huna uwezo wa kumchomoa Rais Magufuli wewe pamoja na huyo mgonjwa Lissu Urais mtausikia tu. Ikulu yetu hatuwezi kuwapa wasaliti afadhali tutandikane risasi za kichwa.
 
Back
Top Bottom