Rais Magufuli pitia upya mkataba wa KQ na Tanzania

Rais Magufuli pitia upya mkataba wa KQ na Tanzania

Ni kwel lakin wanapeleka vitu vyao kisomi sio kama sisi wasomi wameweka akil zao kwenye vyet wanasifia ili wanufaishe matumbo yao na sio ya wanachi wanaowatumikia.
Nauliza tu nieleweshe
Ardhi yenye rutuba ya Kenya asilimia ngapi iko mikononi mwa mwananchi wakawaida walio wengi?
 
Hivi wewe hiyo tabia umeiwacha lini?
Mambo haya Lisu atayawezea wapi mkuu? Ndio kwanza kule alikokuwa japo alikwenda kwa matatizo lakini wameshamuambukiza na ile tabia nyingine mbaya kabisa duniani
 
Nyie mbona mnajilimbikizia mali ya umma na kuwaacha mamilioni ya watu masikini wakiishi maisha duni kabisa?

Kuna watu wanaishi maisha duni hawajui leo wale nini na kesho yao hawajui wale nini huo ndiyo usawa wa kujivunia?
Unajiita unaakili huku ruling class ya Kenyata ikimiliki karibu robo ya ardhi ya nchi huku wasomi wa Kenya wakikosa hata eneo la kulima sukuma wiki! Huo ni usomi au umavi?
 
"SiSI" kwa sababu watanzania wote ni waoga. Haiwezekan katiba mara kibao inavurugwa na sisi wananchi tumekaa tu kimya. Kenya huo upuuz haupo. Sisi hadi mahakama inaingiliwa lakin tupo kimya kama mtungi wa maji. Mtu mmoja anaongoza nchi kama familia yake tupo tuu. Alaf unataka niseme ni mm na sio sisi.
Umeulizwa ardhi ya kenya inamilikiwa na nani kwa asilimia ngapi? Tujue kuna wasomi na katiba yao iko safi
 
Hilo mataga hawalioni na 85% ya wanao sifia hiyo monopoly ni wale ambao hata uhakika wa kutumia usafiri wa ndege kwao ni kitendawili maishani mwao.
Kwa hasara yetu wenyewe! Kunapokosekana ushindani kinachofuata ni monopoly ya soko
Tiketi zinapanda bei hovyo!
 
Hilo sahau hadi pale mtakapo zitambua haki za watanzania wote bila kujali itikadi zetu kisiasa. Haiwezekani uninyanyase kisa itikadi yangu hailingani na yako alafu utegemee nikuunge mkono kwenye shida?
Na hiki ndicho kinatakiwa, Taifa letu likiguswa, tunaweka chini U CCM Na U CDM tunamshughulikia adui kwa pamoja, akisha ondoka tunaendeleza mengine
 
Issue ya kupitia mkataba wala haipaswi kufika kwa Rais. Kama terms kwa mfano zinasema KQ wafanye trips 14 kwa week then wao wanakuja mara 20, kuna mtu junior kabisa kwenye airports zetu anapaswa kuraise hili na likafanyiwa kazi kwa level za chini.

Ni bahati mbaya sana tumefika mahali hata kujenga vyoo vya stand au kukarabati gari mpaka Rais wa Nchi afike kutoa maelekezo
Swali ni je ndege zao kuja kwa wingi Tanzania ni hasara kwa Tanzania au faida????

Hizo ndege zinapokuja kwa wingi, zinakuja tupu au zinakuja na watu??? Hujui watu wengi kuja nchini kwako ni faida??? Au hamjui suala la aviation linavyofanya kazi???

Huko Duniani nchi zinashindana kwa idadi ya ndege zinazoingia nchini kwao na idadi ya watu wanaotembelea nchi zao sasa nyie mnavyopinga KQ kuja kwa wingi nchini mwenu hamjui iyo ni kujiua kiuchumi??? Labda mseme zinakuja na Kuna vitu hawalipii Ila hapo pia sina uhakika.

Ninavyopitia mijadala ya issue ya Kenya na Tanzania ninachogundua ni kuwa uewela wa watanzania kwenye mambo ya uchumi ni mdogo sana. Na Ndo mana viongozi wanawaendesha sana
 
Kuangaliwa kwa huo mkataba ni muhimu sana kwa ukuaji wa Air Tanzania pia. Ilikua KQ wanakuja DAR mara nne kwa siku na hiyo ni nje ya Precision air. Yani wapewe mara mbili tu kwa siku.
 
Hapo humpati mtu, pambaneni na hali zenu
KQ wana advantage dhidi ya ndege za nchi zingine kama Ethiopian airlines na South Afrika au hata Rwandan air..sizungumzii dhidi ya ATC
Nazungumza mkataba utazamwe Kwa ujumla wake..

Hasa wanapokuwa kila mara wanatutishia kujifanya wako strong economically kutuzidi
While sisi ndo tuna wapa nguvu hao KQ wasi collapse
 
Mkuu upo sahihi sana, lkn sidhani kama kuwabeza viongozi waliopita sidhani kama upo sahihi.

Kumbuka hao viongozi walikuwa ni viongozi wetu kama tulio nao sasa hivi na kingine kikubwa ni kuwa wote wanakitumikia ccm.
Samahani kiongozi. Sometimes ujinga wa watu wengine unaweza kufanya nikatoka nje ya mstari.
 
Hata KQ ikija mara million kwa siku sioni tatizo.Hao abiria iliowaleta siwatalipa Airport fees? siwatalala kwenye hotel zetu, siwatatumia pesa kula ? Hasara tunayopata kwa hilo shirika kuja mara nyingi ni ipi ? hebu fafanueni. mashirika mengi yalishaacha kuja Tanzania .BA waliacha, Lufthansa waliacha, Etihad nao juzi juzi wamewacha, Air France hawaji,China Airline hawaji ,Saudi hawaji,wakati kenya yanakwenda. Badala ya kutafuta ni jinsi gani tutaweza kuyavutia mashirika mengi ya ndege kuja Tanzania, na kujiuliza ni kwanini kina BA, Etihad waliacha tunashangilia utopolo wa kuzuia mashirika kuja bongo,kitakachofuata ni nauli za ndege kuwa juu, na kupungua kwa utalii.nauli za ndege kuja Tanzania toka Ulaya ni kubwa kuliko toka ulaya kwenda Kenya sababu mashirika yanayokwenda Kenya ni mengi kuliko yanayokuja bongo.
 
Kama nchi isinge kuwa na shilika lake la Ndege pasinge kuwa na hasara ila KQ shilika lao linanufaika sababu hiyo Airport fees ni faida kwa pale Airport tu ila ATCL haifaindiki na chochote hapo na kama KQ isinge ona faida ya kuluka kuja Tz isinge kiwa na frequencies all more 19× a week kuja tz. So hapo ni kwa manufaa ya ATCL na sio Airport
 
Tatizo la Kenya ni wivu na kujifanya wanajuwa kila kitu kumbe wapumbavu wanatawaliwa kifamilia na kikabila. makampuni yao mengi yaliingia tanzania kinyemela kufanya biashara, mashule, mabank asikomee KQ pekee.
Tena nasikia wakiliona kampuni la kitanzania linafanya vizuri either wanafanya robbing mkurugenzi awe mkenya au wananunua hisa kwenye hiyo kampuni then badae wanaihujumi ili kuua kampuni..
Then JPM anapaswa kua macho Sana na Kenya kunakipindi walizuia magari kutoka tz yasiingie Kenya kuchukua watarii bila sababu yoyote ya msingi hakukua na corona pengine ingesingiziwa ni corona so tunapaswa kuwa waangalifu kweli na hawa jirani zetu historia inatufundisha walivowahi kuhujumu EAC huko nyuma na wakanufaika wao na kuvunjika Kwa EAC so Magufuli Rais wetu unapaswa kusimama I mara sana Kama ambavo umefanya tangu hujuma za bomba la mafuta kutoka UG hawa Kenya walitaka kuhujumu ,sakata la maroli ya mizigo ili kuua sector ya usafirishaji amba yo kiukweli imekua Sana kutokana maboresho yaliyofanywa na TPA na ukiua sector ya usafieishaji bandari inateterka..tuache uchama hapa nchi ipo vitani kiuchumi..
 
Kama nchi isinge kuwa na shilika lake la Ndege pasinge kuwa na hasara ila KQ shilika lao linanufaika sababu hiyo Airport fees ni faida kwa pale Airport tu ila ATCL haifaindiki na chochote hapo na kama KQ isinge ona faida ya kuluka kuja Tz isinge kiwa na frequencies all more 19× a week kuja tz. So hapo ni kwa manufaa ya ATCL na sio Airport
Ukisikia upotolo ndio huu.inaonekana huna exposure.Nenda Amsterdam schiphol au Dubai Airport na viwanja vingine uone madege ya mashirika mbali mbali yalivyojazana pamoja na kwamba nchi hizi zina mashirika makubwa ya ndege lakini sio kigezo cha kuyazuia mengine yasije kwenye nchi zao.Kwa hio ukiizuia KQ unadhani ATCL itaruhusiwa kutua kENYA? KITAKACHOFUATA NI NINI KAMA MMEZUIA USAFIRI WA ANGA KATI YA NCHI HIZI?
 
Back
Top Bottom