Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

Hahaha uwii I hate ccm with all my strength f*****
 
hoja nyingine ni kuwa aliomba japo robo ya roho ya JK na SHEIN kwa nyakati tofauti je yeye ana roho ya aina gani??siku zote mwanaume unavyoonekana ukiwa na wenzio maneno na matendo yako vinakisi mbali sana ...

well, hata hilo suala la upole wa Shein Magufuli did not mean what he said. Kasema anaomba japo robo ya roho ya Shein halafu hapo hapo akamkandia kwamba ni mpole sana inabidi akaze ili nchi ya Zanzibar ipige hatua. Which means hafagilii upole.
Okay, sasa kwa nini anajifanya kusema anaomba awe japo na robo ya roho ya Shein? Sio unafiki huo?

He doesn't mean what he says, anajifanya kusema "...mkweli ni mpenzi wa Mungu." Anachofanya ni psychological projection, kama ambavyo wana saikolojia wanasema unaweza kukuta mtu shoga akiwa hadharani analaani ushoga. Yani anajitetea kabla hajashambuliwa kwa sababu anajua ana madhambi, Rais anajijua anasema uongo kwa hiyo anatanguliza "mpenzi wa Mungu" bull crap.

Kwanza from a protocol standpoint amemkosea heshima Shein kwa kum potray mbele ya Wazanzibari kwamba anawalostisha watu wake. Especially baada ya kuutetea sana Muungano that day, kiasi cha kusema mtu yeyote anaemsumbua huko Zanzibar amwambie yeye atammaliza within five minutes. Okay, kama unautetea Muungano namna hiyo kwa nini huheshimu himaya ya Rais wa Zanzibar unam rubbish mbele za watu wake namna ile?

Ndio maana kama umefuatilia, wiki hii iliyopita Shein amerudi majukwaani Pemba ku clean up the mess ya Magufuli. Magufuli alimshambulia viciously mgombea ambae Pemba nzima wanaamini alishinda uchaguzi wa Rais, amemsifia Jecha ambae watu wote kule wanajua ndio alikuwa the symbol of the stolen vote, amempigia chapuo Waziri Mbarawa ambae alishindwa uchaguzi wa ubunge, amewananga Wazanzibar kwamba hawajui chema na kibaya kwa kumkataa Waziri ambae yeye amempa wizara tatu na ubunge wa bure. Hotuba zake ni fully studded with uchochezi. Shein amerudi majukwaani kusahaulisha kauli za Magu.

Magufuli ni kama Donald Trump, he does not have the temperament befitting a president, Rais mwenyewe ndio mchochezi wa kwanza.
 
Huu ni ufinyu wa mawazo yake, kila mtu ana mapungufu ila huyu amepungukiwa zaidi, anadhani wanaotoa mpaka dola 400, 000 wana hela sana ama? Utu na ubinadamu kwanza! bwana.... Anaboa huyu jamaa sasa.
 
Hatimaye mkuu kazungumza japo kwa kuchelewa sana. Ila naomba niulize: hivi inawezekana kukawa na watu wanaoamini kuwa "tetemeko limeletwa na serikali" mpaka mkuu atake wananchi wafahamishwe kuhusu hilo?

Hahhahaha kuna wabongo wengine vichwa maji kweli ....kama vile kupatwa najua,huko mbeya kuna jamaa kajua serikali yake imeamua kupatwa najua mwaka huu 2016 ufanyikie mbeya na akawaanaponheza uongozi wa CCM .sembuse tukioo kama ilo.
 
Hatimaye mkuu kazungumza japo kwa kuchelewa sana. Ila naomba niulize: hivi inawezekana kukawa na watu wanaoamini kuwa "tetemeko limeletwa na serikali" mpaka mkuu atake wananchi wafahamishwe kuhusu hilo?
Inawezekana kabisa kuna watu inabidi waelimishwe kuhusu hilo. Si unajua mambo ya shule za kata yalivyo na matatizo? Kama mtu anaweza kuishukuru serikali kwa kuuchagua Mkoa wa Mbeya kuwa ndiyo sehemu ya kupatwa na Jua, itashindikanaje watu wa aina hiyo kuamini kuwa Serikali hiyo hiyo imechagua Bukoba kuwa sehemu ya kupatwa na tetemeko? Halafu hapo unaambiwa elimu imepanda kiwango. Je ilipokuwa chini hali ilikuwaje?
 
Anasema rafiki Wa kweli ni anayekusaidia wakati Wa shida.. Amewashukuru Kenyatta na Museven nadhani alikuwa akituma ujumbe kwa Kagame.. Haijakaa vizuri sana hiyo.. Nadhani hamjui teacher Wa visasi atakuja kujuta kwanini Safari ya kwanza alianzia kule.

Mnyarwanda zake husema it's a matter of time tu.. Kichapo lazima ule
 
Hotuba imerudiwa jpili channel 10. I am bit disappointed na miss-interpretation ya hotuba ya mkulu kwenye huu uzi. Kwa mwendo huu JF iaanza kua a mere political propaganda platform na sio great thinkers platform kama ilivyokua. Wengi tunakuja JF kupata breaking/update news bila kijali political ideology ya mtu. Kwa walioisikia hotuba yote ya mkulu, mengi kazungumza, but is just not right kutumia sentensi moja negatively katika 30mins speech. Moderators tunaomba kwa credibility ya JF habari iwe inakua scrutinised kabla haijawa posted.
 
Foreman in da building....Kama baba wakati mwingine ukali huifanya familia yake ikae vizuri japo si kwa zaidi ya asilimia15..
 
Hivi kwani kuna watu walisema tetemeko limeletwa na ccm hadi aseme hivyo?
 
duuuh...kazi ipo..ukiangalia takwimu nyumba zilizoanguka na zilizo hatarishi ni zaidi ya 16,000.mpaka sasa zimepatikana bn3.5..ukisema ujenge nyumba kwa milion 20 kila moja utajenga nyumba 175 tu..bado kuna tatizo kubwa.
 
Wakati Mh Rais anapokea taarifa ya maafa ya tetemeko kutoka kwa Waziri Mkuu alisema yafuatayo:
- Waanga wa tetemeko waelezwe ukweli kuwa tetemeko halikusababishwa na Serikali wala CCM...Hivyo waache kukaa na kutegemea msaada wa kila kitu kutoka kwa serikali ni wakti sasa wajipange na kuanza kufanyaaa kazii. Hapa hakuna tatizo maana lazima watu wajisadie pale wanapoweza huku wakisubiri msaada mkubwa kutoka serikalini.
-Akaendelea kusema tetemeko hili lisitumike kama sehemu ya wana siasa kwenda kujitafutia umaarufu..Na hapa akasema kwa mafumbo kidogo kuwa kuna Kiongozi wa Wa chama kimoja cha Siasa ameenda huko akazunguka nyumba zoooote mwishowe hakutoa hata kitu..Na akaendelea kusema wanachi hawataki maneno matupu wanataka msaada. Hapa ndo nilipoona tatizo kidogo maana Kiongozi wa chama cha siasa alienda kule nadhani anajulikana ni nani na naamini watu wanapofikwa na matatizo hata kwenda kuwapa pole ya mdomo tu inawafariji mno kuliko hata kuwapelekea vitu.. Nikakaa nikajiuliza sana Mkuu wakati anazungumza kwa mafumbo marahisi hivyo ni kweli anadhani wanachi hawaelewi ni nani anamzunguzia? Nimefananisha dongo hilo na lile alilosema akiongea na NHC kuwa yeyote ambaye hajalipa kodi ya nyumba mtoeni nje na vitu vyake kama mlivyofanya kwa yule jamaa...Itakuwa hivi mpaka lini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…