wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Huu ni uamuzi mzuri lakini waimba mapambio ya kumsifu yesu mpya wataupinga.
Uchaguzi wa wabunge pia, mambo yakiwa yale ya kwenye primaries tunapotezeana muda tu.
Kitwa-MulomoniHivi lugha za matusi kweli bado mnazitetea? Waliotumia sana lugha hizo awamu hii ni Halima mdee, yule mbunge wa Arusha mjini, na Lissu - hawa wa mwanzo walipopelekwa shule (lockup), walipotoka huko lugha yao ikawa ya staha inayo takiwa na watanzania. Lakini yule kichwa maji Lissu na yaliyompata hajajua ni lugha ipi ya kutumia. Nafikiri Lissu akishinda urais ataambiwa ni lugha ipi atumie.
Alikuwa anafurahisha umma na pia kutafutakupigiwa makofi.Tumeisikiliza hotuba ambayo Rais Magufuli ameitoa ya kulivunja Bunge letu na kuwaaga rasmi wabunge wanaporejea kwenye majimbo yao kwenda gombea tena, kwa nia ya kurejea tena kwenye Bunge lijalo
Rais Magufuli ametoa uhakikisho kwa Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na haki.
Hata hivyo kuna tofauti kubwa ya kuutangazia Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi mkuu utakaokuwa wa uhiru na haki na kutekeleza kwa vitendo kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.
Mazingira ya uchaguzi wetu bado hayatoi matumaini kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.
Zipo sababu za kusema kuwa hatutakuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.
Sababu zangu ni kama hizi zifiatazo:-
1. Kilio cha muda mrefu cha vyama vya upinzani vya uundwaji wa Tume huru ya uchaguzi, inaelekea watawala wetu wameendelea kuziba masikio yao.
Hivi inawezekanaje tuwe na uchaguzi huru na wa haki, wakati mgombea mmojawapo wa Urais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, akiwa ndiye anayeteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake?
2. Zimelazimishwa kuwekwa kanuni na Tume ya uchaguzi ya Taifa, ambayo yana lengo la kuufanya uchaguzi mkuu usiwe huru na haki
Hivi unaeezaje kuwa na chaguzi huru na haki, wakati wasimamizi wa uchaguzi hawatalazimika kuwapa mawakala wa vyama nakala za matokeo?
Kama huo siyo mkakati wa CCM kufanya wizi wa kura, tunaweza kuita hiyo mbinu ya kutotoa nakala ya matokeo kuwa ina nia gani haswa?
3. Hivi Rais kupiga mkwara kuwa hataruhusu matusi kwenye uchaguzi mkuu ujao ina maana gani?
Hivi ni nani atakayeona kuwa lugha hii iliyotolewa kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi au laa?
Je ni Polisi wetu ndiyo watakaoamua kuwa lugha iliyotumiwa kwenye majukwa ya kisiasa ni matusi?
Ninavyojua mimi kwenye siasa za ushindani, ni kushindana kwa hoja kwenye majukwa ya kisiasa na wala hatushindani ubabe!
Chama kimoja kinapotaka kujibu upotoshaji unaofanywa na chama kingine, ni kwa kutumia majukwaa hayo hayo ya kisiasa kujibu hoja hizo na wala siyo kulitumia Jeshi la Polisi kuwanyamazisha na kutumia ubabe kwa kuwaweka ndani viongozi wa vyama vya upinzani, kwa madai kuwa wametumia lugha ya matusi!
Niseme wazi kuwa Rais wetu Magufuli ameshindwa kukabiliana na siasa za ushindani na badala yake yeye amekuwa mtu wa kutumia vitisho kwa kuvitumia vyombo "vyake" vyote vya dola kwa kukandamiza vyama vya upinzani
Kama kweli Rais wetu ana nia ya dhati ya kuufanya uchaguzi ujao kuwa huru na haki, ni kwanini anaziba pamba masikioni, kutotaka kusikia maoni ya vyama vya upinzani, ya kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi, ambayo ni maoni yenye maslahi mapana kwa Taifa letu na yenye kuleta mustakabali mwema kwa Taifa letu?
Mfano mzuri.Kama huo siyo mkakati wa CCM kufanya wizi wa kura, tunaweza kuita hiyo mbinu ya kutotoa nakala ya matokeo kuwa ina nia gani haswa?
Tumeisikiliza hotuba ambayo Rais Magufuli ameitoa ya kulivunja Bunge letu na kuwaaga rasmi wabunge wanaporejea kwenye majimbo yao kwenda gombea tena, kwa nia ya kurejea tena kwenye Bunge lijalo
Rais Magufuli ametoa uhakikisho kwa Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na haki.
Hata hivyo kuna tofauti kubwa ya kuutangazia Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi mkuu utakaokuwa wa uhiru na haki na kutekeleza kwa vitendo kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.
Mazingira ya uchaguzi wetu bado hayatoi matumaini kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.
Zipo sababu za kusema kuwa hatutakuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.
Sababu zangu ni kama hizi zifiatazo:-
1. Kilio cha muda mrefu cha vyama vya upinzani vya uundwaji wa Tume huru ya uchaguzi, inaelekea watawala wetu wameendelea kuziba masikio yao.
Hivi inawezekanaje tuwe na uchaguzi huru na wa haki, wakati mgombea mmojawapo wa Urais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, akiwa ndiye anayeteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake?
2. Zimelazimishwa kuwekwa kanuni na Tume ya uchaguzi ya Taifa, ambayo yana lengo la kuufanya uchaguzi mkuu usiwe huru na haki
Hivi unaeezaje kuwa na chaguzi huru na haki, wakati wasimamizi wa uchaguzi hawatalazimika kuwapa mawakala wa vyama nakala za matokeo?
Kama huo siyo mkakati wa CCM kufanya wizi wa kura, tunaweza kuita hiyo mbinu ya kutotoa nakala ya matokeo kuwa ina nia gani haswa?
3. Hivi Rais kupiga mkwara kuwa hataruhusu matusi kwenye uchaguzi mkuu ujao ina maana gani?
Hivi ni nani atakayeona kuwa lugha hii iliyotolewa kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi au laa?
Je ni Polisi wetu ndiyo watakaoamua kuwa lugha iliyotumiwa kwenye majukwa ya kisiasa ni matusi?
Ninavyojua mimi kwenye siasa za ushindani, ni kushindana kwa hoja kwenye majukwa ya kisiasa na wala hatushindani ubabe!
Chama kimoja kinapotaka kujibu upotoshaji unaofanywa na chama kingine, ni kwa kutumia majukwaa hayo hayo ya kisiasa kujibu hoja hizo na wala siyo kulitumia Jeshi la Polisi kuwanyamazisha na kutumia ubabe kwa kuwaweka ndani viongozi wa vyama vya upinzani, kwa madai kuwa wametumia lugha ya matusi!
Niseme wazi kuwa Rais wetu Magufuli ameshindwa kukabiliana na siasa za ushindani na badala yake yeye amekuwa mtu wa kutumia vitisho kwa kuvitumia vyombo "vyake" vyote vya dola kwa kukandamiza vyama vya upinzani
Kama kweli Rais wetu ana nia ya dhati ya kuufanya uchaguzi ujao kuwa huru na haki, ni kwanini anaziba pamba masikioni, kutotaka kusikia maoni ya vyama vya upinzani, ya kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi, ambayo ni maoni yenye maslahi mapana kwa Taifa letu na yenye kuleta mustakabali mwema kwa Taifa letu?
Hawa watawala wetu wanadhani kwa kuwabambikia kesi na kuwatesa wapinzani, ndiko kutawahakikishia kudumu madarakani?Katika haki muda sio tatizo
Tujifunze kwa Nelson Mandela alipoteza muda lakini sio tu ili apate madaraka, sifa au heshima..
Lakini kwangu Mimi Ni Somo tosha kujua haki haiombwi Bali inatafutwa tena kwa namna yoyote akili na kwa nguvu kubwa ili kuweka usawa wa maisha ya baadae..
Hii sijui ni uzi wa ngapi ukielezea suala la uchaguzi huru na wa haki. Hapa Afrika uchaguzi huru na haki ni pale uliyegombea unaposhinda au chama unachokishabikia kinaposhinda tu! Kwako CDM ikishinda ndiyo uchaguzi huru na wa haki la sivyo si huru na hakiTumeisikiliza hotuba ambayo Rais Magufuli ameitoa ya kulivunja Bunge letu na kuwaaga rasmi wabunge wanaporejea kwenye majimbo yao kwenda gombea tena, kwa nia ya kurejea tena kwenye Bunge lijalo
Rais Magufuli ametoa uhakikisho kwa Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na haki.
Hata hivyo kuna tofauti kubwa ya kuutangazia Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi mkuu utakaokuwa wa uhiru na haki na kutekeleza kwa vitendo kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.
Mazingira ya uchaguzi wetu bado hayatoi matumaini kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.
Zipo sababu za kusema kuwa hatutakuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.
Sababu zangu ni kama hizi zifiatazo:-
1. Kilio cha muda mrefu cha vyama vya upinzani vya uundwaji wa Tume huru ya uchaguzi, inaelekea watawala wetu wameendelea kuziba masikio yao.
Hivi inawezekanaje tuwe na uchaguzi huru na wa haki, wakati mgombea mmojawapo wa Urais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, akiwa ndiye anayeteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake?
2. Zimelazimishwa kuwekwa kanuni na Tume ya uchaguzi ya Taifa, ambayo yana lengo la kuufanya uchaguzi mkuu usiwe huru na haki
Hivi unaeezaje kuwa na chaguzi huru na haki, wakati wasimamizi wa uchaguzi hawatalazimika kuwapa mawakala wa vyama nakala za matokeo?
Kama huo siyo mkakati wa CCM kufanya wizi wa kura, tunaweza kuita hiyo mbinu ya kutotoa nakala ya matokeo kuwa ina nia gani haswa?
3. Hivi Rais kupiga mkwara kuwa hataruhusu matusi kwenye uchaguzi mkuu ujao ina maana gani?
Hivi ni nani atakayeona kuwa lugha hii iliyotolewa kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi au laa?
Je ni Polisi wetu ndiyo watakaoamua kuwa lugha iliyotumiwa kwenye majukwa ya kisiasa ni matusi?
Ninavyojua mimi kwenye siasa za ushindani, ni kushindana kwa hoja kwenye majukwa ya kisiasa na wala hatushindani ubabe!
Chama kimoja kinapotaka kujibu upotoshaji unaofanywa na chama kingine, ni kwa kutumia majukwaa hayo hayo ya kisiasa kujibu hoja hizo na wala siyo kulitumia Jeshi la Polisi kuwanyamazisha na kutumia ubabe kwa kuwaweka ndani viongozi wa vyama vya upinzani, kwa madai kuwa wametumia lugha ya matusi!
Niseme wazi kuwa Rais wetu Magufuli ameshindwa kukabiliana na siasa za ushindani na badala yake yeye amekuwa mtu wa kutumia vitisho kwa kuvitumia vyombo "vyake" vyote vya dola kwa kukandamiza vyama vya upinzani
Kama kweli Rais wetu ana nia ya dhati ya kuufanya uchaguzi ujao kuwa huru na haki, ni kwanini anaziba pamba masikioni, kutotaka kusikia maoni ya vyama vya upinzani, ya kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi, ambayo ni maoni yenye maslahi mapana kwa Taifa letu na yenye kuleta mustakabali mwema kwa Taifa letu?
wasiwasi wa nini nanyi mna wagombea watano tayari!Tumeisikiliza hotuba ambayo Rais Magufuli ameitoa ya kulivunja Bunge letu na kuwaaga rasmi wabunge wanaporejea kwenye majimbo yao kwenda gombea tena, kwa nia ya kurejea tena kwenye Bunge lijalo
Rais Magufuli ametoa uhakikisho kwa Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na haki.
Hata hivyo kuna tofauti kubwa ya kuutangazia Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi mkuu utakaokuwa wa ihuru na haki na kutekeleza kwa vitendo kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki.
Mazingira ya uchaguzi wetu bado hayatoi matumaini kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.
Zipo sababu za kusema kuwa kwa mazingira tuliyonayo, hatutakuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki.
Sababu zangu ni kama hizi zifiatazo:-
1. Kilio cha muda mrefu cha vyama vya upinzani vya uundwaji wa Tume huru ya uchaguzi, inaelekea watawala wetu wameendelea kuziba masikio yao kwa pamba.
Hivi inawezekanaje tuwe na uchaguzi huru na wa haki, wakati mgombea mmojawapo wa Urais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, akiwa ndiye anayeteua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na wajumbe wake?
2. Zimelazimishwa kuwekwa kanuni na Tume ya uchaguzi ya Taifa, ambayo yana lengo la kuufanya uchaguzi mkuu usiwe huru na haki
Hivi unaeezaje kuwa na chaguzi huru na haki, wakati wasimamizi wa uchaguzi hawatalazimika kuwapa mawakala wa vyama nakala za matokeo?
Kama huo siyo mkakati wa CCM kufanya wizi wa kura, tunaweza kuita hiyo mbinu ya kutotoa nakala ya matokeo kuwa ina nia gani haswa?
3. Hivi Rais kupiga mkwara kuwa hataruhusu matusi kwenye uchaguzi mkuu ujao ina maana gani?
Hivi ni nani atakayeona kuwa lugha hii iliyotolewa kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi au laa?
Je ni Polisi wetu ndiyo watakaoamua kuwa lugha iliyotumiwa kwenye majukwa ya kisiasa ni matusi?
Ninavyojua mimi kwenye siasa za ushindani, ni kushindana kwa hoja kwenye majukwa ya kisiasa na wala hatushindani ubabe!
Chama kimoja kinapotaka kujibu upotoshaji unaofanywa na chama kingine, ni kwa kutumia majukwaa hayo hayo ya kisiasa kujibu hoja hizo na wala siyo kulitumia Jeshi la Polisi kuwanyamazisha na kutumia ubabe kwa kuwaweka ndani viongozi wa vyama vya upinzani, kwa madai kuwa wametumia lugha ya matusi!
Niseme wazi kuwa Rais wetu Magufuli ameshindwa kukabiliana na siasa za ushindani na badala yake yeye amekuwa mtu wa kutumia vitisho kwa kuvitumia vyombo "vyake" vyote vya dola kwa kukandamiza vyama vya upinzani
Kama kweli Rais wetu ana nia ya dhati ya kuufanya uchaguzi ujao kuwa huru na haki, ni kwanini anaziba pamba masikioni, kutotaka kusikia maoni ya vyama vya upinzani, ya kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi, ambayo ni maoni yenye maslahi mapana kwa Taifa letu na yenye kuleta mustakabali mwema kwa Taifa letu?
kololaHii sijui ni uzi wa ngapi ukielezea suala la uchaguzi huru na wa haki. Hapa Afrika uchaguzi huru na haki ni pale uliyegombea unaposhinda au chama unachokishabikia kinaposhinda tu! Kwako CDM ikishinda ndiyo uchaguzi huru na wa haki la sivyo si huru na haki
Mfano mzuri.
Ni nani angalau amekwenda mahakamani kulikataa hili?
Hata kama mahakama watalikataa hili, si huo ni ushahidi kuwa juhudi zilifanyika kukataa mpango huo? Hadi sasa kimya!
Hakuna kitu kama hicho duniani period, pambana na hali yakokolola
Tumeomba tuwe na Tume huru ya uchaguzi.......
Hivi unadhani ni kitu gani kinachowapa "kigugumizi" cha kuunda Tume huru ya uchaguzi, kama siyo watawala wetu wa CCM kutaka kuuvuga uchaguzi huo?
kolola kama una mume muombe akuoe morning glory, huna hoja unabaki kusema tu upupu, tunataka tume huru, overHakuna kitu kama hicho duniani period, pambana na hali yako
Na hapo ndipo ninaposhangaa kwa nini vyama vya upinzani vishiriki uchafuzi huo? Maana huo siyo uchaguzi. Huwezi kupinga matokeo ya urais mahakamani yakishatangazwa na tume, hapo unategemea nini? Hayo yote yamekuwepo ktk chaguzi zilizopita na sasa limeongezwa hili la nakala ya matokeo. Bado tu vyama vya upinzani vinakwenda kushiriki uchaguzi ambao wanajua hawatatendewa haki!?!?Hebu tujaribu ku-imagine kwa mfano mpambano wa mpira wa miguu wa watani wa jadi wa Yanga na Simba, itokee timu mojawapo ndiyo iteue Refaree na washika vibendera wote wawili, hivi unategemea kweli timu ambayo haikupewa fursa ya kuteua hao waamuzi, inaweza kweli kupeleka timu uwanjani na kushindana?
ExactlyNa hapo ndipo ninaposhangaa kwa nini vyama vya upinzani vishiriki uchafuzi huo? Maana huo siyo uchaguzi. Huwezi kupinga matokeo ya urais mahakamani yakishatangazwa na tume, hapo unategemea nini? Hayo yote yamekuwepo ktk chaguzi zilizopita na sasa limeongezwa hili la nakala ya matokeo. Bado tu vyama vya upinzani vinakwenda kushiriki uchaguzi ambao wanajua hawatatendewa haki!?!?
Kama kuna mbunge wa upinzani atakayerudi bungeni kwa uchaguzi huu ujao itakuwa ni kwa hisani ya CCM tu, Na watahakikisha ni wale wasio na madhara kwao kisiasa. Tusubiri tuone.
Haya sasa mmeamka..😂Vipaumbele vya kujenga nchi vimeshindwa kuinasua nchi kutoka kwenye listi ya LDC (Least Developed Countries).
Hatudanganyiki na propaganda, kadanganye mambumbu wenzako.
Mahakama ipo hiyo itaruhusu hilo zuio? Au ya nje ya nchi?Zuio mahakamani ndio suluhisho... Tukisubiri uchaguzi wa maigizo ndio tumeshakubari matokeo.... Maana matokeo ya uchaguzi kwa rais hayana rufaa Wala kudai haki mahakamani.
Mahakama ipo hiyo itaruhusu hilo zuio? Au ya nje ya nchi?
Ccm wakitoboa mwaka huu ntaamini kuwa wizi wa kura hupo.