Uchaguzi 2020 Rais Magufuli "theoretically" ameutangazia Ulimwengu kuwa tutakuwa na chaguzi zilzo huru, lakini "practically" hatutakuwa na uchaguzi ulio huru!

Usitegemee uchaguzi huru chini ya jiwe. Hata data za corona tu za kweli haiwezekani ni uchaguzi mkuu?
 
Samahani natoka nje ya mada Ila napenda kujua hivi Sasa raisi magufuli ni Bado raisi wa Tanzania au mda wake umeisha? Na pia je mawaziri bado wapo madarakani au mda wao umeisha? Mnisaidie na kifungu Cha katiba
 
Watanzania tutegemee uchaguzi wa hovyo tangu tupate uhuru!! hata ule wa chama kimoja miaka ya 70 wa picha na kivuli kuwa na nafuu.
 
Huwa nikitafakari yale matusi aliyoporomosha Msukuma kwa Lowasa aisee nabakia mdomo wazi..

Mitambo ya matusi ipo CCM wala msihangaike!! Bado kibajaji sub nyingine ni balaa...anatukana utafikiri anaimba utenzi.
 
Uchaguzi huru na haki kamwe sidhani hata kdg ni kudanganyana kama ilivyokuwa ktk serikali za mitaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…