S Simba zee 33 JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 1,374 Reaction score 1,564 Jan 12, 2021 #21 Mlenge said: Wazo zuri. Click to expand... Yeye mwenye kiingereza hajui sasa ataruhusu vipi watu wengine wajifunze Attachments English please .mp4 3.6 MB
Mlenge said: Wazo zuri. Click to expand... Yeye mwenye kiingereza hajui sasa ataruhusu vipi watu wengine wajifunze
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Jan 12, 2021 #22 Inawezekana lakini shida nadhani ni waalimu! Kama waalimu tulionao sasa ni Swahili oriented iinaweza kuchukua muda mrefu kufikia lengo hilo.
Inawezekana lakini shida nadhani ni waalimu! Kama waalimu tulionao sasa ni Swahili oriented iinaweza kuchukua muda mrefu kufikia lengo hilo.
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Jan 12, 2021 #23 Simba zee 33 said: Yeye mwenye kiingereza hajui sasa ataruhusu vipi watu wengine wajifunze Click to expand... Alishasema kusoma sio kujua kiingereza
Simba zee 33 said: Yeye mwenye kiingereza hajui sasa ataruhusu vipi watu wengine wajifunze Click to expand... Alishasema kusoma sio kujua kiingereza
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 12, 2021 #24 Nasikitika kusema hilo halitawezekana... Cc: mahondaw