Rais Magufuli tunusuru vijana wako tunapitia kipindi kigumu

Nyie ndyo mmesoma ila elimu imewaganya kuwa watumwa wa fikra. Unadhani ajira ni kuajiriwa na serikali tu???? Wewe endelea kubweteka apo
 
huyo huyo anaewapitisha kipindi kigumu kwa makusudi ndio mnaomba awanusuru?
 
Unaongea kama mbuzi aliyetoka shimoni.
Ukiwa na akili kidogo tu na exposure utaona na utajua duniani kote foreign policy ya nchi kubwa ni kukuza biashara hasa kwa kufungua milango ya private sector ziongeze mauzo (exports) ya bidhaa na huduma ili the more income inakuwa private sectors ajira zinazalishwa na tax base inaongezeka.

JF ni jukwaa limejengwa kwa msingi wa kuwa great thinkers.
Njoo na fikra mbadala jukwaani na sio kubeza pasi kutupa maono yako ni yapi.

Huu ni uungwana na ustaarabu kujibu hoja kwa hoja
 
Umeongea point mkuu
 
Kumbe nawewe ajira huna? Pole sana
 
Shillingi laki mbili ni mtaji unaotosha kufanya nini kichwa nazi ?
Kwa wenye vyeti vya degree (siyo wenye degree au qualifications ya kielm yoyote) wana waza Kama wew ndo maana unaweza kuta jitu linasema Lina degree halafu linakula kwa mama na Lina almost 30yrs old, Kama kwel umesoma na unauwezo mzr wa kudadavua mambo huwez sema upuuz huo, mm nilimaliza chuo na nlianza ki business na 200k only na saiz mtaj mkubwa tyu afu wenye vyet vya ualim wa kiswahili ( Kuna wahitimu wengine wasioajilika) ndo mnapiga makelele SanaaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ulimaliza chuo gani halafu bado unaandika "tyu"?
Acha taarabu,biashara gani unaweza kuifanya kwa mtaji wa shillingi laki mbili? Hujajibu swali bado.
 
Kwa nini mtu mwenye cheti cha ualimu wa Kiswahili haajiriki?
 
Ulimaliza chuo gani halafu bado unaandika "tyu"?
Acha taarabu,biashara gani unaweza kuifanya kwa mtaji wa shillingi laki mbili? Hujajibu swali bado.
MUST mwaka huuhuu (2020), afu ety typing error unaikosoaa Kama vile kosa la jinaiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, ndo uwezo wako wa kudadavua mambo umeishia kuonana typing error br?
 
Kwa nini mtu mwenye cheti cha ualimu wa Kiswahili haajiriki?
N mfano tuu, nilimaanisha n coz ambayo ina competition kubwa sana maana Kuna wahitimu wengine mitaani, that's why viajira vya ualimu kipindi cha nyuma ilikuw walm Wa math , phys, chem& bios haswa(# kuhusu wasioajilika ni wale wenye vyeti na syo elm husika, mfano mtu anasema ana degree ya Mechanical engineering halafu kwenye hiyo field yake hajui hata ABC ya v2 Kama CNC( computer numerical control)& PLC(programmable logic control) wakat ndo vinatumika mostly kwenye viwanda nowdays#)
 
Ndo inabidi kuwaambia hao wazazi ukweli huu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Msiombe watazifuta wakiona hazilipi
Wanajali ada tu wazifute kwa lipi ilmradi majina yanavutia hawajali kuwa za entrepreneurship ndiyo zitaweza kusaidia taifa.
 
Dah Kaka imetosha sasa , usiendelee kuandika tafadhali unatuumiza Sana graduates,
Naamini hakuna unachokijua
😒😒😒😒😒

sasa hakuna nnachokijua kwani mm sjawahi graduate? kama unataka kuendelea kutesa na haya maisha maamuzi ni yako sasa
 
Ninataka kuwaambia vijana wenzangu ambao kwakias flani mumeshupaza shingo zenu mkisubir ajira chini ya jemedar stone. Hakika umasikin wa kutupwa unawasubiri. Mm ni mhanga wa hizo ajira tangu 2015 ila nilipomaliza nilikaa miez 3 maskan nikaaga nilianza kupanga mtaan chumba ya elfu 20, mkoan nikasugua mwaka nikaona huu utani nikakata tiket nikajitosa Dar jiji linampokea yyote yule nikachukua vyet nikaweka chini ya uvungu nimehangaika sana ila mpaka ninaandika hapa mm ninasikia mtaan wakisema mshua kapita nipo kwangu nyumba yangu kiwanja kubwa square mita 1100 maenea ka bunju sasa ninajua shida ipo ila sahau kuhusu ajira utanishukuru baadae. Wasalamu.
 
sasa hakuna nnachokijua kwani mm sjawahi graduate? kama unataka kuendelea kutesa na haya maisha maamuzi ni yako sasa
Nipe Siri mkuu, maana nimefanya michongo mingi imefeli, napata hela ya kusurvive tu! Dah! Nikiri tu nlisoma ili niajiriwe niweze kujiajiri, Mana mtaji pia ni vigumu Sana kupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…