Rais Magufuli: Tutakiongezea bajeti kitengo cha dawa asili kimetusaidia kupambana na Corona, dawa za kienyeji zinaponya

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381

“Corona imepungua Tanzania, tusidharau dawa za kienyeji tusidharau hata kidogo, uchawi tu ndio mbaya lakini miti yote iliumbwa na Mungu kwa ajili ya kutusaidia, nimetoa maelekezo kwa kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti yake iongezwe”-JPM

“Watu wanapotengeza dawa za kienyeji tunasema wamepitwa na wakati, hapana wewe ndio umepitwa na wakati, tulipumbazwa kwamba tusiamini chetu tuamini chao, tubadilike, dawa za kienyeji zinaponya, hata ukiteguka mguu ukizitumia unakaa vizuri” -JPM

“Dawa za kienyeji zinafaa, kujifukiza kumesaidia sana, corona haijaisha sana ila imepungua sana, walitegemea tutakufa wengi sana na Barabarani patakuwa na maiti, wameshindwa na wakalegee kwelikweli” -JPM
 
YAANI TULIOMBA KWA MUNGU NA WAKATUSISITIZA TUOMBE NA KUFUNGA KWA SIKU TATU. mUNGU KATUSIKIA LAKINI TUMESHAGEUKA TENA KUSEMA MITISHAMBA IMETUSAIDIA. MUNGU WETU ANAHURUMA SANA! VINGINEVYO ANGETUANGAMIZA. YEYE ATUPONYE HALAFU UTUKUFU INAMEWA MITISHAMBA. HUYU MZEE NI MPENZI SANA WA UCHAWI. UKIONA MTU NI MPENZI SANA WA MITISHAMBA HAYUPO MBALI SANA NA UCHAWI.
 
Tuliomba na dawa tukanywa.

Hivi wee ushawahi omba upate pesa bila kufanya kazi ukapata? Ukaziona tu zimekujia ndani kwako?
 
MIMI SIKUNYWA. USITUCHANGANYE WOTE KWENYE HUO UCHAWI WETU. SASA KAMA UMEMWOMBA MUNGU UPATE FEDHA BAADA YA KUPATA ULICHOOMBA NANI ANAPASWA KUSHUKURIWA?
 
Kwa hiyo NIMR tuipe majukumu ya kufanya utafiti wa nyungu, walozi wote wahamishiwe hapo wapige manyanga, teh...teh...
 
Kuna magonjwa mengi yanatibiwa kwa tiba asili ambayo hospitalini yameshindikana tunapozungumziia tiba asili hatuzungumzii tiba za kuchanjwa au kupiga ramli bali ni tiba ambazo zinahusu miti na majani asilia dini zilipokuja afrika walituamisha kila kitu chetu ni cha kishenzi lakini dini zilipoingia asia wao waliendelea kutumia tiba zao ndio maana tunafurika kwa wachina na wakorea kufata tiba zao
 
MIMI SIKUNYWA. USITUCHANGANYE WOTE KWENYE HUO UCHAWI WETU. SASA KAMA UMEMWOMBA MUNGU UPATE FEDHA BAADA YA KUPATA ULICHOOMBA NANI ANAPASWA KUSHUKURIWA?

Ha ha ha

Kunywa vitunguu na malimao ni uchawi!!!!

Huku unakula kwenye mboga na kachumbari.
Pole sana.

Hivi hakukuwa na siku ya kumshukuru Mungu au nikukumbushe

Basi tulianza kumshukuru Mungu makanisani na misikitini na kwenda bichi kula bata.

Utakufa na kijeba Cha roho
 
YAANI TULIOMBA KWA MUNGU NA WAKATUSISITIZA TUOMBE NA KUFUNGA KWA SIKU TATU. mUNGU KATUSIKIA LAKINI TUMESHAGEUKA TENA KUSEMA MITISHAMBA IMETUSAIDIA. MUNGU WETU ANAHURUMA SANA! VINGINEVYO ANGETUANGAMIZA. YEYE ATUPONYE HALAFU UTUKUFU INAMEWA MITISHAMBA. HUYU MZEE NI MPENZI SANA WA UCHAWI. UKIONA MTU NI MPENZI SANA WA MITISHAMBA HAYUPO MBALI SANA NA UCHAWI.

Korona imeisha muende shuleni sasa.
 
okumbe kuna watanzania ignorants kama wewe????
 
Ha ha ha

Kunywa vitunguu na malimao ni uchawi!!!!

Huku unakula kwenye mboga na kachumbari.
Pole sana.

Hivi hakukuwa na siku ya kumshukuru Mungu au nikukumbushe

Basi tulianza kumshukuru Mungu makanisani na misikitini na kwenda bichi kula bata.

Utakufa na kijeba Cha roho
Mlimshukuru Mungu kwa unafiki tu. Kama kweli mliamini Mungu katusikia na kutusaidia, unasemaje tena kwamba Mitishamba imetusaidia?
 
YAANI TULIOMBA KWA MUNGU NA WAKATUSISITIZA TUOMBE NA KUFUNGA KWA SIKU TATU. mUNGU KATUSIKIA LAKINI TUMESHAGEUKA TENA KUSEMA MITISHAMBA IMETUSAIDIA. MUNGU WETU ANAHURUMA SANA! VINGINEVYO ANGETUANGAMIZA. YEYE ATUPONYE HALAFU UTUKUFU INAMEWA MITISHAMBA. HUYU MZEE NI MPENZI SANA WA UCHAWI. UKIONA MTU NI MPENZI SANA WA MITISHAMBA HAYUPO MBALI SANA NA UCHAWI.
Uelewa wako tu mdogo ndiyo tatizo ukibarehe kichwani mwako utaelewa!
 
MIMI SIKUNYWA. USITUCHANGANYE WOTE KWENYE HUO UCHAWI WETU. SASA KAMA UMEMWOMBA MUNGU UPATE FEDHA BAADA YA KUPATA ULICHOOMBA NANI ANAPASWA KUSHUKURIWA?
Sisi tulikunywa ametuongelea sisi siyo wewe!
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia [emoji817]
 
Back
Top Bottom